el pincaso
Member
- Dec 13, 2016
- 67
- 55
Nimepitia sehemu mbalimbali kuhusu Madiba(Mandela) baada ya kutoka gerezani wanadai kuwa mandela halisi Alisha kufa gerezani aliyetoka Ni GIBson Makanda na sio Mandela ila walimfanyia kitu kinaitwa Human incone conspiracy ambayo inaweza kusababisha mtu mmoja genes zake zikahamia kwa mwingine.
Je Kuna ukwel wowote kwenye hili swala....wanazengo hebu nisaidieni kidogo....
Je Kuna ukwel wowote kwenye hili swala....wanazengo hebu nisaidieni kidogo....