Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Hata mimi naona kama kuna kampango ka kumuonea Dada Joyce.
 
nampenda sana joyce banda mwanamama shupavu sana, acheni malawi wachukue ziwa lao jamani mbona mnakuwa watu wa dhuruma,? nyie mnalo victoria, tanganyika na mengineyo mbona hamridhiki? so far maziwa yote mliyonayo yamewasaidieje kiuchumi.
 
The question here is about military capability and not the size of country or population or a gender of a president!
 
nampenda sana joyce banda mwanamama shupavu sana, acheni malawi wachukue ziwa lao jamani mbona mnakuwa watu wa dhuruma,? nyie mnalo victoria, tanganyika na mengineyo mbona hamridhiki? so far maziwa yote mliyonayo yamewasaidieje kiuchumi.

Tatizo hata tukipewa maziwa yote Africa kwa Tanzania ya uongozi dhaifu huu,hayatakuwa na faida yoyote kwa
Watanzania,hizo raslimali tulizo nazo kama madini yanatusaidia nini Watanzania? mwacheni mdada wa watu anayejua umuhimu wa Rasilimali.
 
Yani nina hasira sana juu ya hili nchi yenyewe ndogo hata mkoa wa taboramkubwa! Yan hawa ni kuwapiga tu washike adabu
 
kwanza hilo jeshi la malawi kunauwezekano mkubwa kuwa limejaa ******* na wasagaji! so tunaenda kuwapiga na kuwavua chupi
 
kwanza hilo jeshi la malawi kunauwezekano mkubwa kuwa limejaa ******* na wasagaji! so tunaenda kuwapiga na kuwavua chupi
Never, repeat, NEVER understimate your enemy, otherwise the David and Goliath stories would be in vain.
 
kwanza hilo jeshi la malawi kunauwezekano mkubwa kuwa limejaa ******* na wasagaji! So tunaenda kuwapiga na kuwavua chupi

we mtoto! Rudi kwenye thread zako za kusoma soma noval kule jukwaa la elimu! Huku waachie ma intellegencia na Watu wa siasa ambao ni ma great thinker! Mana naona unaongea uchafu tu!
 
Ohoo Ohooo ooooo

Tuta aibika vibaya Jeshii letu lina uzoefu wa kufyeka nyasi na si 'kuzichapa'
 
kuwa tayari kujifunza wewe, duniani hakuna mipaka kama malawi wanavyotaka.....wanyasa zaidi ya 600 maisha yao yanategemea maji, kama malawi wanadaai maji ni yao, wanyasa wataishije?

nampenda sana joyce banda mwanamama shupavu sana, acheni malawi wachukue ziwa lao jamani mbona mnakuwa watu wa dhuruma,? nyie mnalo victoria, tanganyika na mengineyo mbona hamridhiki? so far maziwa yote mliyonayo yamewasaidieje kiuchumi.
 
Our own president wants to make the most of this saga. Just to portray a false 'strong' gov amid claims of 'weak' gov.
 
Our own president wants to make the most of this saga. Just to portray a false 'strong' gov image amid claims of 'weak' gov.
 
Nyinyi mnaongea tu. Ungekuwa mnyasa ama mzaliwa wa pwani ya hilo ziwa ungjea lina umuhimu gani kwa wazawa wenzako. Hanna uzalendo tunataka mmabadiliko? Yatakuja vp bila a kuwa na moyo wa upendo wa nchi yetu?
Embu tujitafakari kwanza.
 
phd wewe ni mtanzania kweli nina wasiwasi na wewe kama siyo mkenya sijui.............
 
Nami nauliza swali alilouliza huyu mwandishi wa Malawi, KWA NINI TUDAI WAKATI HUU NA SIO HUKO NYUMA? katika kipindi chote cha huko nyuma shughuli zote za malawi zilikuwa zikiendelea kwenye maeneo hayo yanayogombaniwa sasa. Tanzania ndoimelea na kukuza huu mgogoro, nasasa TZ inatakiwa ipambane kulikomboa hilo eneo. TZ ipate funzo siku nyingine ikitokea nchi inaingilia mipaka yetu ni vizuri kuwaeleza/kuwaondoa mapema kabla hawajaizoea.
 
Back
Top Bottom