Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Mtanzania,

Ni kweli unachosema juu ya Mto Songwe na pia ni kweli nilichosema kuhusu Lake. ni kweli haijawahi kuwepona mgogoro.....................jambo lililojiri ni kutoka kwa sisi wenyewe wananchi kuzungumza juu ya Ziwa hili na ndio maana hizi serikali mbili ikabidi zichukue hatua kufanya hizo survey (both to the Lake and mto Songwe) ili kuwekana sawa....................... ninajua nilichokisema kilitokea na kazi inaendelea

Naomba Watanzania tuwe macho na Viongozi wetu wa leo ambao wanatamka maneno bila ya kutafakari na mwisho wa siku wanasutwa na umma. Hili swala ni nyeti sana halipendezi kuona linaongelewa kitoto na ambao tunawaita viongozi wetu. Wanataka kututumbukiza katika wakati mgumu na ambapo hatujui ni vipi tutalimaliza. Maadui wa Tanzania ni wengi na ambao wangependa kuona tunatumbikia huko na jinsi ya kutoka itakuwa vigumu sana. Hivyo nawamba viongozi wenye dhamana na TAIFA hili muwe makini na kauli zenu.
 
I believe that every creature in this mother world likes to live,peacefully and with hope. We African Brothers (Malawi & Tanzania) in a number of years we have common understanding and good relationship,why becoming eager to fight?? Is this a real solution to solve the problem raised over Lake Nyasa a.k.a Lake Malawi?? I do wonder some Malawians and my fellow Tanzanians are commenting here and being happy if war against each other is breaking!! This is non sense from senseless people..!! None of you who can real tell the truth who will benefit from this war…we have to think of the poor ..women..children..etc. If things become worse in one side(it can be TZ or MLW),JB or JK will flee to the foreign country..probably in the place where they have deposited what they grabed from their countries…leaving the poor ones suffering from this tragedy.It is true that most of African leaders nowadays are doing things for their own benefits,we TZnians and MLWians we have to think thrice who will benefit from the Lake Resources….obvious those who will have positions and close look on Production and sales…the poors will have a very very small parcentages you can’t tell. Most of those who comments here am sure are those who are falling in the group of the marginalised..the poors,those who do not have a chance of smelling of our nations’ cakes(Wealth). I Suggests that we Tanzanians and Malawians if the War breakes over this issues Let us demonstrate to Stop it..!! Guys in LLW and DAR we can do this… Also as some one commented we can not loose if we share the benefit of the lake together,we as brothers. The Wazungus have already confused us with their Treaties,most of them for their own benefits and not for ours. I am also disappointed with the Journalists and news reporters over this issue..they are also “Fans”. Some are telling us that TZ has already sent troops to the border…this is intimidating people they must be sure of what they are writing…I hope our leaders will compromise on the issue wisely. GOD Bless Africa.
 
What you are saying is possible if and only if our economy don't rely on the mzungus pocket. You know how we depend on mzungu to run our government/life from family level to the national level. And the leaders themselves are in the front lines begging the mzungus to help us, this demonstrate that the mzungu still have a big influence in our countries.
 
HILI GAZETI LINAANDIKA UWONGO BALAAA,

At around the time of independence quite a few people in Tanzania wanted to claim a huge part of Lake Malawi or Lake Nyasa . Cool heads eventually prevailed, as most Tanzanians, including the legendary President Julius Nyerere, understood the importance of respecting boundaries emanating from colonial times.
During most of Dr Kamuzu Banda's rule, Tanzania never really pushed this crazy idea of dividing up the lake. The issue was almost forgotten during the rule of Dr Bakili Muluzi and thereafter. In fact, Dr Bingu wa Mutharika commissioned a company to start exploring oil in the lake. Tanzania said nothing at that time. Now we have a new president and all of sudden the Tanzanians are demanding that our government stop all exploration activities in the lake until all border issues have been clarified. Why now? Folks, there is a reason why we have tradition. Tradition may appear useless and outdated but it is important because it usually become established after a long experience. In politics there is what is known as ‘presidential protocol'. These are small things which over the years have proven to be niceties a president must or must not do in order to represent his/her country correctly.
 
I dont thnk if Malawians are ryt on the issue if not puppeting wazungu ideologies,i wonder why just claiming whole ownership of the lake frm tz why not frm mozambique? The reason here is uroho..for they knew on the partial ownership of the lake,why didnt they seek a permision frm tz b4 airing their planes to tz airspace,we call it invansion,do malawians want to show us their superioty despite their ongoing weak leadership? I here concur all the statement by the superiors, IF MALAWIANS ARE PEACEFUL GUYS,LET OBEY WHAT TZ WANTS,otherwise just drain ur water to the boundry we need and leave our land for our p'ple. If just the matter is water.
 
Today I will defend My President. I have not liked your mentioning of his name in this stupid bonanza going on. those who declared our readiness to go into a fight with Malawi do not have proper authority to do so, they were taken by their recent irresponsible habit of giving bad mouthed statements knowingly Mr. President will not interefere immedietly.

It is this naivete habit which is driving the Chama cha Mapinduzi into the graves speedily which made them made such statements, these three, Lowasa, Sitta and Membe, they are the most nevous politician in this country, and they can do anything to attain their high Political Offices.

send this message to my brothers and sisters in Malawi that, the guys who issued such evil statements, although are holding big political positions in our Country, and are regular visitors in our state house are unwanted by the majority of Tanzanias, and soon their fate will be no more. Lets leave in peace as usual enjoying the cold water of lake Nyasa/Malawa together.

Tanzania Wish Malawi all the best in their search for a better life.
 
NILIPOKUWA MTOTO/KIJANA ENZI ZA MWALIMU TULIKUWA TUNAKIMBIA MCHAKAMCHAKA. NYIMBO ZILIKUWA
KAMUZU BANDA WA MALAWI KATUVALIA NGOZI YA SIMBA KUTUTTISHIA WATANZANIA,
HATUJALI, HATUJALI HUKU TUNAKIMBIA KWA FURAHA NA KUPATA UCHANGAMFU WA ASUBUHI TUKIWA SHULE YA BWENI
AU BANDA HAAAHA- AMEOLEWA NA NANI- NA MWINGIREZA,
WIVU WAMKEREKETA, KITAMBI-KINA MACHICHA,
KIPARA- KINA UKOKO NILIKUWA NAjionea fahari na uzalendo mkubwa kwa nchi yangu. sikuwahi kujua hadi leo Kamuzu Banda alitukosea nini waTz Enzi hizo. hadi tumuimbe hivyo. Naomba mwenye kujua anijuze tafadhali.

Hapo Mkuu watoto wa juzi umewauza!

Wala hawajui kama tulikuwa na ugomvi na Malawi miaka ile. Kwa wale waliosoma miaka ya '70 watazikumbuka sana nyimbo hizo. Ila hapokwenye Red Mkuu tulikuwa tunaimba ........Ameolewa, Wapi? Huko Ulaya (Hapo ilikuwa ni kwa Bass, sikumbuki akina dada walikuwa wanawezaje kuimba Bass!!). Yaani ilikuwa raha tupu, vijana tulikuwa na mori ile mbaya.
 
Wajumbe bahati mbaya na post kutumia simu ya mchina hivyo mnisamehe sitaweza kupost pamoja na ramani, ila nimejaribu kuidadavua ramani ya mpaka kati yetu na Malawi inaonekana sisi tunastahili zaidi nusu ya ziwa kuliko hata msumbiji! Nibora hata Malawi wange gombana na msumbiji kuliko Tanzania kwani ziwa linaingia ndani kabisa ya mipaka yetu, Malawi wanapaswa kutumia busara zaidi katika swalahili.

Wakoloni tangu Berlin conference waliweka mpaka katikati ya ziwa.

Mkataba wa UN pia unatupa haki ya kumiliki nusu ya ziwa.

Naomba anaeweza kupost ramani aipost tuijadili vizuri.
 
Kwa vipimo rahisi tu kwa kuangalia ramani kwa kulinganisha nchi(kavu) zinazopaka na ziwa na kama mpaka umepita katikati ya ziwa(Longitudinally/Vertically) mgawanyo unakuwa
TANZANIA(20%),
MALAWI(60%),
MSUMBIJI(20%)

Mtu yoyote unaweza kuchukua ramani na kuchunguza ujionee mwenyewe.
 
Kwa vipimo rahisi tu kwa kuangalia ramani kwa kulinganisha nchi(kavu) zinazopaka na ziwa na kama mpaka umepita katikati ya ziwa(Longitudinally/Vertically) mgawanyo unakuwa
TANZANIA(20%),
MALAWI(60%),
MSUMBIJI(20%)

Mtu yoyote unaweza kuchukua ramani na kuchunguza ujionee mwenyewe.

Malawi got their name from the 16th century empire named "MARAVI KINGDOM" predominantly governed by the Chewa tribe. Before the British conquered Nyasaland, they found a much weakened kingdom as a result of African conquistadors from the north called "YAO and NGONI". This kingdom did not even cover the northern half of the lake which was then under the Ngoni and Yao (see the mal below):

220px-Mavari_Kingdom_c._1650s.svg.png



Kwa hiyo, wasijidai sana kwani traditionally upande wa Kaskazini wa ziwa ni wa Tanganyika. Ulikwenda Malawi baada ya Waingereza kuitawala Nyasaland.
 
Before going further, full speed in the dialogue na kuweka mambo bayana ni jambo la msingi, baada ya apo ni jambo muhimu kuangalia hatua inayofuata ambayo ni kuhakikisha kuwa tunafikia muafaka kwa jinsi iwayo yote. Ikiwa kuna uhalali, basi hakuna eneo linalopaswa kuachiwa kwa jinsi iwayo yote pamoja na kuwa kuna wapwambe nyuma ya hawa Wamalawi. Hivi hii kampuni ya utafiti inatokea nchi gani, hakuna maslahi nyuma yao yanayosukuma mambo haya?
 
Na inakuwaje kwa wale wanaishi karibu na mto ule unaohama kwa miaka kadhaa Tanzania miaka kadhaa Malawi? au ndio kama tulivyoambiwa kuwa hiyo iko mezan na miradi kadhaa imeanzishwa na iko kwa implemetion,
 
tanzanians let us not be cheated by arab thieves. They continue stealing from us blacks. Now they have stollen serengeti national park shame indeed. These arabs claiming to be tanzanians r a big shame
 
Mgogoro huu upelekwe katika mahakama ya ICJ international Court of Justice ili ukweli uweze kujulikana kwani Vita si jambo jema lina athari kubwa sana kwa nchi.
 
Haya mambo huwa yananza kidogo kidogo mwisho unasikia kama Kashmir.

Wakubwa wanatengeneza Silaha hawana pa kuziuza mwisho wake wanaandaa mazingira kama haya. Mwisho wa siku mnashangaa sisi na wao wote tunaenda UK kununua zana.
 
kweli hili niswala la kutumia logic kwani kila nchi katika ramani za mwanzo mipaka iliishia kwenye pwani yake. Taizo ni maswala ya faida za kiuchumi. Hii ni ramani ya deutsch Ostafrika
Deutsch_Ost-Afrika,1892.jpgsource wikipedia
 
kweli hili niswala la kutumia logic kwani kila nchi katika ramani za mwanzo mipaka iliishia kwenye pwani yake. Taizo ni maswala ya faida za kiuchumi. Hii ni ramani ya deutsch Ostafrika
View attachment 61817source wikipedia
Kifupi madai ya Malawi ni kwa nchi inayoitwa Tanganyika, nchi ambayo haipo tena na tukifuata mipaka ile tutaanzisha maswala mengine kabisa yalipitwa na wakati. Leo hii sisi wote tunafungwa na sheria za UN..
 
Mwawado usipotoshe umma wa watanzania. Kama huna data ni bora ukae kimya kuliko kuongea MAWAZO. Ziwa nyasa bado kuna meli zinazofanya safari ya kusafirisha MIZIGO na ABIRIA kwa wakazi wa mwambao wa ziwa hilo. Tafadhali uwe unaelewa IMAPCT ya kutoa taarifa zisizo sahihi kwa uchumi wa NCHI na wananchi wake. Jifunze kuongea na data ili uwe among the GREAT THINKER. SIASA na UTAALAMU ni vitu viwili MSAMBAMBA, Havikutani. Sitaki kutumia lugha ngumu katika hili nadhani umenielewa namaanisha nini.
 
Ziwa ni mali yetu. Banda aheshimu mipaka ya mwanzo ya wakoloni na sio mipaka iliyobadilishwa baadae na waingereza
 
Back
Top Bottom