Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Mathayo 28:19-20 "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatufu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi."

Utahukumiwa kwa kutokuamini KWAKO.
kuna UKRISTO kuwa ni DINI au Imani Umetajwa hapo?
 
wee akili yako imeliwa na kirusi ebola Nimekuwekea ratiba ya huduma ya Yesu duniani, kwamba anaanzia kwa wana israeli View attachment 660758 kisha
b3a1e9a8721d4aff0fa6a0887ff02d2c.jpg
sasa kwa uislamu muanzilishi anaeleza View attachment 660773 na warabu wenye deen lao nao wamewapa za uso
69ce69307c2b9ad150cd46355c15650c.jpg
kipi usicho elewa hapo


b1.jpg
 
Unarudia yale yale bibilia hizo zenu zinamzungumzia Yesu. Wakati walio ziandika hakuna hata mmoja alionana na Yesu. Yani zinaota tu ndio mana hazijui zinaongea nini. Mara Yesu ndio Mungu, mara Yesu ni mtoto wa Mungu, mara Yesu kafa ili dhambi za wakristo zifutwe. Mara Yesu yuko hai hamfahamiki. Nacho fahamu mimi Yesu alitumwa kwa kondoo wa kiyahudi walio potea, we kama kondoo sawa mimi si kondoo😀

;aadam hujaelewa sitaacha kurudia mpaka utwihi dogo...ninacho kushangaa badala ya kukubali kile furqan inavyo wapa hishma Wakristo kwamba wacha Mungu na Wasomi
IMG_20171211_210814_019.jpg
tena kwa imani yao wasihofu
bb80ee78c7783412140ae7d9ca7d83cc.jpg
hadi kawaambia kwamba qaraa haina haki ya kuwahukumu Wakristo
IMG_20171226_110313_920.jpg
kafir wewe unainua bakuli lako unampinga Yesu na muhammad huku na kijuba chako unanadi huku uswazi mii mwichilamu wee ni kafir tu
 
kuna UKRISTO kuwa ni DINI au Imani imetajwa hapo?
Ukristo ni zaidi ya deen kama hujui wee mzee mdebwedo...hata muhammad ameutaja
IMG_20171211_210814_019.jpg
2-62..jpg
hao unao dai hawana deed wamefuzu wewe mwenye deen
19-surah-maryam-mary-72-728.jpg
hiyo deen inanakusaidia nini acha uzwaza
 

Attachments

  • America%27s+First+Gay+Imam.jpg
    America%27s+First+Gay+Imam.jpg
    92.3 KB · Views: 55
Kwanza tuanze na mwaka wa 1948 ambao Israel ilitanganzwa kuwa taifa. Ukiangalia haraka haraka utagundua kuwa tamko la Rais Trump kuwa Yerusalem ni Mjii mkuu wa Israel laweza kuwa la kinabii, maana limetamkwa siku chache kabla ya kuingia 2018. Ikimaanisa 2017 kutoa 1948 ni miaka 70.

Je, miaka 70 maana yake nini Kibilia?

UNABII WA KWANZA:
“Kwa sababu [Waisraeli] hamkuyatii maneno yangu [Mungu], tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake . . . Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”—Yeremia 25:8-11.

UTIMIZO:
Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7) Aliwahamisha waokokaji wengi na kuwapeleka Babiloni ambako walikaa wakiwa mateka kwa miaka 70.

Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
● Kitabu The Bible and Archaeology kinasema kwamba mambo yafuatayo yamethibitishwa baada ya eneo la Lakishi kuchimbuliwa na kufanyiwa uchunguzi: “Uharibifu wa mwisho ulikuwa wenye jeuri, na moto ulioharibu jiji [Lakishi] ulikuwa mkali sana hivi kwamba mawe ya chokaa yaligeuzwa kuwa ungaunga wa chokaa.”

UNABII WA PILI:
“Kupatana na kutimia kwa miaka 70 katika Babiloni [mimi Mungu] nitawakazia ninyi fikira [Wayahudi walio uhamishoni], nami nitawatimizia neno langu jema kwa kuwarudisha tena mahali hapa [nchi ya Yuda].”—Yeremia 29:10.

UTIMIZO:
Baada ya miaka 70 ya uhamisho, kuanzia 607 hadi 537 K.W.K., Mfalme Koreshi wa Uajemi aliwaachilia Wayahudi waliokuwa utekwani na kuwaruhusu warudi nyumbani kwao ili wakajenge upya hekalu huko Yerusalemu.—Ezra 1:2-4.
Historia inafunua nini?

● Je, Waisraeli waliendelea kuwa mateka Babiloni kwa miaka 70 kama Biblia ilivyotabiri? Hebu ona maelezo ya Ephraim Stern, ambaye ni mmoja wa wataalamu wakuu wa wachimbuaji wa vitu vya kale nchini Israel. “Kuanzia mwaka wa 604 K.W.K. hadi 538 K.W.K.—hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa kuna mtu aliyeishi nchini Israeli. Wakati huo, hakuna hata mji mmoja ulioharibiwa na Wababiloni unaoonekana kuwa ulikuwa na watu.” Kipindi hicho ambacho hakukuwa na mtu katika eneo lililoshindwa kinapatana sana na uhamisho wa Waisraeli kupelekwa Babiloni kuanzia 607 hadi 537 K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 36:20, 21.

Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC

Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa.

Kubomolewa kwa hekalu: Yesu alisema katika Mathayo 24:2, "...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa". Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.Hekalu lilikuja kubomolewa miaka 70 AD.
329e13217ed2cf8ac84087ee7a39418d.jpg


Na sasa eneo hilo lilipokuwepo hekalu limejengwa msikiti wa alqsa. ,Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,

Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

MUNGU kupitia Nabii isaya miaka 2700 iliyopita alinena haya juu ya Taifa la wayahudi(ISRAELI)

ISAYA 14

"1 Maana Bwana atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.

2 Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea"

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU, biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo ,AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.
Kwa nini Israil isitangaze toka wakati ule wa 1948 kuwa Jerusalem ni mji mkuu wao mpaka wangoje hiyo miaka 70 ipite?
Quran haijazungumzia kuhusu Jerusalem bali imetaja msikiti wa Al Aqsa maboa upo Jerusalem, kwani Quran siyo kitabu cha siasa au jografia itaje ili itaje majina ya miji.
 
Sinagogi ni misikiti ndo maana Yesu alipinduapindua mameza na ili watu wafanye ibada
 
Hahaha wewe mhehe bado upo? Naskia kanisa kuu la iringa sanamu la yesu wahuni wanatumia kulipiga madole

hhhhhhhh...bado wewe dogo na ulivyo tonge nyama kamwene bee
 
;aadam hujaelewa sitaacha kurudia mpaka utwihi dogo...ninacho kushangaa badala ya kukubali kile furqan inavyo wapa hishma Wakristo kwamba wacha Mungu na Wasomi
emoji117.png
View attachment 661476 tena kwa imani yao wasihofu
emoji117.png
Nimeisha kuleza hawakusudii wafuasi wa paulo. Huyo myahudi aliota ndoto tu kama mty alye ota amekua kiongozi flani vile.
bb80ee78c7783412140ae7d9ca7d83cc.jpg
hadi kawaambia kwamba qaraa haina haki ya kuwahukumu Wakristo
emoji117.png
View attachment 661489 kafir wewe unainua bakuli lako unampinga Yesu na muhammad huku na kijuba chako unanadi huku uswazi mii mwichilamu
emoji15.png
emoji4.png
wee ni kafir tu
emoji83.png
Mgeni wacha kuongea kama mlevi wapi nimempinga Yesu na Mtume Muhammad? Au unajiongelea tu kama kawaida yako. We hufahamu kati ya wafuasi wa Yesu na wafuasi wa paulo. Yesu hajawahi kusali bila kusujudi chini. Paulo yeye kusali kwake ni kulipa mgongo sanamu, na nyie kuliabudu sanamu. Hivi hujui kama msalaba ni dalili ya mtu aliye laniwa. Soma bibilia yako vizuri utapata jibu😀
 
Back
Top Bottom