Mgeni unachekesha hebu angalia tazama msalaba unasema nini
Ama utumiaji wa msalaba katika kuvaa umezagaa kabisa kwa Wakristo wa zamani na wa sasa. Kufanya hivyo kwao ni kukumbuka kule kusulubiwa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu nao waingie katika kusamehewa dhambi zao hapa duniani na kurithi uzima wa milele Siku ya Qiyaama. Hata hivyo, tukisoma katika Biblia tunapata kuwa Yesu hakusulubiwa kwani aliyesulubiwa atakuwa amelaaniwa. Hebu tutazame mistari ifuatayo:
- "Kama mtu amefanya kosa la jinai linalompasa auawe na akauawa kwa kutundikwa mtini" (Kumbukumbu la Sheria 21: 23).
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
|color=red]kwa mujibu wa ayat hiyo, Tuwekee kosa alilo lifanya Yesu ili astahili hukumu hiyo[/color]
- "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: 'Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa" (Wagalatia 3: 13).
Yesu alitukomboa kutokana na sharia ambayo haina haqi [emoji106] ref; wewe huja zini [emoji4] mimi, gavana, adiosa tunakupeleka mbele ya qadi kukushitaki kwa kosa la kuzini, kwa mujibu wa sharia ushahidi wa watu.3 ukiwa sawia sharia itakutia hatiani wakati huja fanya zina [emoji15] Yesu katutoa huko na kusema [emoji117] Ukitamani tayari umesha zini [emoji106] ref; Mafundisho yake kule mlimani [emoji4]
Hakika ni kuwa wenye kuamini kuwa Yesu kasulubiwa na misalaba kwa ajili ya kusamehewa dhambi wanapingana na Biblia. Hebu tusome mistari ifuatayo:
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
unahubiri Injili nyingine kwa Mujibu wa Biblia Takatifu umelaaniwa
[emoji117]
laanatulahi wee [emoji83] [emoji15]
- "Maana ninachotaka kwenu ni upendo na si dhabihu, kumjua Mungu na si kutoa sadaka za kuteketezwa" (Hosea 6: 6).
- "Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: 'Nataka huruma, wala si dhabihu'. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi" (Mathayo 9: 13).
- "Kama tu mngejua maana ya maneno haya: 'Nataka huruma wala si dhabihu', hamngewahukumu watu wasio na hatia" (Mathayo 12: 7).
kwa mujibu wa ilimu islamu hii ni huruma hhhhhhhhh... [emoji117]
Kwa hivyo Yesu hakuja kuwa kitoweo yaani kuuliwa msalabani bali amekuja kuwaokoa wenye hatia waingie katika mafundisho ya haki na hivyo kupata msamaha wa Mwenyezi Mungu.