Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Jibu hoja acha kuanzisha topic ndani ya nyingine.Israel ni makabila 12 sawa hata baba yako akiwa na watoto kumi wakifa wote akabaki mmoja haifanyi huyo alobaki kuwa si mtoto wa babako.Hivyo limebaki kabila 1 au mchanganyiko hao ni Israel isikusumbue.Na kuhusu mtume wa Mungu kuzaa haramu nayo isikusumbue biblia haipo kuficha ukweli Bali imeweka wazi tujifunze kupitia huo.Hivi Mohammed kuoa mtoto wa miaka Tisa ilikuwa halali.Na vipi kutembea na house girl wa mkwewe mpaka agombane na mkewe nayo halali? Kumnyonya ulimi mgonjwa nayo ilikuwa sawa ?na bado unamwita mtume?Wewe jibu hoja.Tafuta historia uislam umeanza lini,mwanzilishi nani, tafakari jiulize ulofundishwa madrasa yana kubaliana na historia yenyewe?Hilo ndo LA msingi.
Yote uliyoandika,yako kinyume na unavyofahamu
1:Kwa watoto wa mashariki ya kati kipindi cha nyuma,mtoto wa miaka 9 ,ni mkubwa ,ndio ukaona Mariya,mamake Yesu,kamzaa ana mika 13,fikiria mimba iliingia ana miaka mingapi kama sio 12,na alinza uchumba na Joseph Mzee wa miaka 95,akiwa na miaka 9.
2:Huko kunyonya ulimi,huo ni utalaamu wa kitabibu,hata mtu aliyepoteza fahamu kwa mujibu wa itibabu,kama amekosa hewa, unampulizia hewa mdomoni kama vile una mnyonya,jaribu kujigunza huduma ya kwanza.
3:Hakuna mkwewe ,aliyemuoa.Toa ushahidi wa jina la mtoto wa kiume,halafu tuangalie ni miongoni mwa watoto wake?
4:Uislamu hakuanza na Mtume Muhammad,uislamu ulianza yoka Adam aje duniani.Ila kwa karne hizi za sasa, ndio yeye aliyeanzisha upya kuutangaza uilslam.Ndio ukaona uislamu unawataja mitume waliyopita kuanzia Adam mpaka Yesu.
Jiulize kabla kuja ukristo baada ya kuondoka Yesu, mashariki ya kati na kwingineko duniani,kulikuwa wakifuata dini gani? Na hiyo dini ilikuwa mtume wake nani na wakitumia kitabu gani,kama sio
Zaburi
Taurati
Injili(sio biblia)
Na uilamu ,unaviamini vitabu hivyo,na kutamhulikana katika uislamu.
 
Tatizo unafikiri Ukristo umeanza hewani kama uislam.Labda nikujulishe kidogo tu japo ni somo refu ni hivi ukizungumzia Ukristo unazungumzia wanaofuata mafundisho ya Yesu Kristo.Yesu alizaliwa kama myahudi na Wayahudi katika historia yao walipitia vipindi na nyakati tofauti.Na katika nyakati hizo walikuwa na wafalme,manabii na waamuzi mbalimbali ambao walikuwa wakiwaelekeza na kuwafundisha mapenzi ya Mungu aghalabu walitoa unabii kuhusu nyakati ambazo zingefuata.Sasa basi kila mmoja kwa nyakati zake walikuwa akiendeleza pale mwenzie alipoishia.Na walitoa unabii kuhusu kuzaliwa kwa Yesu ambae angetimiliza yote.Yaani baada ya Yesu wote wanatakiwa kumsikiliza na kufanya maagizo yake maana ndo utimilifu wa yote.Sasa basi hata leo akiwepo nabii au yeyote yule lazima tumpime na mafundisho ya Yesu.Hii ndo maana biblia INA mafundisho ya hao manabii na mwisho imehitimisha na mafundisho ya Yesu na mitume wake.Huu ndo Ukristo.Tunapokataa uislam tunamaanisha Mohammed angekuwa ametumwa na Mungu angefundisha mambo yasiyopingana na mafundisho ya Kristo.
Ni wapi Muhammad alipopingana na Yesu?
1:uislamu haukamiliki,mpaka uamini mitume iliyopita akiwemo Yesu,na ametajwa na ndani ya Qur'an.
2:Mamake Yesu, amepewa kipa umbele katika uislamu,mpaka ndani ya Qur'an kuna chapter nzina inaitwa Suratil Maryam.
3:Kitabu cha Yesu,Injili, kinatambulika katika uislamu,na huwezi kuwa muislamu,bila kuamini Injili(sio biblia,biblia sio kitabu cha Yesu).
4:Ibada zote, mavazi,alivyozikwa Yesu na sanda ,bila sanduku,ndio waislamu wanavyozikwa.
5:Ibada ya kusujudi(kwenda chini kifulifuli,ndio waislamu wanafanya,kunawa mikono,miguu nk, ibada,kama alivyofanya Yesu, ndio waislamu wanafanya.
6:Yesu alisema ,Mungu ni mmoja,waislamu wanafuata Mungu mmoja.Nk
Tatizo uktristo umetokea kwa wazungu ulaya,wakati Yesu ,aliishi mashariki ya kati,mila za kizungu zikaingizwa katika ukristo, ndio mnafikria ndio Yesu,alivyoagiza:
1:Kuabudu kwa kupiga magoti,badala ya kuanguka kifulifuli.
2:Kuzikwa kwa suti na vyeli,na sanduku,mila ya kizungu.Badala ya kufuata Yesu,aliyezikwa kwa sanda(shuka).Bila sanduku.
3:Kuvaa wanawake nguo fupi, bila kujifunika kichwa,mila za kizungu.Wakati mamake Yesu, anaonekana amevaa ushungi na nguo ndefu.
4:Kutonawa maji, kabla na wakati wa ibada.Mila za kizungu,wazungu kutokana na baridi kwao na barafu, hawaogi was kujisafisha mara nyingi.
5:Kuanudu Mungu,zaidi ya mmoja.
Kumbuka Yesu ni wa mashariki ya kati,dini aliyokuwa nayo Yesu, ilitakiwa ienezwe kutoka mashariki ya kati,sio kutoka Ulaya.Kama uislamu,umetoka moja kwa moja mashariki ya kati,na kupelekwa dunia nzima.
 
Waarabu wanamwogopa sana Paulo ndomaana wanatapatapa daily hawana hoja wanalia lia tuu
Paulo ndio anawaogopa waaarabu,ndio maana hakupeleka ukristo nchi za kiarabu,alipeleka kwa wazungu.Jiulize swali, kwa nini mashariki ya kati,mpaka Yesu anaondoka haakukuwa na wakristo,ukristo ulikuja baada ya kuondoka Yesu.
 
Waswahili wanahangaika kubishania dini ambazo zilikuja na jahazi....
Mtu mweusi ni kiumbe cha ovyo sana, kimejikita kwenye maandiko ambayo yamekifanya kiwe cha mwisho kwenye kila kitu....
Bila kuacha Tabia hii ya kishenzi, utumwa utabaki kua sehemu ya maisha ya mtu mweusi mpaka mwisho wa uhai.
 
Paulo ndio anawaogopa waaarabu,ndio maana hakupeleka ukristo nchi za kiarabu,alipeleka kwa wazungu.Jiulize swali, kwa nini mashariki ya kati,mpaka Yesu anaondoka haakukuwa na wakristo,ukristo ulikuja baada ya kuondoka Yesu.
Damascus, Antiokia ni nchi gani kwa sasa...
 
mnalishwa matango pori weweeee, na nyie mnakubali tu. aliyewalaani aliwaharibu kwelikweli. Mmekomaa tu tu Ibrahi Muisalmu. Uilslam umeletwa na Mohammad wenu miaka mingi sana hata baada ya Ukristo, huo uislam Ibrahimu aliupatae! Huko kwa waassi wenu wa Uislam hamna manabii? Kwani mmng'ang'anie Akina Musa, Daudi, Suleman, Zakaria ambao wote ni Wayahudi na wakati huo huo Wayahudi mnawalaani? Hakika mnaangamia kwa kukosa maarifa. Sasa mwenye Uislam wake amesema anaanzisha uhusiano rasmi na Israel wakati nyie mambwa mkotoana macho humu bi
Hivi wwewe unadhani waisrael hakuna waislam? Sa ajabu ipi kina Musa na Daudi na Yusuf na Yesu wakiwa waislam? Mbona hujibu swali Musa, Daudi, Yusuf na Yesu wapi walisema wao ni wakristo? Mbona unakimbia. Afu nakuliza Ardhi ya Kinani ni Ardhi ya nani, Hivi we hujui Nabii Daudi alifadhiliwa na wapalastine. Hebu nipe kisa cha Mwanae Yusuf au mnavyo muita Joseph nani aliye mdhuru? Au bibilia haina ujuzi hapo. Kuhusu Ibrahim yeye ni mtu aliye tokea Iraq. Au wewe unaweza kusema Ibrahim alitokea wapi?
 
Kabisa na wewe unaiamin Quran hii iliyokuja na muhamad miaka karibu 500 baada ya kristo?

Maana maandiko ya kabla ya huo msahafu, HAYASEMI KUWA WAYAHUD WATAPOTEA,
Mimi najua hivi Zaburi alikuja nayo Nabii Daudi na Taurati alikuja nayo Nabii Mussa na Yesu alikuja na Injili na Nabii Muhammad alikuja na Qur'an sa nani kaja na bibilia?
 
Nawe kwako heshima,

Sasa unasema kama wanaamini Mungu Mmoja , si wangekuwa na dini moja ama vipi hapo mkuu ? Au ndo ile nadharia ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu wanaamini huyó huyó ? Kwani kuna baadhi ya Mitume ni wale wale kwenye hizo dini.
Wayahudi ni watu nisio waelewa kabisa. Utasikia wanakwambia Mungu ni mmoja hana Baba wala Mama alafu mwisho kabisa anakwambia Yesu ni mwana wa Mungu. Hapo ndio huwa nachoka kabisa, iweje Mungu akose Baba na Mama alafu awe na Mtoto.!!??

Ni Upumbavu na Ujinga kumwambia Mungu ana Mtoto.
 
Waswahili wanahangaika kubishania dini ambazo zilikuja na jahazi....
Mtu mweusi ni kiumbe cha ovyo sana, kimejikita kwenye maandiko ambayo yamekifanya kiwe cha mwisho kwenye kila kitu....
Bila kuacha Tabia hii ya kishenzi, utumwa utabaki kua sehemu ya maisha ya mtu mweusi mpaka mwisho wa uhai.
Kaa hivyo hivyo siku ukifa ndio utajua kuwa ilikuwa utumwa ama sio.
 
Lugha unayotumia ya kiswahili,imeanzishwa na waislamu,watu wa Pwani,kupitia waarabu,namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,zinaitwa namba za kiarabu,waarabu waislamu ndio wamezisambaza duniani.Chuo Kikuyu cha kwanza duniani kimeanzishwa na mwanamke wa kiislamu,Morocco,halafu wajidanganya,waislamu hawakwenda shule.
sasa unampigia kelele kwani yeye ndie aliye sema wajinga aliye sema ni muhammad [emoji117]
Quran-Chapter-62-Verse-2.jpg
cholo una matatizo hau [emoji4]
 
Muhammad hakuleta uislamu kijana naomba usome vitabu vizuri alichokuja kufanya yy ni kuuendeleza na kuusambaza zaidi kwa walimwengu wote kwani yy ndo mtume wa mwisho.
hiyo umekaririshwa kizwazwa na kwa nakors madrasa dogo [emoji12] tuwekee aliye leta hiyo dini basi! tunajua aliye anzisha feen hiyo ni muhammad mtoto ewa abd allah [emoji117]
Mohammed_creates_islam.jpg
 
Kama uislamu ungeanzishwa na Mtume Muhammad,asingewaunga mkono mitume waliyopita,kuanzia Adam mpaka Yesu, na vilvile asingesema Ibrahimu ndio baba WA Imani wa uislamu.Angewapinga au asingewataja Mitume iliyopita.Angalia mifumo ifuatayo:
1:Ubudha,hawataji habari za mitume iliyopita,hata Yesu hawamtaji wala hawamtambui.
2:Hinduism,hawa hawataji mitume iliyopita,wala Yesu,hawamtamhui.
3:Sikhism ,hawawatambui mitume iliyopita na hata Yesu hawamtambui nk
kwani kuwaunga mkono mitume ndio uwe mtume...tuwekee ushahidi humu Mungu kamtuma mudi [emoji57]
 
kwani kuwaunga mkono mitume ndio uwe mtume...tuwekee ushahidi humu Mungu kamtuma mudi [emoji57]

Tuwekee ushahidi humu Mungu alimtuma mwalimu wa shoga Yayo Agassi amfundishe ushoga
 
Back
Top Bottom