Yote uliyoandika,yako kinyume na unavyofahamu
1:Kwa watoto wa mashariki ya kati kipindi cha nyuma,mtoto wa miaka 9 ,ni mkubwa ,ndio ukaona Mariya,mamake Yesu,kamzaa ana mika 13,fikiria mimba iliingia ana miaka mingapi kama sio 12,na alinza uchumba na Joseph Mzee wa miaka 95,akiwa na miaka 9.
2:Huko kunyonya ulimi,huo ni utalaamu wa kitabibu,hata mtu aliyepoteza fahamu kwa mujibu wa itibabu,kama amekosa hewa, unampulizia hewa mdomoni kama vile una mnyonya,jaribu kujigunza huduma ya kwanza.
3:Hakuna mkwewe ,aliyemuoa.Toa ushahidi wa jina la mtoto wa kiume,halafu tuangalie ni miongoni mwa watoto wake?
4:Uislamu hakuanza na Mtume Muhammad,uislamu ulianza yoka Adam aje duniani.Ila kwa karne hizi za sasa, ndio yeye aliyeanzisha upya kuutangaza uilslam.Ndio ukaona uislamu unawataja mitume waliyopita kuanzia Adam mpaka Yesu.
Jiulize kabla kuja ukristo baada ya kuondoka Yesu, mashariki ya kati na kwingineko duniani,kulikuwa wakifuata dini gani? Na hiyo dini ilikuwa mtume wake nani na wakitumia kitabu gani,kama sio
Zaburi
Taurati
Injili(sio biblia)
Na uilamu ,unaviamini vitabu hivyo,na kutamhulikana katika uislamu.