Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

WAZEE WA KANISA MACHO YAO YAKO VILIMANI WANAANGALIA UTUKUFU WA MUNGU 😛😛😛


Deacon-ordination-IMG_7396.jpg

MALI ZIMEANIKWA MBELE YA WAZEE WA KANISA , KAZI KWAO


23ordination1.jpg

WAZEE WA KANISA WANACHECK MALI , JEE INAFAA ??


ordination4jpg-4144ebe69e92d216_large.jpg

CHAGUA MWENYEWE , NAONA WAZEE WANAJICHAGULIA MALI

4e86460d22529c2281260fd541d139dc--catholic-religion-roman-catholic.jpg
kisilamu silamu+kilingeni lingeni
8b8e928e4f0f910663b72878658b71d9.jpg
umepatia sana hapo lazima uzawadiwe takbir na tawire nyingi tu.. ume-copy ukaja uka-paste ki-hivi
16684121_966728550128479_2187577116750064443_n.jpg
hataree mivutu as if mishimo ya ngobari hata magrinet.4 yanazama... kabla ya ku-paste kihivyo ungeuliza ili upate maana dogo ona unavyo jifedhehesha kwa ujinga
 
kisilamu silamu+kilingeni lingeni
8b8e928e4f0f910663b72878658b71d9.jpg
umepatia sana hapo lazima uzawadiwe takbir na tawire nyingi tu.. ume-copy ukaja uka-paste ki-hivi View attachment 663445 hataree mivutu as if mishimo ya ngobari hata magrinet.4 yanazama... kabla ya ku-paste kihivyo ungeuliza ili upate maana dogo ona unavyo jifedhehesha kwa ujinga



WAZEE WA KANISA MACHO YAO YAMEKODOLEA VILIMA WANAANGALIA UTUKUFU WA MUNGU 😛😛😛


Deacon-ordination-IMG_7396.jpg
 
Heshima kwako...
Kwanza niseme kuwa wayahudi sio wakristo (baadhi ni wakristo) pili Uyahudi ni dini kongwe kuliko ukristo. Ukristmho umeletwa na Yesu Kristo (wafuasi wa Kristo)

Ila wakristo na Wayahudi huamini katika Mungu mmoja, zaidi Biblia takatifu kimewahasa wakristo na watu wote "ATAKAYE IBARIKI ISRAELI NA YEYE NITAMBARIKI, ATAKAYEMLAANI ISRAELI NA MIMI NITAMLAANI" hayo ni maneno ya Mungu
aliye hai.


Sasa basi kwa mkristo anayelijua neno ni lazima aibariki /kuitakia mema/kuiombea mema Taifa la Israeli.

Habari mkuu, nilikuwa offline kidogo kwa pirika.
Ahsante kwa majibu yako ILA nina maswali zaidi kutokana n'a hio post yako;
1; Je nani kaamua kusema kuwa Mayahudi n'a Wakristo wanaamini MUNGU Mmoja ?
2; Je Waislamu nao wanasema wanaamini huyó huyó Mungu, Wapo sahihi nao ? Au sio sahihi ?
3; Je Mungu huyó ni Yule wa utatu mtakatifu ama Umoja na ukuu wake ? Je kama ni utatu mtakatifu, wayahudi wanao Pia utatu mtakatifu ama Umoja na ukuu ? (Pía kuna baadhi ya madhehebu ya Wakristo wanapinga utatu mtakatifu, na hizo huwafanya wakakubaliana na waislamu kwenye hilo).
4; kuhusu kuwabariki au laa, nitakuja tena.
Ahsante kwa majibu yako, natarajia kukusoma tena.
 
Wenye kujua naombeni mnieleweshe
1.Hivi huu ugomvi una u islam na ukristo ndani yake?
2.Hivi akina Netanyau ni wayahudi? na kama ni wayahudi ni wayahudi wa dhehebu gani?
3.Walioko palestina wote ni waislam?


Kina Netanyahou ni "wayahudi "wenye kuifata dini/imani hio, asili yao ni Dola ya Khazar, hawa ni wazungu, hawana tofauti na wazungu wengine.(sijui dhehebu lake, pole siwezi kukujibu Hilo).

Pía kuna wayahudi was kifalasha , wale wa Ethiopia.
Pia kuna baadhi ya makabila ya kiafrika Kama LEMBA, nao husema ni wayahudi wa damu, ni kizazi cha wale makabila 12.
Kuna wayahudi wa Afrika kaskazini, sefardí ambapo walikuwepo enzi za utawala wa kiarabu kule Uhispania na Ureno (wakatimuliwa pamoja na waarabu, wengine walibaki huko ila kwa sasa ni Wakristo, walilazimishwa kuukubali ukristo na waache Uislamu/ Uyahudi wao).
Palestina sio wote waislamu ingawa wengi wao ni waislamu, Wapo Pía Wakristo palé.
 
Back
Top Bottom