Ukweli kuhusu maua recruitment agency

Ukweli kuhusu maua recruitment agency

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
heshima kwenu wakuu nimepigiwa simu na hawa jamaa kwamba nimepata kazi nbc nimeshapply wananiambia ili nipate kazi inabidi nilipe kwa tigopesa tsh 100,000 ya kwao kama recruitment agency, kuna ukweli wowote kwa hawa watu mwenye kujua kama kweli unapata kazi au magu,ashi ukishawapa pesa na biashatra na wew imeiosha mwenye kujua tafadhali.,naomba kuwasilisha,ahsanteni
 
Mkuu weka makini yako hapo unaibiwa
mchana kweupe huu wizi kabisa.
 
Kimbia wezi hao. Kama wanataka hela waambie unawapelekea cash ukiwa na mwanasheria wako(waambie tundu lisu ndo wakili wako) wakikujibu njoo nambie tuangalie cha kufanya.
 
heshima kwenu wakuu nimepigiwa simu na hawa jamaa kwamba nimepata kazi nbc nimeshapply wananiambia ili nipate kazi inabidi nilipe kwa tigopesa tsh 100,000 ya kwao kama recruitment agency, kuna ukweli wowote kwa hawa watu mwenye kujua kama kweli unapata kazi au magu,ashi ukishawapa pesa na biashatra na wew imeiosha mwenye kujua tafadhali.,naomba kuwasilisha,ahsanteni

Naona mtu anaibiwa hvhv kabisa...ckubali...kiongozi wezi hao,kuwa makini mjini hapa...mawazo yng tu lakini pia unaweze fanya utafiti mdogo tu ukaja na jibu sahihi...otherwise utaibiwa kiongozi,nakwambia utaibiwa,utaibiwa,oohhhoohh utaibiwa nakwambi.
 
Back
Top Bottom