Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

Mbona haya mambo ni tofauti kulingana na historia iliyopo, tunajua waliofanya haya mambo ni waarabu kwa ajili ya utumwa. Huu mkanda umepikwa kwa ajili ya kumchafua Nyerere au? Nyerere angefanya mambo haya kweli wazanzibar na ulimwengu wakati huo wasingenyamaza kimya hadi leo ingeandikwa au kungekuwa na tetesi sio video za vificho vificho. Mbona Idd Amini hawakuficha ficha. Sisi tunajua Zanzibar ndio ilikuwa soko kuu wa watumwa Afrika mashariki na hapo walinyogwa babu zatu wengi sana. Au ndio wanataka kutukumbusha uchungu wa babu zetu nini kitu walichowafanyia. Halafu kuna lugha ya kitaliano ndani ukiacha ya kiarabu. Wazanzibar kama wanataka kujitenga wajitenge kwa amani sio kuwachafua watu wengine.
 

Aliyeandika hicho unachotaka tusome ana akili na mawazo kama yako. Kwa hiyo siwezi kupoteza muda wangu kufungua hicho unachotaka tusome.
 
Nakubaliana na wewe.....

Hata hizo Video, ni Hollywood wanatengeneza Film ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kama kawaida, huwa wanatia chumvi kibao. Ndiyo maana unaona wanaongea kwa Kiingereza na Mwaarabu kafanya kubandika sauti lake na kujifanya ni film ya ukweli ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Nimesikia kuwa Picha hii ambayo gharama zake kubwa sana kuitengeneza, wameamua kuibadilisha na kuwa 3D jambo ambalo litafanya ichelewe kutoka.

MSISHTUKE sana na hicho ki-film. Hollywood wako kazini na KIINI MACHO kitakachoishia kwenye Silver Screen.
 
Ndiyo maana hata Mwingereza akipata kichapo, huwa nacheka.

MWarabu akichukua kibano, kwangu furahaaa.............

MWAARABU na MZUNGU wakizipiga, siku hiyo niko PEPONI.
 

Kama walisema ungewasikia? kutokea wapi?
 
Check your history again no black skinned from Tanganyika get involved only the Dark Skin Zanzibari's and the guy from Uganda.

It seems that you are a light skin and you still cannot take it Zanzibar is under Dark Skilled Muslim???

Umekosea, jaribu tena.
 
  • Viongozi wa Mapinduzi Wanatoa ushuhuda live on Television
  • Sheikh Karume anaongea
  • John Okello anaongea
  • Abdulrahman Babu anaongea
 
Last edited by a moderator:
Prove me wrong ... only u have is Nyerere which is hate? or you are a puppet ?
 
Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa ni mchakato au mlolongo wa matukio yaliyopelekea ufutaji au usitishaji wa biashara ya watumwa. Biashara ya watumwa ilikuwa biashara ilidhalilisha utu wa binadamu hasa waafrika ambao ndiyo walitumika kwa kiasi kikubwa katika biashara hiyo. Baadhi ya watu fulani Ulaya waliweza kuona madhara mbalimbali yaliyotokana na biashara hii hatarishi, na kuamua kuanzisha vuguvugu la kukomesha biashara hii. Wengi ya watu hawa walikuwa ni watu wa dini waliosukumwa na sababu za ubinadamu. Lakini baadaye mataifa kama Uingereza yaliongeza bidii katika ukomeshaji wa biashara ya utumwa. Kwa kiasi fulani ukomeshaji wa biashara ya utumwa ulikuwa una manufaa ya kiuchumi kwao hasa kufuatia matokeo ya mapinduzi ya viwanda yaliyotokea nchini mwao. Uingereza akiwa kama taifa kiongozi katika zoezi hili alisaidia kwa kiasi kikubwa katika ukomeshaji wa biashara hii ilipitia katika bahari ya Atlantiki na ile ya bahari ya Hindi. Siyo mataifa yote yalikubaliana na matakwa ya Uingereza ya kukomesha biashara ya utumwa, hivyo Uingereza ilipata upinzani kutoka kwa mataifa mengine yaliyokuwa bado yananufaika na biashara hii kama Ufaransa na Ureno.

Kwa namna fulani biashara ya watumwa ilibadilishwa kwa ukoloni. Chini ya utawala wa kikoloni, mabaki ya biashara ya watumwa na utumwa kama asasi ya jamii vilikomeshwa. Kwa mfano kati ya miaka 1860-1870, katika pwani ya Afrika Mashariki, wakati biashara ya watumwa ilikuwa inakufa huko Magharibi na Kusini, Afrika ya Mashariki ilikuwa inashuhudia kuhuishwa kwa biashara hiyo katika pwani ya Mashariki. Jitihada za Uingereza za kuzima biashara hiyo kwa kutiliana mikataba na Sultani wa Zanzibar zilikuwa na athari kidogo tu. Ni pale tu kulipoanzishwa utawala wa kikoloni katika eneo hilo, ndipo biashara ya watumwa ilipofika mwisho wake.
 
Majimshindo,
Naona umeshahamia huku. Umemaliza kule kwa Ustaadh Mohammed Said?
 
Prove me wrong ... only u have is Nyerere which is hate? or you are a puppet ?

Puppet? to whom?

Yes, hatred to nyerere indeed. What good was he? why shouldn't we hate a dictator who killed so many without any reason?
 

Hakuna aliekomesha biashar ya utumwa. Utumwa upo hivi tunavyoandika hapa, tena unazidi kushamiri. Nani aliekudanganya hakuna utumwa?

Soma zaidi:
http://www.alternet.org/immigration/128445/human_slavery_thriving_in_the_shadows/


Over 10 million people around the world are victims of human trafficking.
 

Kindly, confirm by one sentence that those leaders in BAKWATA are not muslims.

Why that happened, Mwinyi came into Power still he had teh same agenda as Nyerere? Now Kikwete he is in power is he maintaining Nyerere's idea?

What have you done to abolish this Bakwata and what is your plans?

Unanichekesha story za wazazi wa watoto wa kike, mwanao akipata ujauzito mwenye kosa ni MWANAUME! wow!

In Christian they have many religious association,

Kuna CCT-makanisa ya kiprotestant, kuna PCA, makanisa ya kipentekost,l kuna SDA, catholic n.k

Everyone is free, makanisa mangine hayafungwi na kundi lolote hapo juu,

Kuna ulazima gani wa kuwa na bakwata? msikiti wangu hapa mburahati unahusika vipi mpaka uwe sehemu au kutokuwa sehemu ya Bakwata,

miaka ya zamani suni na shia walikuwa wanapigana siku ya kuandama mwezi, siku hizo zimeisha

why akina Kawawa walikuwa mawaziri wakuu?

Tukirudi kwenye historia ya ukweli, walicholeta waarabu na wazungu ni vitu tofauti na mitazamo yao ilikuwa tofauti, wengi waislamu hawakusoma kwa sababu elimu haikuwa kipaumbele cha waarabu!

Kilichotokea ni kama sasa hivi umezaliwa mweuzi uanze kutafuta mchawi kwa nini imekuwa hivyo! kuna vitu tunazaliwa navyo na KUPIGANA NAVYO NI CHANGAMOTO lakini siyo kutafuta mchawi

Leo hii Nyerere hayupo lakini:

1. Tunashuhudia shule za kiislamu zikifanya vibaya sana
2. Tunaona magomvi misikitini
3. Tunaona vyuo vya kiislamu visivyokuwa credible na influential
4.Tunaona jamii za kiislamu nyingi maskini sana kwa sababu ya kuoa wake wengi na hata leo wengi hawana uwezo wala nia ya kupeleka watoto shule
5. Jamii ya kiislamu ndio iaanathiriwa na mimba nyingi za utotoni
6. Tunaona jamii vivu ya kiislamu yenye kupoteza muda kwenye mihadhara n.k
7. Jamii ya kiislamu ikipandikiza chuki kupitia magazeti, redio na sio kupeana DEAL

Haya yanafanyika na kutokea sasa still miaka 20 ijayo kuna mtu atasema ni sababu ya Nyerere??? THIS IS UNFAIR!!!

Please nimezaliwa kwenye jamii ya muunganiko wa waislamu na wakristo kwa bahati nzuri sana ndugu zangu waislamu wamesoma, you will never hear them discussing these issues, mmoja yuko ufaransa, mwingine yuko zake USA, mginine yuko zake dubai akisimamisha magorofa

Maendeleo hayana NANI KASABISHA YANA NINI TUFANYE!

BTW my wife is muslim we are normally laughing and discussing all challenges in our religion, she is working with Standard chatterd

Pleaese you guys mliosoma hamuwasaidii wenzenu
 

1) Kuwa muIslaam si hoja kuwa hutotumwa na nyerere kuwasaliti waIslaam wenzako, wako waliowasaliti waIslaam wenzao na baadae wakajuta.

2) Mwinyi ndie altowa "Ruksa" vyama vingine vya kiIslaam viwepo other than Bakwata, lakini ni Bakwat ndio state and church sponsored.

3) Tu abolish Bakwata means to abolish sponsors as mentioned above, we do not have a reason now as since Mwinyi's ruksa we can now move forward around bakwata and this is exactly what we are doing.

4) Wife ambae ni Muslim kuolewa na mtu ambae si Muslim huyo anaitwa murtaad ni si muIslaam kwa sasa, alikuwa muIslaam kabla hajaolewa na asiye muIslaam.

Mengine ni pumba tu na hayo majibu yametosheleza kote.
 
Mtoa mada angalia movie ya Goodbye Mr. Thomas inafanana na hii kitu. This has got nothing to do with mapinduzi ya Zanzibar. Hii ni biashara ya utumwa ndio maana unaona watu wapo kando ya bahari maaana huko ndiko walikuwa wanabebwa na kupelekwa kunako. Acheni kuwadanganya watu na story zenu za kipuuzi. Waarabu waliwauwa leo mnasema Nyerere. Ukiangalia kwa umakini ni movie fulani mtu ameedit kutengeneza story.
 
There is no proof at all those people on the helicopter had arms why they did not use; just find out that this is a play to make people Mad and go to the streets without knowing the truth it is a propaganda

After all it has to do with Race
 
How many people did he killed?? U don't know

There is no proof at all those people on the helicopter had arms why they did not use; just find out that this is a play to make people Mad and go to the streets without knowing the truth it is a propaganda

Try to go to Saud Arabia and see if you will be a first class citizen?

After all it has to do with Race
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…