Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Wewe jamaa nishapata wasiwasi na elimu yako hiyo ya ukimbizi itakuwa uliungaunga sana kwa maana uwezo wako wa kujadili
topic ambayo ipo kwenye field yako ni finyu mno, wewe umesomea kitu ambacho hauna passion nacho

Utakuwa ni design flani hivi ya mtoto mmoja wa kishua maisha laini mboga nane, umechukuliwa ukawekwa kwenye pipa ukaenda mamtoni ukasoma ulichosoma ila bado huna exposure ya kutosha na ulichokisoma

Umeweka certificate gani sijui za Marekani ukasahau jamaa hayupo Marekani bali yupo Canada, then ukataka jamaa akutolee hiyo certificate na akati anakuambia yupo Canada afu ndio katika interview yake ya kwanza

We ushawahi kuona mtu anapewa cheti na hajamaliza shule? (hiyo logic tu) cheti unapewa kama stakabali badala ya kufuzu/kuhitimu mafunzo fulani,

Hiyo US refugee admissions program haitambuliki kimataifa inatolewa na Marekani pekee wao Canada wana system yao pia tofauti kabisa, USRAP unatolewa na shirika lisilo ya kiserikali huko Marekani ila hakina application yoyote Canada na nchi nyingine

We jamaa itakuwa kweli umesomea hili swala na upo Marekani kweli ila una kauzembe flani ndio kinacho kufelisha,

Link1:

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Soma comment then urudie ku comment.
 
Kwahiyo wale waliokamatwa majuzi Afrika Kusini kuna pahali walikosea stepu bila shaka [emoji848]
 
Eti kuna sehemu mbili amedanganya alafu umeshindwa hata kuzitaja, kweli? Kwanimi usiweke kila kitu wazi watu tutafakari na upande wako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaa na kile unachokiamn,maswala ya kuvuka mipaka na ukimbizi nimekuambia nimesomea kupitia mpanho wa shirika la IOM na maswala ya nchi ya marekani nilisonea kwenye shirika la RSC

Upande wa IOM nulifundishwa A to Z kuhusu maswala ya ukimbizi na makazi vile vile nilisomea mashirika na nchini zinazopkea wakimbiz kwa utaratbu wao mpaka tanzania nimesomea na mwaka kila nchi ilipoanza kupokea wakimbizi na wahudumiwaj na wanaishi vipi na waingiaj kimagendo,sheria za nchi flan juu ya wakmbz,hayo yote nilisomea.ninaposema huu ni uongo ni uongo kwel
 
Wazanzibar kweli ni mabingwa wa kujilipua, wao ikitokea janga kwao ni fulsa, waandishi wanakamatwa na kuuliwa wao wanaunda vyeti feki na kusepa, kina Lisu wanapigwa lisasi wao ni fulsa Asylum.
kwa kunipa link ya huu uzi.

Nb: hii comment yako haijaniacha kama nilivyokuwa...
imenipa IDEA pana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee... jamani[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesomea mwenzio amefanya kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu shukuru Mungu umefika ulipopataka na pia muombe Mungu akufanyie wepesi kwenye njia ulioichagua, ila hii yakuponda Bongo mara sijui vile hakuna kitu mara vile na maneno meeengi haijakaa poa..

Ulichofanya ni mbinu tu uliyoamua kuitumia duniani hapa ili kufanikisha maisha yako, hapa hapa Bongo pia kuna watu wanakaza na wanatoboa bila shida tena wengine hata elimu hawana na wengine wana elimu za wastani tu..Kwenda nje au kubaki bongo ni mbinu tu za utafutaji.. Mkuu umefika Canada kwa njia za panya lakini watu wapo bongo hapa wamehustle wametoboa na wanakujaga huko Canada kutembea au pia watoto zao wanawasomesha huko na ada inatafutiwa bongo hapa...

Mkuu muombe Mungu akupe hekima ili wakati mwingine usiwe unaikejeli nchi yako, maana na sisi tunaweza kukukejeli kwa kukwambia unapenda mteremko maana Canada imejengwa na WaCanada na ndio maana ukapenda kwenda sasa Je nani ataijenga Tanzania nayo ikapendeza, unafikiri tukiwa na akili ya kukimbia kuna siku Tanzania itakuwa kama Canada?? Je
wajukuu zako na vitukuu nani atawajengea hii Tanzania??

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo na pia tumuombe Mungu kwa kila jambo..
 

Jamaa yangu nimekusoma mwanzo mwisho na huyu jamaa nimemsoma mwanzo mwisho, sidhani kama hata unafahamu unachojaribu kubishana na huyu jamaa.. Jamaa anaweza kuwa muongo au mkweli hilo sio issue bali issue ni arguments zanko ambazo hazieleweki au kifupi hueleweki unachobisha..

Dunia ina mambo mengi sana ambayo jamaa yangu inaonekana mengi huyajui, wanaokuja ulaya na America kwa njia za panya huwa wana namna nyingi sana ikiwemo hii na nyingine nyingi ambazo huzijui, binafsi nikikusoma nakuona kama mtu ambaye huzijui harakati za mtaani as wapambanaji zilivyokaa zaidi ya kujua the right path uliyopitia wewe au labda na wanaokuzunguka, kifupi unajua kiani theory na unajaribu kuileta kwenye maisha halisi..theory is the theory but practical life is very different..

Ukimsoma mleta maada na Mbinu zake anaeleweka vizuri sana japo kuna traces fulani za kiufundi kaziacha na jamaa wakiwa smart enough au wakiamua kuwa serious watamnyaka.. Mbinu hii na nyingine nyingi hutumiwa sana ili lengo litimie..
 
Wabongo tunapoikimbia Bongo na kwenda kusaka mkate ughaibuni tujaribu pia kuwekeza Bongo pale tunapotoboa ili kuokoa na kizazi tulichoacha nyuma lakini itasaidia kuijenga nchi yetu kuwa sawa na huko tunakokimbilia..kifupi tujaribu pia kuwa na uchungu na Tanzania aka your motherland na wajukuu wakija basi nao wajivune juu ya baba na babu zao kama wazungu wanavyojivunia urithi walioachiwa.

Ukiwa na una kipato jaribu kufikiria uwekezaji kwenye ardhi ya Tanzania ambayo bado mbichi na kubwa inayohitaji uwekezaji, ukiwa ulaya au America basi angalia fursa pia to connect them na nduguzo wanaohustle Africa, tafuta hata masoko ya maparachichi, mananasi, machungwa pure from shamba na yafike immediately europe, tafuta mabwanyenye huko yaconnect yaje yawekeze in connect na wabongo walioko huku kifupi kuwe na big connect kati yetu huko na big market in Europe and America.
 
Big up sana haya mambo yana watu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa kiasi huyu jamaa A3M.ni kweli ukitoka New York ni safari ndefu kurlekea boda isiyo rasmi ya kuingia Canada kupitia Quebec.utasafiri kwa basi kisha ukishuka utakodi taxi mpaka boda isiyo rasmi.pale itapokelewa na utasajiliwa na kukaguliwa kisha Utahojiwa.ukimaliza utawekwa chini ya ulinzi na kusafirishwa mpaka Montreal.Pale utahifadhiwa na kupewa huduma zote kama muomba hifadhi.kama utakubaliwa utasajiliwa na serikali ya Quebec na serikali ya Canada kama mkimbizi na utapewa haki zako mpaka ufapofanya mtihani wa uraia.so maelezo yake kwa namna moja ni kweli maana wengi wanakinbia marekani na kuingia Canada kupitia boda zisizo rasmi. Tupunguze kupopoa bali tumuhoji vizuri huenda kuna wanaohitaji kujilipua humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Western countries Kuna opportunity if your are hardworking Kuna level flani ya maisha utaishi, bongo opportunities ni finyu
 
Ogopa sana mtu anayekubishia alafu ajui chochote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…