Huwe is uweMkuu kwenda hata bar,casino,game za usk marekanii lazima huwe na ID au leseni ya udereva.hata kutembea mtaani lazima hvyo vitambulisho uweke kweny pochi maana hata ukifanya ajili ktu cha kwanza kukuhuliza ni ID au lesen yako
Kuna ofisi zingine uwez kuingia bila kuonyesha hvyo vtambuliisho.
Ukitaka kusafr lazma huwe navyo na sio hiari.Maana ndo kinakutambulisha
Kwenye course yako hukusoma illegal immigrants, smugglers?Mkuu unapondanganya watu usifikiri wote ni wajinga na unapojpanga kudanganya hakikisha unachokiongea una uhakika nacho
Sasa ni hvi
Mimi nimesomea maswala ya ukimbizi na hifadhi na nina lijua swali na ukimbiz vizur sana pili nimesomea namna wakimbiz wanavyoishi kwenye nchi zngne ila mimi nilibase marekani cheti changu niView attachment 1312680
Niko marekani miaka mitatu inakabia na nimeishi states 4 za marekani na nilipofjia ilikuwa NEW YORK naelewa hile border ya marekani na canda vizur sana
Vile nilisomea history na mipaka ya nchi ya marekani
View attachment 1312681
Haya ni baadhi ya masomonilifundishwa kuhusu namna mkimbiz anapokekewa na anavyoishi
View attachment 1312682View attachment 1312683
Nitakuwa nimekuoa mwangu kuwa mimi sibabaishi ninachokizungumza
Nchini canada nimeenda mara nne nikiwa canada na mara ya mwisho nilienda kupokea ndugu zangu.kwaiyo maisha ya ukumbiz wa Canada ninayafaamu vile vile Nina nimesomea
NB:nimesomea maswala ya ukimbizi kupitia shirika la IOM na nimesomea utamaduni,maisha,historia kuhusu nchi ya marekani kupitia RSA AFRICA.kwaiyo najua sheria za nchi mbali mbali kuhusu wakimbizi na hifadhi.
Sasa wewe toa CV yako
Afadhali umenipa ushindi...Haya mkuu basi ushindi wako
Nadhani hajafundishwa kwa maelezo yake. Na kwake hao watu hawapo na hawawezi kutokea Marekani.
Mke au ndg unaye mtumia atatia ndani watoto hawasomi, mke atajenga kwao na kujirusha, ukirudi utakachokiona ni kuzimia tu kudadadeki! fedha ni wewe , na wewe ndo fedha! asithubutu, km yule mfanya kazi wa tv alivo jiripua, ....saroHapo nikuwatumia madolari, waishi vizuri, watoto wasome vizuri, atume pesa za uwekezaji zijengwe kama lodge 3 za maana, awekeze awekeze ndio arudi bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashajitia kitanzi mwenyewe, atakuta hizi habari hapo kwenye file.hatujui usikute huyo mkenya mkalimani yupo humu.Hongera kwa kujilipua...
Omba Mungu tu waliokupeleka US kwenye mkutano wasipite hapa halafu wakaenda kukuchomea ubalozi wa US...
Kingine jiepushe na matumizi ya mitandao na kujiexpose kama hivi, dakika sifuri tu utapata hizi habari unaandika himu zipo kwenye jalada lako ofisi za uhamiaji ya huko...
Otherwise wakihakiki wewe ni Msomli basi jua ndio umeula hivyo hata wanao utaweza wasogeza huko
Tatizo lenu wbongo wengi mnadhani Canada na Marekani wanaishi wanamuziki tu, ndio maana hata mifano yenu yote ni ya celebrities tuuDuh Boss
watu wengi huwa wanatoka huko Canada kwenda USA kutafuta maisha
ILA
wewe umetoka USA Kwenda Canada kutafuta maisha?
watu Kama:
Drake Graham -Rapper
Celine Dion
Marley Brinx
Sunny Leone
Justin Bieber
Jim Carrey
Keanu Reeves
Shania Twain
Yaani wapo wengi mno waliotoka Canada
na USA ndipo wametoboa!
KILA LA KHERI RAFIKI
na
Next year mwezi wa April nakuja USA
Maryland (MD) panapo majariwa tukutane huko!
Hakuna nchi ambayo haina uhamiaji harafu dunian ishu ya mipaka ni tatizo la dunia nzima..kuweka vyeti kua umesomea jambo flan haimaanishi ndo utakua umefahamu kila kitu,anachosema mtoa mada ni vitu ambavyo tunaviona kila kukicha wala haina uhitaji wa kufika huko ili uamini..hebu nenda hata YouTube pitia documentary baadhi au nazo utasema ni fake..moja wapo hiii hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii pia
Amini unavyotaka kuamini.Nani wa kudharauliwa mimi au wewe uliyetelekeza familia na kwenda kudeki restaurants huko? If at all is true. Mimi naamini ni uwongo.
Sijakuomba uniamini kwasababu hata ukiniamini au usiniamini hainisaidii chochote ila nimejaribu kuwaelezea watu hali halisi ya Watu wanavyofanya kuzamia nchi za watu.Halafu umeongea ukweli kwamba Mkimbizi na Muhamiaji haramu ni watu wawili tofauti na ntakuongezea na Muomba hifadhi.Tafsiri ya hao watu watatu ni hii-;Muamiaji haramu na mkimbizi ni mambo mawili tofauti
Kulingana na jamaa alivyosema na alivyotembea kifupi tu maelezo yake jamaa ni muongo sana.maelezo yako ndo sababu ya mimi nimemwambia anachkiongea sio kweli.
Umesomea kweli Ukimbizi??Mbona unaonekana huna akili hiviMaswala ya ukimbiz nimesomea angalia vyet vyangu nilikuwekea,
Kwa maelezo yake na nchi yalioptia kufka canada ni uongo mtupu.
Unaweza kuingia canada ila kwa maelezo haya ni uongo
Yaani nimecheka sana.hapa ndio napata kugundua kuwa watu wengi hawayajui haya mamboMleta mada ni muongo wa kawaida sana.
Kwa haya aliyoyaandika humu nina uhakika 100% mleta mada hayupo Marekani wala Canada na wala hajawahi kufika huko. Mleta mada ameokoteza blah blah za vijiwe vya Tandale na Tandika. Pia ninahisi kuna issue ya upigaji inatafutwa hapa.
Sababu ni hizi hapa.
1/Mtanzania yoyote aliyefanikiwa kufika Marekani kwa mara ya kwanza, ni vigumu sana kufikiria kwa haraka suala la kukimbilia nchi nyingine kiharamu huku akiiacha Marekani.
2/Kwa mtu aliyekwenda USA kwa njia halali na huku kibindoni akiwa na zaidi ya Dola 3000 (Karibu Milioni Saba za kibongo) hawezi kizembe kizembe kwa haraka haraka kumwamini mtu asiyemjua ili kufanya dili haramu katika nchi ya ugenini.
3/Tabia ya kujilipua kiukimbizi iko kwa baadhi ya watu tu tena katika namna fulani ya kiupekee wala sio mtindo unaofanania kwa kila mtu. (Mara nyingi hufanywa na watu ambao hawana chochote cha kupoteza, wao lolote liwalo poa tu), mleta mada hana chembe za hizo tabia.
4/Hiyo safari ya kuvuka boda ya USA na kisha kuingia boda ya Canada kwa kutumia gari tena kupita vichochoro halafu kujishikisha kwa maafisa wa polisi wa Canada ni uongo wa kitoto wa kutengeneza hapa, hakuna kitu kama hicho. Mleta mada angekuwa amewahi kufika USA asingekuja na hii story hapa. Haijui USA na wala haijui Canada.
5/Sio jambo rahisi kiuhamiaji kujivika utaifa wa nchi fulani ambayo sio asili yako na usigundulike na maafisa wa uhamiaji. Jambo mojawapo ni lugha, pili wajihi na tatu tabia. Wasomali ni watu tofauti sana, sio jambo rahisi kabisa kwa muafrika yoyote kujiigiza msomali. Na usomali sio tiketi ya kupokelewa kuwa mkimbizi huko Canada. Ni rahisi kuhisiwa kuwa ni gaidi kuliko kupokelewa kama mkimbizi wa kisomali.
Usiendelee kuchosha watu humu. Unajaza saver kwa takataka. Tangu lini mtu aliyezamia at the expense ya kampuni iliyomtuma ng'ambo kikazi akaka kujiexpose namna hii? Wadanganye wajinga wenzio. JF ni pana ingekuwa kweli atleast uliokuwa unafanya nao kazi hapa bongo wangenshacomment chochote.
Hahahahahaa,unanifurahisha sana.Sasa cha ajabu nini mimi kuzamia.ikiwa nilifanya kazi na nikiwa na elimu ya digree hakuna nilichopata zaidi ya pesa yote kuingia kwenye matumizi hakuna kusave.Wakati huku nina uwezo wa kusave mpaka milioni 2.Bongo kuna nini Zaidi ya Urasimu weweUsiendelee kuchosha watu humu. Unajaza saver kwa takataka. Tangu lini mtu aliyezamia at the expense ya kampuni iliyomtuma ng'ambo kikazi akaka kujiexpose namna hii? Wadanganye wajinga wenzio. JF ni pana ingekuwa kweli atleast uliokuwa unafanya nao kazi hapa bongo wangenshacomment chochote.
Watu kama ninyi huwa hamkosekani duniani hapaKashajitia kitanzi mwenyewe, atakuta hizi habari hapo kwenye file.hatujui usikute huyo mkenya mkalimani yupo humu.
Na walivyo na roho za kwanini.
Wangapi waliotoboa kwa pesa hiyo?jomba Dola 3000 ni pesa ndefu mno ,au ulikuwa unamaanisha Dola 300.
Huo no mtaji bongoland unatoboa nao kabisa yaan
Daby Mrs Bishanga canada haina sheria ngumu za uhamiaji kama ilivyo USA Na Australia . pia ni nchi ambayo inahamasisha watu wenye ujuzi mbali mbali kuhamia huko kufanya kazi zipo nyingi watu wanahitajika kwa wingi ,hivyo wana program mbali mbali kwa ajili ya watu wanaopenda kwenda kuishi Canada ,hapa chini ni baadhi ya program ambazo unaweza ku apply na kupata kibali cha kuishi huko ,
Express Entry is an electronic management application system for immigration to Canada. It facilitates the selection and processing of Canada’s economic immigration programs:
- Federal Skilled Worker Program,
- Federal Skilled Trades Program,
- Canadian Experience Class,
- Provincial Nominee Program
Ingia google na uchimbe mwenyewe kujua ni namna gani uta apply na njia ipi inaweza kukufaa zaidi wewe,lakini endapo una ndugu au jamaa anaishi Canada basi inakuwa rahisi zaidi kupata kibali,google pia kama una ndugu unafata process gani ktk izo program za ku apply