Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Toa maelezo acha zamo...Canada au Marekani sio Mars au Pluto wawe tofauti na nchi zingine.

Ambacho anaeleza haliwezekani kivipi maana naona waruka ruka mzee baba?

Maswala ya ukimbiz nimesomea angalia vyet vyangu nilikuwekea,
Kwa maelezo yake na nchi yalioptia kufka canada ni uongo mtupu.

Unaweza kuingia canada ila kwa maelezo haya ni uongo
 
Maswala ya ukimbiz nimesomea angalia vyet vyangu nilikuwekea,
Kwa maelezo yake na nchi yalioptia kufka canada ni uongo mtupu.

Unaweza kuingia canada ila kwa maelezo haya ni uongo
Kusoma tatizo kwani..mimi hata sihitaji vyeti vyako vya nini. Hujaniwekea vyeti mimi na sivihitaji.

Nachohitaji ni kupinga kuliko na logic.

Mtu kashakuambia amefanyiwa mpango wa visa na agent kwa safari ya kiofisi Marekani. Alipofika akaachana na safari akaingia mtaani.

Amekutana na wana wakamwambia ingia Canada akaingia kwa njia za magumashi. Kipi kigumu hapa?

Marekani aliingia kama Mtanzania mwenye documents zote sasa Marekani wamkamate kwa lipi?
 

Unavyoongea ni kweli huna experience ngoja tu nikuache nataka kuongea na watu wenye experience
Yaani uongee mwnyew ujuwi chochte alafu tena unabisha

Aaah wabongo bhana
 
Unavyoongea ni kweli huna experience ngoja tu nikuache nataka kuongea na watu wenye experience
Yaani uongee mwnyew ujuwi chochte alafu tena unabisha

Aaah wabongo bhana
Usitafute namna ya kukimbia mkuu unaeishi Marekani unayebisha hakuna wakimbizi haramu wanaoingia Canada kupitia Marekani.

Tueleze hakunaje wakati juzi tu Aljazeera wameweka Documentary na nimekuwekea link hapo. Au wewe ulibebwa mgongoni ukatupwa America haujui umbali wa safari?
 

Imemwamini wapi wazee wakati hapo ni mahojiano tu...atapewa majibu baada ya kumaliza mahojiano naye.

Hivi kweli unasoma Comprehension mistari miwili halafu unakimbilia maswali utaweza kuyajibu?....
 
Kuna ukuta unaofika mawinguni kutoka kwenye border za hizi nchi mbili?
 
Kuna ukuta unaofika mawinguni kutoka kwenye border za hizi nchi mbili?

Wewe umesema mwenyewe ujuwi chochte sasa unabisha nini?

Yaani unasema ujuwi na bado unabisha maana yake nini
 
Umenichekesha sana ila inabidi nikudharau tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado amefungwa pingu.Subiri afunguliwe ataleta mwendelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bas wewe kaa na huo ujinga wako na mimi nikae na ninachokijua
Wewe ndiyo haujui chochote...toka mwanzo nakusoma unabisha bisha pasipo sababu.

Eti unatuwekea vyeti sisi tunashida na vyeti vyako. Mrudishie mwenye vyeti asije kukamata maana unayoandika hayaendani na aliyesoma.

Kama upo Marekani basi ulibebwa mgongoni ukaambulia bega la aliyekubeba, umbali wa safari utaujuaje???? Ambaye hakubebwa mgongoni anakuambia njia ina makorongo unambishia....huo umbali wa safari utaujulia wapi wewe?
 

Haya mkuu basi ushindi wako
 
You're right yani maelezo yako ni kama nilikuwa naangalia ile documentary ya boarders control.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi ambayo haina uhamiaji harafu dunian ishu ya mipaka ni tatizo la dunia nzima..kuweka vyeti kua umesomea jambo flan haimaanishi ndo utakua umefahamu kila kitu,anachosema mtoa mada ni vitu ambavyo tunaviona kila kukicha wala haina uhitaji wa kufika huko ili uamini..hebu nenda hata YouTube pitia documentary baadhi au nazo utasema ni fake..moja wapo hiii hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…