Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Ukiwa na fingerprint ya Kwa Mnyamwezi ukiingia Canada kuomba ukimbizi lazima wataviona na watajua kuwa umetokea bongo,kwahiyo almost haiwezekani kujipiga kusonjo(kisomali)Unless uwe na plan B,

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha fingerprints za NIDA na UHAMIAJI zinasoma hadi Canada?

Tupe shule kidogo sisi wa St. Kayumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umewahi kufika hata Nairobi tu??? Yaani unafananisha maisha ya Toronto na kwenu Shinyanga? Una akili kweli wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe itakuwa ni choko, mimi nimeanza kusafiri 1995 nimezunguka Europe nchi kibao,,Canada nimeishi sana,nilikuwa namwelesha huyu jamaa asifikiri maisha ya Canada ni rahisi kama wengi walivyokariri,
 
Umeenda mbele kutafuta maisha/hela au umeenda kutaka kua huru kama wazungu?

Ukitaka kua huru bora ubaki tu huku Igunga boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikwenda kwa ajili ya kutafuta lolote mkuu, nilienda kwa kazi yangu maalumu .... Nilitumwa na nchi yangu.. pesa haziji ghafla hivo japo mpaka uwe na moyo sana na subra ni miaka karibuni kumi na ndo una make unachotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo lazima ufanywe fulsa kwnza uhujumiwe na wabongo wenzio kwqnzia unao wajua na usiowajua .Bongo kugumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: A3M
Pole kwa changamoto ulizopitia, lakini kwa wenye elimu na ujuzi kuna njia halali za kuhamia kama skilled labour.
Mkuu hukuletewa mzungumzaji wa kisomali kukuhoji? Wengi wanaojisingizia usomali hukwama kwenye lugha.
 
Sikuletewa mkuu kwasababu maeneo niliyotaja ya Somalia hawaongei Kisomali wanaongea kibajuni na kibajuni kinafanana sana na kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe njaa zenu ndizo zinaichafua nchi yetu,kisa tu mupate kibali cha kuishi Kanada.
Nani aishi kwenye nchi inayonunua ndege wakati dawa hospitali hakuna.Na mnatangaza elimu bure wakati Walimu hakuna watoto watajifundisha wenyewe.Usilazimishe nifikirie Kama unavyofikiria wewe.Tanzania hatuna Serikali tuna kikundi cha watu wachache kinachoamua nani atawale kwa maslahi yao.Njoo Canada uone Raia wenye Serikali yao Kiongozi anaheshimu maamuzi ya Wananchi na havunji Katiba.Watu wanakosa maji Safi na Salama pesa inanunuliwa ndege.Tufike Mahala Watanzania tujitoe Muhanga ili kuokoa Kizazi chetu kinachofata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kama kitu hukielewi Bora unyamaze sikatai kwamba Marekani Wana System nakubaliana na wewe ila nataka nikwambie ukitaka kuvuka kihalali ni lazima uoneshe Passport ikiwa ni Mgeni ila ukiwa Mmarekani unachohitaji ni kitambulisho tu kuingia Canada lakini wazamiaji wote hupita border za panya ambapo hakuna kizuizi chochote cha kukuzuia usivuke kuelekea Canada kwa njia za Panya offcourse ukiingia utakamatwa tu kwasababu ni kosa kisheria lakini hawajadhibiti kwa kujenga ukuta kama ilivyo Mexico na USA.Canada ni rahisi kuingia kutokea Marekani yaani unanibishia mimi ambae nipo Canada na nimevuka Illegally.Na nimeongea na wengi tu hapa wanaeleza kuwa waliomba Visa za Canada wakakosa wakaamua kuomba ya Marekani wakapata kwahiyo wakaingia Canada Illegally na wapo hapa Kambini.Acha ujuaji mambo ya Kibaharia tuachie wenyewe wewe huna unachokijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo hayo yote yatabadilika kwa kila Mtanzania kukimbilia nje kuomba ukimbizi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…