Ukweli kuhusu maisha ya India

Umenikumbusha NYUMBANI.. PAHAR GANJ.....maisha ya CINEMA tupu. , ,,niliyoishi hapo
 
Mleta mada kwahiyo ulikuwa mwanachama wa CHAPUTA kwa muda wote uliokaa India!?.
 
Ko nikienda siwez kung'oa kigori mkuu na veep wanawake waloolewa ni wadangaji kama bongo?
 
Khaaa ..tumezoea wanaume ndio wawatongoze wanawake je huko kukoje binti ndo ana nafasi ya kumtakamume au inakuaje

Familia ya binti ndiyo inaamua binti yao aolewe na nani!! Kumbuka kuna classes huwezi kuziona katika hali ya kawaida ila kiukweli wahindi wanabaguana sana wenyewe kwa wenyewe!!

Mfano!! Ukoo wenyewe status kubwa ni wale Sikh (Kalasinga au Singasinga) huwezi kuwakuta masikini au omba omba!! Vivyo hivyo usitarajie watatokea kuoa au kuolewa na ukoo mwingine!!

Ndoa zinakwenda kwa status India!!
 

Kunguni na chawa ndiyo shida yao kubwa hawa jamaa!! Unaweza kulala hotel ya hadhi nzuri sana na bei kubwa lakini ukakutana kunguni!!!
 
Hakuna ma dada Poa wa kihindi huko? kwamba kwakua wanabana papuchi yao mtu uwende kujisevia wa madanguro.

Wapo ila ni ni very expensive!! Wanaitwa escorts kwa kule na unafanya booking online.

Wanatakaga ruppee 20,000 hadi 40,000 kwa usiku!! Na akijua wewe ni foreigner inapanda zaidi. Mie nishakataliwa kama mara tatu hivi baada ya kujua ni foreigner tena black madai yao eti tunasimamia dede show kama unatafuta madini then wasumbufu kulipa na wengine wana mibolo mikubwa inawaumiza
 
hiyo ilikuwa zamani mkuu, mm Dada angu ameolewa na muhindi pure sasaivi mwaka 6 huu na wamezaa watoto 2.
 
na kwamsingi huo munaouelezea hapa, hivi hata guest house zipo kweli?
 
Ila Mimi siwapendi wahindi asee...bahati mbaya nina mkosi nao,mi siwapendi but wao full kudata!
Ndo mana ukienda Mjini Idadi ya Wahindi waliodata inaongezeka kwa kasi, kumbe ww ndo Kichocheo???
 
Umesahau kuhusu ukimwi mkuu,India ndiyo nchi namba 1 duniani kwa kuwa na maambukizo makubwa.
 
Mkuu uione k ukubwani kweli?? Huko hakuna machangudoa wanao uza??
 
Kuhangaika kote kwenda huko ama kimasomo ama kwa sababu nyingine, observation yako ndio ilipoishia hapo ??? Tulifikiri ungetuambia kwanini vijana wao wamekuwa CEOs wa US corporates, n.k au vipi wanakabiliana na changamoto za kimaisha and so on ?
ww umeyajua hayo mbona hujatafuta jtueleze sababu usilazimishe kilamtu awaze unachotaka ww
 
Umenichekesha hapo eti wanakunya mavi na kukojoa barabarani...jamani khaa!!

True, karibu kila mita 100 kuna public toilets ambazo hazihudumiwi ipasavyo... ni mwendo wa harufu tuu. Kwa ujumla ni wachafu sana na hii inachangiwa na wingi wao na historia ( Inasemekana Mahtma Ghandi aliwashauri wanye na kukojoa hovyo ili kuwafukuza Wazungu kwa staili hiyo ambao kiasili hawapendi uchafu)
 
Kuhangaika kote kwenda huko ama kimasomo ama kwa sababu nyingine, observation yako ndio ilipoishia hapo ??? Tulifikiri ungetuambia kwanini vijana wao wamekuwa CEOs wa US corporates, n.k au vipi wanakabiliana na changamoto za kimaisha and so on ?
Ilikuwa lidogo niseme huyu bwana pamoja na tembea yake hana anachokijua kuhusu India!
Amefanya exactly alichokifuata huko na kurudi huwezi kuizungumzia India na ku generalize kihivyo as if India ni sehemu ya kwenda wahuni wahuni tu wafuata mademu vipi mbongo jike akiamua kwenda huko hii hadith itarelate nae?na mambo kadhaa wa kadhaa!India chafu nchi nzima?India joto ni kweli huju kama india is like asub continent kuna maeneo joto na maeneo baridi pia?
 

Singa singa wa kipato cha chini wapo ila ni kweli hakuna omba omba wa kisinga singa. Wamejiwekea utaratibu kama hana pesa ya kula basi anaenda Temple anapewa chakula bure na wana utaratibu wa kukopeshana.

Classes zipo na hapa juzi tuu kulikuwa na maandamano ya wale class ya chini kabisa kutaka wathaminiwe kama watu wengine.

Asilimia 60 ni Wahindu ambao wengi ni masikini. Singa singa ni asilimia chache sana na wapo zaidi Punjab na ndio maana pia wanaitwa waPunjabi.
 
Mkuu mimi nilikuwa siumizi kichwa sana nilikuwa natimba zangu GB ROAD kuchuja fresh tu.
 
Ni stori ya kweli wakuu...ninachotaka kuwaambia tu ni kwamba hawa watu wanalika tu vizuri.
Kikubwa ni yeye apende kuwa nawe na siyo wewe upambane kumtongoza ukidhani utafanikiwa kumshawishi.
Duuh kwahiyo ulipata zari la mentari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…