Ukweli kuhusu maisha ya India

Ukweli kuhusu maisha ya India

Usinikumbushe... yaani usinikumbushe. Kuna dada mmoja wa kihindi aliniachia chawa... vidogo vidogo...vyeusi tiii, vinawasha zaidi ya washa washa. Mimi kila siku nasikia mwasho kwenye ma*vuz* najikuna wee mpaka karibia underwear zitoboke. Nikadhani ni mba. Siku moja nikakaa juani na kuangalia... mama wee.. vichawa vidogo vidogo vyeusiii. Mpaka uangalia kwa makini ndiyo uvione. Nikapiga kiwembe na kupaka mafuta ya taa juu ndiyo vikaisha.
Vichawa hivyo mkuu ni vyako maana ni vyeusi na wewe mweusi vichawa vya wahindi ni kama rangi yao vyeusi vilikuwa vyako mkuu!!
 
hahaaa usinchekeshe, huyo demu wa kihindi ulimpata wapi macho_mdiliko
 
Vichawa hivyo mkuu ni vyako maana ni vyeusi na wewe mweusi vichawa vya wahindi ni kama rangi yao vyeusi vilikuwa vyako mkuu!!
Hapana mkuu. Vina-adapt mazingira labda. Nakuhakikishia ni huyo dada aliniachia. Halfu ubaya nilikaa navyo kwa muda mrefu nikifikiri ni mba. Nilikuwa sijui kama kuna vidudu vina attach sehemu hizo. Halafu vinawasha utafikiria vinaambiana sasa tushambulie na sasa tumpumzike.
 
Kuhangaika kote kwenda huko ama kimasomo ama kwa sababu nyingine, observation yako ndio ilipoishia hapo ??? Tulifikiri ungetuambia kwanini vijana wao wamekuwa CEOs wa US corporates, n.k au vipi wanakabiliana na changamoto za kimaisha and so on ?
Ningekushauri uanzishe uzi wako au ongezea alipoishia yeye mkuu!!
Mawazo yake sio yako!!
 
Mbna wahindi waliopo bongo wanajiweka km malaika

Halafu eti wahindi wa hapa bongo wanakataza mhindi mwanamke kuolewa na Mtz mweusi pia mwanaume mhindi ni marufuku kuoa MTz mweusi, Hivi hii imekaaje eti ni Kweli jamani?
Kama ni Kweli Mbona ni ubaguzi wa Hali ya Juu?
Kuna dada mmoja wa kihindi (Baniani) alijiua baada ya kukataliwa na wazazi wake kuolewa Na MTz mweusi!
Walikuwa wanaishi pale Tegeta Kibaoni by night opposite!
Wahindi Kwani sisi mnatuonaje?
Mbona sisi hatuoni Tabu kuoa au kuolewa na ninyi wahindi?
 
Ktk vitu nilivyo furahia India ni kuwa gharama ya usafiri ni nafuu sana, usafiri kama vile tax na bajaji ni nafuu sana!
Halafu kule wanatumia Magari Yao wenyewe wanayoyatengeneza Kwa hiyo fedha Za kigeni hazitoki nje!
Magari Kama vile Suzuki Maruti, Tata, Layland Duf, Eicher, Swaraj Mazda, Force n.k
 
Hello guys

Kama kuna mtu ana mipango ya kwenda kusoma india, namshauri ni bora asome bongo kwasababu india ni nchi chafu,kuna joto kali, maskini, na still ni nchi ya ulimwengu wa tatu, pia wahindi ni wachafu sana, huwa wanakata gogo na kukojoa barabarani, street zao nyingi ukipita zinanuka mavi na mikojo, vumbi ndo usiseme. Ukiajiriwa huku, mishahara yao kama ya bongo tu.

Pesa ya india ina thamani, incase kama umeenda india maybe kutalii, rupia 3000 unaweza ukaiona kama tshs 3000, kumbe actually ni sh 90,000/- za kibongo, so kama si mwangalifu waweza jikuta umetumia hela nyingi kwa siku bila wewe kutarajia. South india ni sehemu rafiki sana kwa foreigners, wanapenda sana ku-chat na waafrika, na kwa kiasi flani wengi wao wana roho nzuri.

Wanaume wengi wa kibongo wakija huku huwa na ndoto za ku-date na wadada wa kihindi, lkn ngoja niweke hivi vipengele bayana:

1)Wadada wengi wa kihindi wengi wanapenda sana watu weupe kuliko watu weusi kwenye maswala ya dating.
2)Wadada wengi wa kihindi wapo sexually conservative, unaweza ukawa boyfriend wake na ku*a usipate, baadae ataku-dump aolewe na mwanaume ambae wazazi wake wamemchagulia.
3)Unaweza ukapata girlfriend wa kihindi, lakini sio wa quality unayotaka wewe (huyo mdada utakaempata aidha ni reject, mtambo (akili zimefyatuka), au ana sura mbaya.
4) Wadada wengi wa kihindi wana aibu sana, hata ukitaka kumtongoza, interaction won't go anywhere.
5)Yeah, kuna wanaume wa kiafrika ambao hupata zali la kupendwa na wadada wazuri wa kihindi na hata kuoa wahindi wazuri, lakini that represents maybe less than 1% ya total male africans ambao wameshawahi kuja india.
6)Kwa mwafrika especially ukienda south india, wadada wengi wa kihindi huenda wakaanza kukushobokea, kuwa curious juu yako, na kukupa their phone number, but haimaanishi kuwa wamevutiwa na wewe kimapenzi, wakati kibongo bongo demu akikushobokea unajua hapa tayari nimepata mzigo

Kwa north india miji ya delhi, na mumbai ukienda no one gives a f*ck about you, saa ingine wakikuona mwafrika wanaweza ku-assume kuwa ww ni muuza madawa, lyk wana kaubaguzi flani hivi ingawa sio wote. Ni hayo tu
Hakuna ma dada Poa wa kihindi huko? kwamba kwakua wanabana papuchi yao mtu uwende kujisevia wa madanguro.
 
Halafu eti wahindi wa hapa bongo wanakataza mhindi mwanamke kuolewa na Mtz mweusi pia mwanaume mhindi ni marufuku kuoa MTz mweusi, Hivi hii imekaaje eti ni Kweli jamani?
Kama ni Kweli Mbona ni ubaguzi wa Hali ya Juu?
Kuna dada mmoja wa kihindi (Baniani) alijiua baada ya kukataliwa na wazazi wake kuolewa Na MTz mweusi!
Walikuwa wanaishi pale Tegeta Kibaoni by night opposite!
Wahindi Kwani sisi mnatuonaje?
Mbona sisi hatuoni Tabu kuoa au kuolewa na ninyi wahindi?

unajua kuna races/watu duniani hujiona wao ni bora kuliko watu wengine akilinjema
 
Usiwe zwazwa, hivi unajua population ya india ni zaidi ya africa? india population ni 1.2 billion, wakati the whole africa population yetu ni 1.1 billion, wahindi wengi ni maskini sana pengine kuliko hata maskini wa huku africa, hao waliofanikiwa kuwa CEO wa big US companies k.v sundar pichai, indira nooyi, satya nadella, etc wana-present 0.0001% ya wahindi wote

kwa mfano jay z, michael jackson, kanye west kuwa worldwide talented and famous entertainers, je inamaanisha kuwa waafrika wote wana vipaji vya kuimba?? Bravo Mike
Jay Z na Kanye West siyo wa Afrika mkuu, ni weusi.
 
Back
Top Bottom