witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,746
Ndo mana ukienda Mjini Idadi ya Wahindi waliodata inaongezeka kwa kasi, kumbe ww ndo Kichocheo???
hutakaaaga ueleweNdo mana ukienda Mjini Idadi ya Wahindi waliodata inaongezeka kwa kasi, kumbe ww ndo Kichocheo???
hutakaaaga ueleweKuna kamba Nyembamba sana inayotenganisha kati ya Chizi na Genius..,![]()
![]()
hutakaaaga uelewe
true kwenye vyoo ni wachafu mbaka mwaka jana walianzisha kampen ya vyoo inasemekana asilimia 80% ya wahindi hawana vyoo bbc news mwakajana walilipoti mi binafsi napenda madem wakijapaniHello guys
Kama kuna mtu ana mipango ya kwenda kusoma india, namshauri ni bora asome bongo kwasababu india ni nchi chafu,kuna joto kali, maskini, na still ni nchi ya ulimwengu wa tatu, pia wahindi ni wachafu sana, huwa wanakata gogo na kukojoa barabarani, street zao nyingi ukipita zinanuka mavi na mikojo, vumbi ndo usiseme. Ukiajiriwa huku, mishahara yao kama ya bongo tu.
Pesa ya india ina thamani, incase kama umeenda india maybe kutalii, rupia 3000 unaweza ukaiona kama tshs 3000, kumbe actually ni sh 90,000/- za kibongo, so kama si mwangalifu waweza jikuta umetumia hela nyingi kwa siku bila wewe kutarajia. South india ni sehemu rafiki sana kwa foreigners, wanapenda sana ku-chat na waafrika, na kwa kiasi flani wengi wao wana roho nzuri.
Wanaume wengi wa kibongo wakija huku huwa na ndoto za ku-date na wadada wa kihindi, lkn ngoja niweke hivi vipengele bayana:
1)Wadada wengi wa kihindi wengi wanapenda sana watu weupe kuliko watu weusi kwenye maswala ya dating.
2)Wadada wengi wa kihindi wapo sexually conservative, unaweza ukawa boyfriend wake na ku*a usipate, baadae ataku-dump aolewe na mwanaume ambae wazazi wake wamemchagulia.
3)Unaweza ukapata girlfriend wa kihindi, lakini sio wa quality unayotaka wewe (huyo mdada utakaempata aidha ni reject, mtambo (akili zimefyatuka), au ana sura mbaya.
4) Wadada wengi wa kihindi wana aibu sana, hata ukitaka kumtongoza, interaction won't go anywhere.
5)Yeah, kuna wanaume wa kiafrika ambao hupata zali la kupendwa na wadada wazuri wa kihindi na hata kuoa wahindi wazuri, lakini that represents maybe less than 1% ya total male africans ambao wameshawahi kuja india.
6)Kwa mwafrika especially ukienda south india, wadada wengi wa kihindi huenda wakaanza kukushobokea, kuwa curious juu yako, na kukupa their phone number, but haimaanishi kuwa wamevutiwa na wewe kimapenzi, wakati kibongo bongo demu akikushobokea unajua hapa tayari nimepata mzigo
Kwa north india miji ya delhi, na mumbai ukienda no one gives a f*ck about you, saa ingine wakikuona mwafrika wanaweza ku-assume kuwa ww ni muuza madawa, lyk wana kaubaguzi flani hivi ingawa sio wote. Ni hayo tu
Wapo ila ni ni very expensive!! Wanaitwa escorts kwa kule na unafanya booking online.
Wanatakaga ruppee 20,000 hadi 40,000 kwa usiku!! Na akijua wewe ni foreigner inapanda zaidi. Mie nishakataliwa kama mara tatu hivi baada ya kujua ni foreigner tena black madai yao eti tunasimamia dede show kama unatafuta madini then wasumbufu kulipa na wengine wana mibolo mikubwa inawaumiza
Ilikuwa lidogo niseme huyu bwana pamoja na tembea yake hana anachokijua kuhusu India!
Amefanya exactly alichokifuata huko na kurudi huwezi kuizungumzia India na ku generalize kihivyo as if India ni sehemu ya kwenda wahuni wahuni tu wafuata mademu vipi mbongo jike akiamua kwenda huko hii hadith itarelate nae?na mambo kadhaa wa kadhaa!India chafu nchi nzima?India joto ni kweli huju kama india is like asub continent kuna maeneo joto na maeneo baridi pia?
Lakini cc wtznia hatuwezi kuwaza beyond kupenda na Ngono tu.true kwenye vyoo ni wachafu mbaka mwaka jana walianzisha kampen ya vyoo inasemekana asilimia 80% ya wahindi hawana vyoo bbc news mwakajana walilipoti mi binafsi napenda madem wakijapani
Kweli kabisa nakubaliana na wewe mkuuUsiwe zwazwa, hivi unajua population ya india ni zaidi ya africa? india population ni 1.2 billion, wakati the whole africa population yetu ni 1.1 billion, wahindi wengi ni maskini sana pengine kuliko hata maskini wa huku africa, hao waliofanikiwa kuwa CEO wa big US companies k.v sundar pichai, indira nooyi, satya nadella, etc wana-present 0.0001% ya wahindi wote
kwa mfano jay z, michael jackson, kanye west kuwa worldwide talented and famous entertainers, je inamaanisha kuwa waafrika wote wana vipaji vya kuimba?? Bravo Mike
Ata ukiweka mzigo mezani mkuu?India hata kama ukienda kitajiri, ugumu utakuja kwenye swala la kumpata demu wa kihindi na kumgegeda, labda ukanunue malaya...au unaweza ukampata demu wa kihindi halafu ukaambulia mate, kushika tako, na kusugua chuchu titimunda
Muhindi HALISI haoi MWEUSI....labda muhindi wa KKOOhiyo ilikuwa zamani mkuu, mm Dada angu ameolewa na muhindi pure sasaivi mwaka 6 huu na wamezaa watoto 2.
PointUkienda kimaskini,kila nchi ni ngumu.
Utachafua ukoo kwa rangi nyeusiHalafu eti wahindi wa hapa bongo wanakataza mhindi mwanamke kuolewa na Mtz mweusi pia mwanaume mhindi ni marufuku kuoa MTz mweusi, Hivi hii imekaaje eti ni Kweli jamani?
Kama ni Kweli Mbona ni ubaguzi wa Hali ya Juu?
Kuna dada mmoja wa kihindi (Baniani) alijiua baada ya kukataliwa na wazazi wake kuolewa Na MTz mweusi!
Walikuwa wanaishi pale Tegeta Kibaoni by night opposite!
Wahindi Kwani sisi mnatuonaje?
Mbona sisi hatuoni Tabu kuoa au kuolewa na ninyi wahindi?
Duh kazi kweli kweliWapo ila ni ni very expensive!! Wanaitwa escorts kwa kule na unafanya booking online.
Wanatakaga ruppee 20,000 hadi 40,000 kwa usiku!! Na akijua wewe ni foreigner inapanda zaidi. Mie nishakataliwa kama mara tatu hivi baada ya kujua ni foreigner tena black madai yao eti tunasimamia dede show kama unatafuta madini then wasumbufu kulipa na wengine wana mibolo mikubwa inawaumiza