Mwaka 2007 kuna intern mmoja demu toka India bomba kama wale wa kny movie zao alikuja hospital moja ya rufaa na wenzake wake kwa waume kama 9 hivi,sasa walikuwa na tabia ya kutembea wote kila mahali, nikamlia timing Siku ya jumapili akiwa call nikatest zali kuwa baada ya mda wa kazi twende kutembea nje ya mji akasema tuongozane na wenzake au wawili tuu..nikamjibu yeye aonavyo,basi akaniambia ngoja akaongee na wenzake kama watajisikia kwenda then tutaenda wote...mda ukafika akajakuniambia kuwa wenzake hakuwakuta kny room zao hivyo tunaweza kwenda tu...mwanangu unaambiwa Siku ile matembezi yaliishia chumbani kwangu...mambo yakaendelea hadi waliporudi kwao India.