"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Ukishakubali kushika wadhifa fulani fulani, lazima pia uwe tayari kuacha tabia ulizokuwa nazo awali. Huyu kamanda yaelekea alikuwa na kimada kwa sababu haiwezekani kwa cheo chake amrejeshe ndugu usiku wa manane. Dereva hawapo Mwanza? Hakuna teksi? Je, hana mlinzi? Kitu gani kilimfanya awe kwenye faragha na huyo mwanamke? Hakika hapa kuna jambo ambalo muda msi mrefu litajulikana tu. Kwa wanasiasa pia hili ni fundisho! Mambo ya kukesha baa na sehemu za starehe hayafai!
 
Taratibu jaman vibaya kuisema maiti.

Bora ichomwe moto kabisa mkuu!! Kuisema tu haitoshi!! Hawa polisi tena wenye vyeo wanalia sana watu wake zao!! Halafu wakielewana wanakutafutia kesi na ufungwe ili wawe huru. Usiombe mkeo ampata afande!!! Utanyea kambi!!! Ha ha ha ha!!! Eti polisi jamii, kwani huwa wana silaha? Tehe tehe!!
 
Nadhani hizi ni stori tu ngoja iundwe tume...
Uchambuzi wangu wauaji walijifanya walinzi shirikishi.
RIP Kamanda.
Ila kama kweli ni walinzi jamii, basi labda watakuwa wame copy na ku paste tabia ya polisi ya kuua watuhumiwa!
 
Nakubali mia kwa mia kwa sasa nko vijj vya ndan sna huku Kilosa lakini habari nazipata kupitia jf sina hta hamu ya magazeti,kwakweli kwa uhalisia tuko na safari ndefu sna mpaka kufikia nchi ya ahadi maana huku kuna umasikini wa kutupwa
 
Usalama utarejea kama alikuwa anakula kwa kinga maana Libe mwenyewe mke alishakufa na yule Asha wa Tabora alishakufa, ngoma!!! Doroth naye si mjane kama sijakosea? Na ujane wenyewe pengine nao wa Ngoma!!! Khaaaaaa!!!

I see.
 
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka maeneo ya jamaa.

Mkuu Ritz, kwa akili yango ndogo mpaka sasa ninaamini polisi wa Tz. wako juu ya sheria RPC akitembea na mke wako unatakiwa kuwa mpole, ukijifanya una haki wanaweza kukubambikia kesi ya mauaji uakozea jera. Au wanaweza kukumiminia risasa wakasema wewe ni jambazi sugu.
 
Yani waböngo kwa kushadadia vitu,haya sasa kila mtu anasema ni mke wa mtu kwa kusikia.Trust me huyo alikuwa ni dada yake kabisa and there's more to the story than just assumptions
 
Polisi jamii na bunduki wapi na wapi? Na tuhuma dhidi ya mke wa chagonja ndio wameshaizima. Polisi kwa inteli-jinsia hawajambo.
 
Huyu ndo alikuwa Tabora anatimiza maagizo ya waliomtuma kwenye chaguzi zile,leo yuko kalasi duh!Tunasubiri tume ya nchimbi
 
Ukweli ni kwamba ,kamanda alikuwa anatoka Florida hotel kwenye kikao cha harusi ya mjomba yake .....na huyo teacher anaitwa DOREEN LYIMO na inavyosemekana ni moto chini na ni kawaida yake kurudi saa hizo.
 
Ile kitu wacha bwana!!!nyumbani unayo lakini una fwata nyingine!
Sijui ya mke wake sio tamu!
 
Back
Top Bottom