"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Hiyo ndo haki ya mnyonge ukifumania mali yako inaliwa we maliza hatuna uwezo wa kushindana walio juu ya sheria nawapa high vijana wa kazi;nao zamu yao kwenda kufanya uchunguzi kazi njema Tunaonewa sana wenye wake ambao siyo type yetu wanatumia madaraka kuwa rubuni wake zetu mwisho wa dhuruma ni kifo cha aibu
 
1.Polisi jamii tangu lini wanakuwa na bunduki?
2.Tangu lini polisi jamii wakagombana na kamanda? Je, kuvaa mkanda ni sababu tosha ya kuanzisha vurugu kiasi cha kupigana risasi?
3. Huyo mama kama unamfahamu, unafahamu kuwa huwa anapelekwa hapo na kamanda mara kwa mara na unafahamu kuwa anaisaidia polisi, kwanini usitaje jina lake?

My take: "ukweli" ulioutoa una mapungufu mengi, hasahasa kwenye kuelezea kina nani waliohusika kumuua kamanda.

Mkuu Mbona jina lishatajwa, anaitwa Mwalimu Doroth
 
Ndiyo maana nimesema "the so called polisi jamii". Kuna maswali mengi kuhusu polisi jamii hasa wanapoonekana wakiwa na silaha za moto. Wakati mwingine polisi jamii ni polisi wenyewe ila hawa inaonekana walikuwa polisi jamii raia na ndiyo maana marehemu akawahoji kwa nini wanafaa mikanda ya polisi. Nasikia walichukua ile radio call, cell phone na bastola yake.

matumizi ya hili neno yananithibitishia kuwa hii stori ni udaku mtupu!
 
je huyo mama anaporudi saa nane je mume huwa wapi?

Je huyo mume alisha muonya rpc, na mke wake?
Je rpc hakuogopa kufika eneo jirani na mwenye mke?
?

Wanawake wakiwezeshwa nao wanaweza! Mbona hamuulizi kuhusu RPC Barlow, anarudi nyumbani saa nane usiku, mke wake yuko wapi? Na mke wake alishamuonya mumewe (RPC)?
 
Kumbe ndio maana alimtetea yule polisi mwizi wa afisa uhamiaji, inaonekana kuna kamtandao ka kuiba wake za watu ndani ya geshi la bolish.
 
Duh jf kiboko kila kilicho ndan ya kitafunuliwa safi sna ckuhz nimeacha hta kusoma magazeti maana habari zote nazinyaka humu jamvini hata nikiwa kijjn maeneo ya miyombo,ulaya,kigunga,zombo et al napeta tu na jf
 
Hii inadhihirisha udhaifu mkubwa wa kiutendaji na kimbinu alivyokuwa navyo Kamanda marehemu. Ni dhahiri kwa jinsi alivyouawa kitoto hakustahili kupewa vyeo alivyokuwa navyo. Kamanda makini angetafuta back up kabla ya kujitokeza mwenyewe kufanya mahojiano vichochoroni.
 
Mkuu Mbona jina lishatajwa, anaitwa Mwalimu Doroth

napata maswali mengi kuliko majibu! Rco alitaka kumuua afisa wa uhamiaji. Huyo Rco anatuhumiwa kutembea na mke wa afisa huyo. Rpc ameuawa akiwa na mke wa mtu! Inamaana viongozi wa jeshi la polisi huko mwz wanakula wake za watu freely? Hawana wake zao? Vp polisi wadogo?
 
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka maeneo ya jamaa.
Ritz leo umekuwa mkweli sana!! Nimekupa na like Mkuu!! Kumbe ukiamua unaweza!! Ha ha ha ha !!!Wameshikwa pabaya. Sasa sijui IGP atoakuja tena na Press Release nyingine au yataisha kimya kimya kama yale ya Ulimboka na Mwangosi?
 
Duh jf kiboko kila kilicho ndan ya kitafunuliwa safi sna ckuhz nimeacha hta kusoma magazeti maana habari zote nazinyaka humu jamvini hata nikiwa kijjn maeneo ya miyombo,ulaya,kigunga,zombo et al napeta tu na jf

Halafu magazeti wanazichukua humu humu mkuu kwenye kisima cha habari zilizosanifiwa!!! Mimi huwa nasoma huku na maana kuna vina zaidi kuliko hata magazeti!!
 
Said mwema alivyotoa taarifa yake mapema mno nikahisi kuna walakini.
Kuna mengi yatafuatia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu Daudi Mchambuzi, pengine mimi nimerogwa! Kwani sijawahi kuamini hata siku moja taarifa ya Mwema na Ma-RPC wake kama zinalihusu jeshi la policeccm.Nimeaminishwa kuwa kule CCP policeccm wanafundishwa kuwa waongo na Mwema na M-RPC ni wabobezi wa uongo.
 
Hichi ndio kisima cha habari.

Duh jf kiboko kila kilicho ndan ya kitafunuliwa safi sna ckuhz nimeacha hta kusoma magazeti maana habari zote nazinyaka humu jamvini hata nikiwa kijjn maeneo ya miyombo,ulaya,kigunga,zombo et al napeta tu na jf
 
Back
Top Bottom