Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Umofia Kwenu wana JF,

Mwezi Uliopita Kulitokea Mgogoro kati ya Marehemu na mkewe kisa kilikuwa walishindwa kukubaliana jinsi ya kutumia fedha kihasi cha Tsh 40milioni,Mkewe alimshauri waendeleze eneo lao la Malolo ila mmewe alikuwa anataka kununua Nyumba Sehemu Nyingine.Baada ya kutofautiana kati ya mke na mme(marehemu),mkewe aliamua kuondoka zake na kumuacha marehemu mwinuka nyumbani kwake.

Baada ya siku mbili tangu mkewe aondoke nyumbani Onoratus Mwinuka alipotea katika mazingira ya kutatanisha,Siku inayofuata baada ya Mwinuka kupotea mkewe alirudi nyumbani kwake Malolo(1km mpaka Msitu wa Mabwepande).

Kilichotokea ni kwamba Mkewe alishirikiana na Shamba Boys(Wachunga Ng'ombe) wakamuua Onoratus na kuchimba shimo na kumfukia,kosa lililofanyika kwamba sehemu waliyochimba ni korongo la maji(Njia ya maji na walichimba kina kifupi),Kutokana na hizi mvua zinazoendelea maji yaliendelea kula udongo na sehemu ya mwili ikawa juu na kwa kuwa iiikuwa imezikwa kama wiki tatu zilizopita kukawa na harufu kali ambayo iliyowastua watu na kuanza kufatilia ni kitu gani hicho,ndipo walipogundua mwili wa Onoratus.

Shamba Boy mmoja baada ya kukamilisha zoezi na kuchukua fungu lake aliondoka zake mapema ila mmoja ndio aliendelea kukaa pale home na kuendelea na kazi yake ya kuchunga ngo'mbe.Kwa Sasa Mke wa Marehemu na Shamba Boy wanashikiliwa na polisi wakati upelezi ukiendelea.

Kwahiyo wana JF Makirikiri Hawahusiki na Kifo cha Onoratus Mwinuka bali ni Shamba Boys kwa tamaa ya Pesa,Tsh 40mil.

HAPA NI SEHEMU ALIPOOKOTWA DR. ULIMBOKA MSITU WA PANDE(RED RIBBON)
View attachment 495748
NJIA YA MALOLO VIA MSITU WA PANDE.(Hapo Ndipo Alipofanyiwa Umafia Mwinuka)
View attachment 495751

My Take:
Naishauri Serikali wajenge fensi kuzunguka huo msitu na kuweka Taa Juu ya fense pamoja na CCTV full Monitored kama wanataka kulihifadhi hilo eneo,kuliacha wazi kama lilivyo ndio linakuwa kama kichaka cha utekaji na uuaji wa watu.

Nawasilisha Kutoka MINJINGU.
Mkuu umetoa details kama wewe mwenyewe ni makirikiri vile,una picha zote,halafu uko kiwanda cha kuzalisha mbolea,umetisha.
 
Kuna kesi moja kama hii ilitokea zamani Sinza, yule dada 'hear say' zinasema mkono wake ulihusika katika kifo cha mumewe. Mume alijiweka vizuri na biashara, nyumba, magari. Walikuwa na watoto wadogo na mke akawa mrithi wa mali za marehemu. Baada ya muda kama miaka miwili alipata ka-kijana, kijana akawa ndiyo mpangaji wa maisha ya dada. Alimwambia hapendi kuishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu, ilibidi iuzwe wanunue nyingine, kumbe nyumba ilinunuliwa kwa jina la kijana. Ni mengi yalikotekea lakini katika kipindi cha miaka 10, mke wa marehemu alifisika kabisa.
Kwa mtindo huo wanawake wengi wameua waliotafutanao,kuzaa nao na kusaidiana,lakini hatimae nao wanafilisiwa na wanaokuja kuishinao mpaka wanaishi maisha ya fedhea sana.
Kale kadude kakipata muwasho akili inapotea.
 
Si ajabu mchunga ngo'mbe hapo alikuwa anafaidi.
Usiulize,ndiyo maana alibaki,
Ila wanawake ni majasiri sana,
Wakitaka lao hawasikii harufu wala hawaoni uchafu,usiyemtarajia kutingisha nyama ndiyo anaila kabisa.
 
Hawa viumbe kwa tamaa ya macho ni noma haya mambo yalianzia Edeni mwanamke baada ya kuona tunda hili linavutia na baada ya kusikia kwamba atakuwa kama Mungu kwisha habari
 
Bora kupigana na kuoa Ushuani tu, watoto ambao wameshazoea pesa, sio rahisi sana kushawishika kufanya upuuzi kama huo.

Mtoto ambae nae ana vicent vyake pia, ata kama ufalme wa mume utapungua sawa tu.
 
Kwa hiyo unataka sema kuna kiasi cha fedha ambacho ndo kinafaa kutoa uhai wa binadamu.?!
Ukitoa Laki nne kwenye ATM halafu majambazi wakakukaba na kukuibia na kukuua tunasema jamani Laki nne tuu¿?I'll ukitoa Benki milioni 40 na kuvamiwa na majambazi tunasema huyu Mtu alijitakia
 
Ndomaana huwa nawashangaa sana wanawake,dah ukiwaza sana huwez kuoa.
 
Back
Top Bottom