Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Umofia Kwenu wana JF,

Mwezi Uliopita Kulitokea Mgogoro kati ya Marehemu na mkewe kisa kilikuwa walishindwa kukubaliana jinsi ya kutumia fedha kihasi cha Tsh 40milioni,Mkewe alimshauri waendeleze eneo lao la Malolo ila mmewe alikuwa anataka kununua Nyumba Sehemu Nyingine.Baada ya kutofautiana kati ya mke na mme(marehemu),mkewe aliamua kuondoka zake na kumuacha marehemu mwinuka nyumbani kwake.

Baada ya siku mbili tangu mkewe aondoke nyumbani Onoratus Mwinuka alipotea katika mazingira ya kutatanisha,Siku inayofuata baada ya Mwinuka kupotea mkewe alirudi nyumbani kwake Malolo(1km mpaka Msitu wa Mabwepande).

Kilichotokea ni kwamba Mkewe alishirikiana na Shamba Boys(Wachunga Ng'ombe) wakamuua Onoratus na kuchimba shimo na kumfukia,kosa lililofanyika kwamba sehemu waliyochimba ni korongo la maji(Njia ya maji na walichimba kina kifupi),Kutokana na hizi mvua zinazoendelea maji yaliendelea kula udongo na sehemu ya mwili ikawa juu na kwa kuwa iiikuwa imezikwa kama wiki tatu zilizopita kukawa na harufu kali ambayo iliyowastua watu na kuanza kufatilia ni kitu gani hicho,ndipo walipogundua mwili wa Onoratus.

Shamba Boy mmoja baada ya kukamilisha zoezi na kuchukua fungu lake aliondoka zake mapema ila mmoja ndio aliendelea kukaa pale home na kuendelea na kazi yake ya kuchunga ngo'mbe.Kwa Sasa Mke wa Marehemu na Shamba Boy wanashikiliwa na polisi wakati upelezi ukiendelea.

Kwahiyo wana JF Makirikiri Hawahusiki na Kifo cha Onoratus Mwinuka bali ni Shamba Boys kwa tamaa ya Pesa,Tsh 40mil.

HAPA NI SEHEMU ALIPOOKOTWA DR. ULIMBOKA MSITU WA PANDE(RED RIBBON)
View attachment 495748
NJIA YA MALOLO VIA MSITU WA PANDE.(Hapo Ndipo Alipofanyiwa Umafia Mwinuka)
View attachment 495751

My Take:
Naishauri Serikali wajenge fensi kuzunguka huo msitu na kuweka Taa Juu ya fense pamoja na CCTV full Monitored kama wanataka kulihifadhi hilo eneo,kuliacha wazi kama lilivyo ndio linakuwa kama kichaka cha utekaji na uuaji wa watu.

Nawasilisha Kutoka MINJINGU.
Don't trust any woman except only your Mama....
 
Nataka niende nje kwa kitambo kirefu kiofisi. Na salary itaendelea kuingia. Kuna vitu viwili vinanipasua kichwa. Wife na atm card yangu. Hivi tu.
Ni marufuku kushare namba yko ya siri ya atm na mtu yeyote yule....ukizingatia hili utapata akili ufanye nini,western union ipo mkuu bora uwe unamtumie hela tu kuliko ajimilikishe Atm yko mamamae ukirudi utakuta amejenga nyumba kwa siri kwa mshahara wako au anamiliki biashara kubwa halafu we hujui chochote hpo ndipo dharau zinaanza mwisho wa siku mbaba unakimbiwa wanawake wenyewe ndo hawa wakina Giggy mapesa....(ni mtizamo wangu tu lakini braza).
 
Nadhani Ni yule walisema alitoka alfajiri kwenda kwenye shughuli zake baada ya kuwa ametoka na mfuko wenye pesa ambayo ilikuwa aende kununua pickup hilux wakati mke hakuwa ameridhia uamuzi huo.. ila akabadilisha mawazo na kumwambia mtoto wake arudishe hela ndani chumbani na afunge chumba vizuri....hiyo thread iko huku. Itafute
 
Daaaa mkuu umesimulia the very touching story..
Kuna kesi moja kama hii ilitokea zamani Sinza, yule dada 'hear say' zinasema mkono wake ulihusika katika kifo cha mumewe. Mume alijiweka vizuri na biashara, nyumba, magari. Walikuwa na watoto wadogo na mke akawa mrithi wa mali za marehemu. Baada ya muda kama miaka miwili alipata ka-kijana, kijana akawa ndiyo mpangaji wa maisha ya dada. Alimwambia hapendi kuishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu, ilibidi iuzwe wanunue nyingine, kumbe nyumba ilinunuliwa kwa jina la kijana. Ni mengi yalikotekea lakini katika kipindi cha miaka 10, mke wa marehemu alifisika kabisa.
 
Bwana wee acha tu! Hizi ndude sijui zina nini! Ukame ukizidi hata mzibua vyoo anairudi ya mama mwenye PhD. Mfano yule prof wa mahesabu wa UDSM baada ya mumewe kufariki mpaka akaenda uhamishoni Rwanda kumwepa aibu
Mkuu yupi huyu, nipenyezee inbox.
 
Umofia Kwenu wana JF,

Mwezi Uliopita Kulitokea Mgogoro kati ya Marehemu na mkewe kisa kilikuwa walishindwa kukubaliana jinsi ya kutumia fedha kihasi cha Tsh 40milioni,Mkewe alimshauri waendeleze eneo lao la Malolo ila mmewe alikuwa anataka kununua Nyumba Sehemu Nyingine.Baada ya kutofautiana kati ya mke na mme(marehemu),mkewe aliamua kuondoka zake na kumuacha marehemu mwinuka nyumbani kwake.

Baada ya siku mbili tangu mkewe aondoke nyumbani Onoratus Mwinuka alipotea katika mazingira ya kutatanisha,Siku inayofuata baada ya Mwinuka kupotea mkewe alirudi nyumbani kwake Malolo(1km mpaka Msitu wa Mabwepande).

Kilichotokea ni kwamba Mkewe alishirikiana na Shamba Boys(Wachunga Ng'ombe) wakamuua Onoratus na kuchimba shimo na kumfukia,kosa lililofanyika kwamba sehemu waliyochimba ni korongo la maji(Njia ya maji na walichimba kina kifupi),Kutokana na hizi mvua zinazoendelea maji yaliendelea kula udongo na sehemu ya mwili ikawa juu na kwa kuwa iiikuwa imezikwa kama wiki tatu zilizopita kukawa na harufu kali ambayo iliyowastua watu na kuanza kufatilia ni kitu gani hicho,ndipo walipogundua mwili wa Onoratus.

Shamba Boy mmoja baada ya kukamilisha zoezi na kuchukua fungu lake aliondoka zake mapema ila mmoja ndio aliendelea kukaa pale home na kuendelea na kazi yake ya kuchunga ngo'mbe.Kwa Sasa Mke wa Marehemu na Shamba Boy wanashikiliwa na polisi wakati upelezi ukiendelea.

Kwahiyo wana JF Makirikiri Hawahusiki na Kifo cha Onoratus Mwinuka bali ni Shamba Boys kwa tamaa ya Pesa,Tsh 40mil.

HAPA NI SEHEMU ALIPOOKOTWA DR. ULIMBOKA MSITU WA PANDE(RED RIBBON)
View attachment 495748
NJIA YA MALOLO VIA MSITU WA PANDE.(Hapo Ndipo Alipofanyiwa Umafia Mwinuka)
View attachment 495751

My Take:
Naishauri Serikali wajenge fensi kuzunguka huo msitu na kuweka Taa Juu ya fense pamoja na CCTV full Monitored kama wanataka kulihifadhi hilo eneo,kuliacha wazi kama lilivyo ndio linakuwa kama kichaka cha utekaji na uuaji wa watu.

Nawasilisha Kutoka MINJINGU.
Nauliza tu, huuyo mama Mwinuka ni mpalestina?
 
Mwinuka yupi huyo mkuu maana ni ukoo mkubwa sans huo.
 
Back
Top Bottom