Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

mama zetu wamejaa tamaa sana ndio maana mungu ametushauri tuwe nao makini sana wakati tunaishi nao wanabadilika kama kinyonga.
Kumwonyesha mwanamke pesa zilipo ni sawa na kumwonyesha adui silaha na ramani ya vita.
 
Nataka niende nje kwa kitambo kirefu kiofisi. Na salary itaendelea kuingia. Kuna vitu viwili vinanipasua kichwa. Wife na atm card yangu. Hivi tu.
Pesa za mitandao zinafanya kazi kokote! ATM sio inshu tena,ichukue km unadharura ya kwenda bank then ipoteze kwa makusudi,alafu nenda zako nje!Muachie ela ya kutosha wakiwa na shida wakucheki uwarushie! Ukimuachia kadi utakua umefanya kosa la kiufundi
 
Hili tukio halitofautiani na la yule bilionea Erasto Msuya,baada ya kuuawa mrithi wa Mali zake akawa mkewe chini ya usimamizi wa wifi yake,tabia ya mke wa marehemu kupenda dogo dogo wakamshauri ujinga akapanga mauaji ya wifi yake,matokeo yake ndio hio ananyea ndoo mali raia wengine wanaendelea kuzifaidi
Mkuu iliwahi kusemwa kuwa 'ras clamat dominor' ie property claims its owner!
 
Sikuwahi kuweka wazi mapato yangu kwa mke wangu na sitokuja kufanya hivyo , wanawake hawaaminiki kabisa kwenye pesa wanaweza kufanya lolote.
 
Hiyo ndiyo salama yako. Kuoa mke mmoja ni hatari sana kwa mwanaume. Wanaume wengi waliooa mke mmoja, wengi wao huishia kudhurumiwa na wake zao. Lakini wenye wake zaidi ya mmoja, huishi hadi uzeeni. Mke zaidi ya mmoja ndo suluhusho.
wewe umeoa wangapi?
 
Nchi yoyote ile lazima iwe na maeneo kama hayo kwa ajili ya kutesa,kupoteza na kuua kabisa watu hasa wanaoipinga serikali.

Wananchi wanatumia tu hilo eneo kama parking yao ya maangamizi ila ki ukweli ni mali ya serikali na TISS wanajua .

Shughuli nying Sana zinafanyika humo so ufyate mkia bwana mdogo mtoa mada
 
Back
Top Bottom