Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

Million 40 mbona ndogo sana kufikia kutoa uhai wa mtu tena mwenza wako! Mungu tuepushie mbali.
Tatizo kubwa ni kula k! Kama majambo yamekataa ukawa unakula k kwa macho, akinamama huwa wanaumia sana akipata wa kuibebena huyo ndiye mfalme kwake. Akipewa ushauri wa kukupoteza umeumia. Mara nyingi hii hutokana na babu kuoa dogodogo Sky Eclat
 
Si ajabu mchunga ngo'mbe hapo alikuwa anafaidi.
 
Nataka niende nje kwa kitambo kirefu kiofisi. Na salary itaendelea kuingia. Kuna vitu viwili vinanipasua kichwa. Wife na atm card yangu. Hivi tu.
Mimi hakuwa partner ni rafiki tu, nilijua ninasafiri kwa muda mrefu na yeye alikuwa anahaingaika makazi, hakuwa na makazi maalum. Nilimueleza nia yangu ya kumwacha yeye nyumbani lakini nilikuwa ninampima wakati ninaongea nae. Kwanza alijifanya hana shida, pili nikamwambia usijali. Sasa aligundua yeye ndiye mhitaji kuliko mimi wakati nilishapata mtu mwingine.

My take, anza kuongea nae taratibu ukimpima, kama unaona hafai badili gia angani. Pesa unaweza kumtumia kutoka huko uliko.
 
Bwana wee acha tu! Hizi ndude sijui zina nini! Ukame ukizidi hata mzibua vyoo anairudi ya mama mwenye PhD. Mfano yule prof wa mahesabu wa UDSM baada ya mumewe kufariki mpaka akaenda uhamishoni Rwanda kumwepa aibu
Usiombe ukutane na kijana ambae anafahamu kukupata ameua tembo kwa ubua, atakupa style zote za kukuchanganya.
 
Doohhh huyu mama sijui alikumbwa na baba hayupo mama unakwenda jela watoto wako atawalea nani,inaumiza sanaa Mungu awalinde na kuwasimamia hao watoto
Wasirithi tabia ya mama yao.Maana kuna visasi vinafuata hapo
 
Kuna kesi moja kama hii ilitokea zamani Sinza, yule dada 'hear say' zinasema mkono wake ulihusika katika kifo cha mumewe. Mume alijiweka vizuri na biashara, nyumba, magari. Walikuwa na watoto wadogo na mke akawa mrithi wa mali za marehemu. Baada ya muda kama miaka miwili alipata ka-kijana, kijana akawa ndiyo mpangaji wa maisha ya dada. Alimwambia hapendi kuishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu, ilibidi iuzwe wanunue nyingine, kumbe nyumba ilinunuliwa kwa jina la kijana. Ni mengi yalikotekea lakini katika kipindi cha miaka 10, mke wa marehemu alifisika kabisa.
Hili tukio halitofautiani na la yule bilionea Erasto Msuya,baada ya kuuawa mrithi wa Mali zake akawa mkewe chini ya usimamizi wa wifi yake,tabia ya mke wa marehemu kupenda dogo dogo wakamshauri ujinga akapanga mauaji ya wifi yake,matokeo yake ndio hio ananyea ndoo mali raia wengine wanaendelea kuzifaidi
 
mali ya dhurma hutaifaidi hata siku moja.
 
Back
Top Bottom