Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Kwahiyo hayo ni magari ya shoe shiners wanaenda marangu kupeleka hesabu ya kifungia mwaka
Hesabu gani hela serikali imewagawia,wachaga wajinga sana hawafanyi kazi za maana hadi serikali iwasaidie,kwa msafara huo wa magari ni wazi wamesaidiwa,wanajengewa hadi majumba vijijini mwao
 
Kaskazini. Haha hii ni Mada mbaya lakini kwa uzoefu wangu sijaona tofauti muhimu ya kikanda nchi hii. Sasa Arusha ukiondoa jiji wilaya zake in maskini tu kama maneo mengine Tz. Jamani hivi munazugumzia Moduli nmafahamu Irkisale au vipi.. Unaweza hisi uko pre history.
 
Sio irkisale ni lokisale

Lokisale ni sehemu iliyotengwa miaka mingi tu kwaajili ya Kilimo.

Na mpaka sasahv wakulima wengi wa Arusha wana mashamba kule lokisale
 
Hesabu gani hela serikali imewagawia,wachaga wajinga sana hawafanyi kazi za maana hadi serikali iwasaidie,kwa msafara huo wa magari ni wazi wamesaidiwa,wanajengewa hadi majumba vijijini mwao
Serikali ya CCM au ipi? [emoji23]
 
Mwaka 1926-1928 wachaga tayari walikuwa na gazeti likiitwa Kwakya kama sijakosea likiwa na maana ya kumekucha.
Shule alizotaja ni chache sana zipo shule za kale 1,000 zaidi katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro shule kama Makumira na Enaboishu ni za zamani sana. Pia shule zote za serikali hasa zile za zamani zilikuwa mali ya makanisa. Angalia kwa sasa kila wanafunzi 100 walio Universities hapa Tz basi 35 hadi 40 wanatoka kaskazini.
Ni kweli mkuu nilisahau hizo shule na Ekenywa
 
Wote wanaolalamika na kujisifia ni wapumbavu kwasababu bado wanaishi kwenye nchi uchumi mdogo duniani na karibia asimilia zaidi ya 40 wanaishia chini ya dola moja kwa siku, watu wa kaskazini wakiwemo kwenye Hilo kundi.
Povu + Wivu
 
mkuu, usipate shida, we ukiona kaskazini kunaendelea, tz ni yetu sote. ondoka nenda kaskazini katafute kiwanja ujenge na wewe uishi huko. kwani tatizo liko wapi?
Mimi ni mkaskazini pure sio hata wa kuhamia na najivunia hilo
 
Binadamu ni watu wapuuzi sana,sasa kuna kipi cha kujivunia kaskazini cha kuanza kutukana mikoa mingine kuwa sijui wavivu, sijui hili, sijui lile?

nchi masikini kama tanzania hakuna cha kujivunia kwenye maendeleo, aya ni mashindano ya midgets kupimana nani mrefu.
Unataka kufananisha Kilimanjaro na Mpanda au Liwale?
 
Mtoa thread ana inculcate spirit ya ukanda na Ukabila bila kujitambua. Mpishano wa kimaendeleo ni mlundikano wa factors nyingi sana! Mtoa mada anamawazo ya Kikoloni Tena yanauono wa Kibaguzi sana! Hana tofauti na wale wanaoamini ktk Hamitic Myth kuwa watu wa race fulani ni superior na ndio wenye fikra za kimaendeleo kuliko wengine! My friend, Kaskazini na Wanakaskazini ni Watanzania na they have nothing unique except favour due to colonial regionalism which favoured that part of the country basing on their own colonial reasons and marginalising other areas. Nani alichagua kuzaliwa mahali au Kabila hilo hata apate courage ya kujinasibu mbele za watu Timamu? Stop being mkoloni ktk fikra zako za kiafrika! North is nothing out of JMT
Sawa mbona mnawasemaga sana kuliko sehemu nyingine yeyote bongo? Sikuwahi kusikia mkichambua Itilima, nanyumbu, simiyu,wangingombe wala Pemba. Huku mmeipaisha kaskazini kwa kuwasema Mara oh mtaisoma namba, Mara wezi, Mara walipendelewa why? Why? Mara wana ajira mgodi wa Bot na tra! Basi mjifunze kuona TZ ni moja.
 
Huu ukweli unawaumiza wavivu mkuu
Lakini nitoe angalizo kwa ukuaji wa miji ya wilayani naona kanda ya kasikazini imesimama/imedumaa sana.
Kwa miaka 20 ya sasa yaani tangu 1995 tumeshuhudia miji mingi ikikua sehemu mbali mbali kuliko miji ya kasikazini mfano Tunduma, Kahama, Ifakara, Tarime, Bariadi, Mpanda, Geita, na nk lakini mji ya kasikazini in duni na imedumaa.

Kuhusu Shule miaka Ishirini ya sasa tumeshuhudia shule za Kasikazini zikidiwa na kutupiliwa mbali na shule za Mwanza, Mbeya Na Kagera. Check matokeo ya Form four na darasa la saba. Leo hakuna mtu anauchu wa kupeleka mwanae akasome Moshi kama ilivyokua zamani.

Katika vyuo vikuu hakuna dominance ya kanda yoyote mwenye mawazo hayo amesoma chuo miaka ya 90.

Zaidi watu wa Arusha wamevalishwa lemba la ukoka na watu wa Moshi. Kilimanjaro kuna social services Arusha hakuna. Wasisifie gari za jirani.

Jamani Wasonjo nao waseme wako juu haha...
 
Hayo maendeleo yako wapi??

Mbona mwanza imepata hadhi ya kuwa jijji mwaka 2000 lakini Kilimanjaro mpaka leo ni manispaa??

Shame on you
 
Karibu sana mkuu, huko ndiyo maskani
sisi yakwetu imwishia sehemu flani ivi ukiwa unapanda kibosho panaitwa kirima- mkoring'a. Kiongozi aliyepo sasa tunataka tumbane wamalize nipande kilichobaki kuunganisha ikutane na ya kibosho umbwe inayotoka kibosho road. Dah kwa kweli ni lami mpaka vijijini[emoji12] [emoji23]
 
Lakini nitoe angalizo kwa ukuaji wa miji ya wilayani naona kanda ya kasikazini imesimama/imedumaa sana.
Kwa miaka 20 ya sasa yaani tangu 1995 tumeshuhudia miji mingi ikikua sehemu mbali mbali kuliko miji ya kasikazini mfano Tunduma, Kahama, Ifakara, Tarime, Bariadi, Mpanda, Geita, na nk lakini mji ya kasikazini in duni na imedumaa.

Kuhusu Shule miaka Ishirini ya sasa tumeshuhudia shule za Kasikazini zikidiwa na kutupiliwa mbali na shule za Mwanza, Mbeya Na Kagera. Check matokeo ya Form four na darasa la saba. Leo hakuna mtu anauchu wa kupeleka mwanae akasome Moshi kama ilivyokua zamani.

Katika vyuo vikuu hakuna dominance ya kanda yoyote mwenye mawazo hayo amesoma chuo miaka ya 90.

Zaidi watu wa Arusha wamevalishwa lemba la ukoka na watu wa Moshi. Kilimanjaro kuna social services Arusha hakuna. Wasisifie gari za jirani.

Jamani Wasonjo nao waseme wako juu haha...
Mara ya mwisho ulipita Arusha lini?
 
sisi yakwetu imwishia sehemu flani ivi ukiwa unapanda kibosho panaitwa kirima- mkoring'a. Kiongozi aliyepo sasa tunataka tumbane wamalize nipande kilichobaki kuunganisha ikutane na ya kibosho umbwe inayotoka kibosho road. Dah kwa kweli ni lami mpaka vijijini[emoji12] [emoji23]
Jitahidini mkuu, mimi natoka Dar hadi nyumbani shamba mkeka tu
 
Back
Top Bottom