Second July
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 234
- 323
Moderators naomba uzi huu msiuchanganye na zingine.
Watu hawajaielewa tu hii serikali inavyotaka ifanye kazi zake. Serikali hii inapenda ifanyie kaz malalamiko ya wananchi kwa sababu imeahid hivyo, ya kuwa wana nia ya dhati ya kuwasaidia wanyonge. Lakin ss wanakuja kugundua kuna baafh ya madudu yalishafanyika ambayo hawana uwezo nayo (mikataba), ss wanashindwa kusema ukwel na kutaka mambo hayo yakifanyika yafanyike kimya kimya umma usijulishwe mana itakuwa inakinzana na dhamira yao (dhamira ya dhat wanayo, sema mikataba inawabana).
●Nini walochokosea EWURA??
Kiutaratibu na kisheria, EWURA lazima watoe public notice (tangazo kwa umma) pale mtu/kampuni yyt inapoomba lesen iwe ya uzalishaji wa umeme, mafuta au maji ili wadau wayoe maoni au mapingamiz yao.
Hapo ndipo kosa lao lilipoanzia, walkuwa hawana namna ya kulikwepa hili sakata la kutumbuliwa. Kitendo cha kutangaza hadharani nia ya EWURA kuongeza leseni ya IPTL (ingawaje ndo the best option kwa taifa sababu ya mktaba tuliosign nao) ni pigo kwa utawala huu mana itaonekana haiko upande wa wananchi.
Mkataba wa IPTL na TANESCO ambao ndio jipu lenyewe na unaolalamikiwa siku zote ni kwqmba IPTL watalipwa Capacity charge ya kila mwez inayokadiliwa kufkia Mill 300 (sina uhakika sana na hii namba) haijalishi imezalish umeme au haijazalisha umeme. Hapa ndipo unapotakiwa umakini. Kuwanyima lesen IPTL (nina uhakika watapewa hapo baadae) ni kuwakataza kuzalisha umeme. Hili halitasaidia, tutakula hasara mana litafanya waendelee kula hela zetu bila kutupa huduma.
● Nini walitakiwe wafanye EWURA
Ili kujiepusha na dhahama la kutumbuliwa , walitakiwa wayalinde maslahi ya nchi pasipo kusahau kulinda maslah ya siasa ya wanasiasa (serikali ya wanyonge). Hili lingewezekana kwa kutotangaza suala la lesen ya IPTL na kuwapa lesen jimya kimya baada ya kuwa-consult serikali wenyewe. Hapa wangelibda maslah ya taifa ya kuepuka kuwalipa capacity charge bila uzalishaji na pia wangelinda maslah ya kisisasa kwa kutokuobyesha umma kuwa IPTL wameongezewa muda wa lesen. Ubaya wa hili kwao EWURA ni kuwa, hili lingewezekana likaja kuwatumbua baadae mana wangegeukwa na ingekuja kuonekana wamewaongezea lesen IPTL bila kufuata utaratibu wa kutangaza hadharani (kutoa public notice).
Kibyovyote vile, suala la IPTL kuongezewa leseni lisingemuacha salama Mkirugenz wa EWURA. He had no best choice to choose. Ila mwisho wa siku, IPTL wataendelea kuzalisha umeme. Inawezekana watazalisha baada ya kupewa leseni, au wataambiwa waendelee kuzalisha tu lesen watapewa baadae (kuepuka aibu ya kukurupuka).