Ukweli kuhusu EWURA na leseni kwa IPTL

Ukweli kuhusu EWURA na leseni kwa IPTL

Mhh, haya sasa ngoja aendelee kufuata kile alichoelekezwa kutoka juu angani
Kwani ana presha basi, mshahara bado upo na hao hao wa juu angani wanampeleka kitengo kingine na kumuomba radhi basi maisha yanaendelea wewe mwenzangu na mie huku utabaki kutoa macho tu
 
Duhh, kwa hiyo sisi wavimba macho tutaendelea kukodoa kodoooooo, wakati jamaa anaendelea kula batazz!!
 
Mimi ninavojua ni kuwa, kutafuta maon ni hatua mojawapo inayofanyika baada ya kujiridhisha kuwa kampuni fulan ina vigezo vyote vya kufanya biashara . yaan kwenu nyie kama ewura Mme evaluate na kuona kuwa kampun fulan ina sifa za kupewa lesen. Then ndo mna forward to the next step ili mpate maon ya wananchi. Kama ewura wao kwa utaalam wao na kwa kutanguliza maslah ya nchi wangeona kuwa iptl hawa qualify kupewa lesen, it means wasinge proceed to the next step ambayo ni kuomba maon ya wananchi. Na uzoefu unaonyesha kuwa maon ya wananchi ewura hawayazingatii kabisa. Kwa maana hiyo ungekuwa ni upumbavu uliopitiliza kuwaacha ewura ambayo ni taasisi ya serikali kuendelea na mchakato wa kuipa iptl lesen ya kufanya biashara wakat hiyo kampuni imeiangusha serikali na kuwahongo Government officials kibao na mpaka Leo hii wana kesi na taasisi nyingine ya serikali ambayo ni tanesco. Wanadai walipwe fidia. Halafu taasisi nyingine ya serikali inawapa lesen wakiwa bado na kesi.

Mimi sijui kama watu wanaelewa. Labda yule mkurugenzi ana ugonjwa fulan wa kushindwa kutumia akili. Kama hajahongwa basi amepoteza sifa za kuwa mkurugenzi mkuu. Yaan huwezi kuanza procedure ya kuipa lesen kampuni ambayo imeishitaki serikali ambayo ndo mwajiri wako mkuu. Huo ni wenda wazimu. Sasa serikali ni nini. Vyombo vya serikali ni vipi sasa. Watu wanavosema serikali ina mkono mrefu wanamaanisha nini sasa. Kama kila kitengo cha serikali kinasema kinajitegemea nguvu ya serikali iko wapi sasa.

Kwa maon yangu mm, kama serikali isingechukua maamuz ya kusitisha procedure zote za kuipa lesen iptl ningeidharau sana.
 
Moderators naomba uzi huu msiuchanganye na zingine.

Watu hawajaielewa tu hii serikali inavyotaka ifanye kazi zake. Serikali hii inapenda ifanyie kaz malalamiko ya wananchi kwa sababu imeahid hivyo, ya kuwa wana nia ya dhati ya kuwasaidia wanyonge. Lakin ss wanakuja kugundua kuna baafh ya madudu yalishafanyika ambayo hawana uwezo nayo (mikataba), ss wanashindwa kusema ukwel na kutaka mambo hayo yakifanyika yafanyike kimya kimya umma usijulishwe mana itakuwa inakinzana na dhamira yao (dhamira ya dhat wanayo, sema mikataba inawabana).

●Nini walochokosea EWURA??
Kiutaratibu na kisheria, EWURA lazima watoe public notice (tangazo kwa umma) pale mtu/kampuni yyt inapoomba lesen iwe ya uzalishaji wa umeme, mafuta au maji ili wadau wayoe maoni au mapingamiz yao.
Hapo ndipo kosa lao lilipoanzia, walkuwa hawana namna ya kulikwepa hili sakata la kutumbuliwa. Kitendo cha kutangaza hadharani nia ya EWURA kuongeza leseni ya IPTL (ingawaje ndo the best option kwa taifa sababu ya mktaba tuliosign nao) ni pigo kwa utawala huu mana itaonekana haiko upande wa wananchi.
Mkataba wa IPTL na TANESCO ambao ndio jipu lenyewe na unaolalamikiwa siku zote ni kwqmba IPTL watalipwa Capacity charge ya kila mwez inayokadiliwa kufkia Mill 300 (sina uhakika sana na hii namba) haijalishi imezalish umeme au haijazalisha umeme. Hapa ndipo unapotakiwa umakini. Kuwanyima lesen IPTL (nina uhakika watapewa hapo baadae) ni kuwakataza kuzalisha umeme. Hili halitasaidia, tutakula hasara mana litafanya waendelee kula hela zetu bila kutupa huduma.

● Nini walitakiwe wafanye EWURA
Ili kujiepusha na dhahama la kutumbuliwa , walitakiwa wayalinde maslahi ya nchi pasipo kusahau kulinda maslah ya siasa ya wanasiasa (serikali ya wanyonge). Hili lingewezekana kwa kutotangaza suala la lesen ya IPTL na kuwapa lesen jimya kimya baada ya kuwa-consult serikali wenyewe. Hapa wangelibda maslah ya taifa ya kuepuka kuwalipa capacity charge bila uzalishaji na pia wangelinda maslah ya kisisasa kwa kutokuobyesha umma kuwa IPTL wameongezewa muda wa lesen. Ubaya wa hili kwao EWURA ni kuwa, hili lingewezekana likaja kuwatumbua baadae mana wangegeukwa na ingekuja kuonekana wamewaongezea lesen IPTL bila kufuata utaratibu wa kutangaza hadharani (kutoa public notice).

Kibyovyote vile, suala la IPTL kuongezewa leseni lisingemuacha salama Mkirugenz wa EWURA. He had no best choice to choose. Ila mwisho wa siku, IPTL wataendelea kuzalisha umeme. Inawezekana watazalisha baada ya kupewa leseni, au wataambiwa waendelee kuzalisha tu lesen watapewa baadae (kuepuka aibu ya kukurupuka).
Masilahi ya nchi na ya viongozi yanagongana huwezi kuyalinda yote inabidi uchague
 
Mimi ninavojua ni kuwa, kutafuta maon ni hatua mojawapo inayofanyika baada ya kujiridhisha kuwa kampuni fulan ina vigezo vyote vya kufanya biashara . yaan kwenu nyie kama ewura Mme evaluate na kuona kuwa kampun fulan ina sifa za kupewa lesen. Then ndo mna forward to the next step ili mpate maon ya wananchi. Kama ewura wao kwa utaalam wao na kwa kutanguliza maslah ya nchi wangeona kuwa iptl hawa qualify kupewa lesen, it means wasinge proceed to the next step ambayo ni kuomba maon ya wananchi. Na uzoefu unaonyesha kuwa maon ya wananchi ewura hawayazingatii kabisa. Kwa maana hiyo ungekuwa ni upumbavu uliopitiliza kuwaacha ewura ambayo ni taasisi ya serikali kuendelea na mchakato wa kuipa iptl lesen ya kufanya biashara wakat hiyo kampuni imeiangusha serikali na kuwahongo Government officials kibao na mpaka Leo hii wana kesi na taasisi nyingine ya serikali ambayo ni tanesco. Wanadai walipwe fidia. Halafu taasisi nyingine ya serikali inawapa lesen wakiwa bado na kesi.

Mimi sijui kama watu wanaelewa. Labda yule mkurugenzi ana ugonjwa fulan wa kushindwa kutumia akili. Kama hajahongwa basi amepoteza sifa za kuwa mkurugenzi mkuu. Yaan huwezi kuanza procedure ya kuipa lesen kampuni ambayo imeishitaki serikali ambayo ndo mwajiri wako mkuu. Huo ni wenda wazimu. Sasa serikali ni nini. Vyombo vya serikali ni vipi sasa. Watu wanavosema serikali ina mkono mrefu wanamaanisha nini sasa. Kama kila kitengo cha serikali kinasema kinajitegemea nguvu ya serikali iko wapi sasa.

Kwa maon yangu mm, kama serikali isingechukua maamuz ya kusitisha procedure zote za kuipa lesen iptl ningeidharau sana.

Nguvu ya Ajabu , hivi kwanini kila mwenye mawazo tofaut na ninyi mnahis amehongwa. Hatuwez kufanana mawazo, you have to accept that.

Mkurugenz hana ugonhwa wwt na yuko sahihi zile ndio taratibu zao zilivyo siku zote na ndivyo ambavyo huwa wanafanya sema ss uv imechukua attention kubwa coz ni IPTL (kila mtu anajua huu mkataba una utata).

Ndugu yangu utaratibu wa kutoa leseni ni kama utaratibu wa kumpa uraia mwombaji yyt wa uraia wa Tanzania. Lazima public notice itolewe kwa ajili kupokea maonibna mapingamizi. Hivyo walichofuata EWURA ni kufuata utaratibu kabla ya kutoa maamuz ya kuwanyima au kuwapa leseni. Sasa kwa mfano wangewanyima leseni, je wangekuwa na grounds zip za kiwanyima lesen kama hawajatoa public notice na hakuna pingamiz????
 
Makampuni yanayofua umeme yamekuwa chanzo cha watendaji kuachishwa kazi na kuibuka kwa kashfa za mara kwa mara katika Wizara ya Nishati Ya madini.
Haya makampuni yamekamua pato la TANESCO,kiasi ya kushindwa kutoa umeme wenye gharama nafuu kwa wananchi.
Eneo hili nalo linaitaji uchunguzi ili kuokoa fedha ya Serikali kupitia shirika la TANESCO.
 
Nguvu ya Ajabu , na pia mind you kuwanyima lesen haitazuia wao kulipwa capacity charge yao ya kila mwezi. Hii italipwa mpk hapo mkataba utakapoisha 2022 I think, iwe imezalisha au haijazalisha.
 
Mimi ninavojua ni kuwa, kutafuta maon ni hatua mojawapo inayofanyika baada ya kujiridhisha kuwa kampuni fulan ina vigezo vyote vya kufanya biashara . yaan kwenu nyie kama ewura Mme evaluate na kuona kuwa kampun fulan ina sifa za kupewa lesen. Then ndo mna forward to the next step ili mpate maon ya wananchi. Kama ewura wao kwa utaalam wao na kwa kutanguliza maslah ya nchi wangeona kuwa iptl hawa qualify kupewa lesen, it means wasinge proceed to the next step ambayo ni kuomba maon ya wananchi. Na uzoefu unaonyesha kuwa maon ya wananchi ewura hawayazingatii kabisa. Kwa maana hiyo ungekuwa ni upumbavu uliopitiliza kuwaacha ewura ambayo ni taasisi ya serikali kuendelea na mchakato wa kuipa iptl lesen ya kufanya biashara wakat hiyo kampuni imeiangusha serikali na kuwahongo Government officials kibao na mpaka Leo hii wana kesi na taasisi nyingine ya serikali ambayo ni tanesco. Wanadai walipwe fidia. Halafu taasisi nyingine ya serikali inawapa lesen wakiwa bado na kesi.

Mimi sijui kama watu wanaelewa. Labda yule mkurugenzi ana ugonjwa fulan wa kushindwa kutumia akili. Kama hajahongwa basi amepoteza sifa za kuwa mkurugenzi mkuu. Yaan huwezi kuanza procedure ya kuipa lesen kampuni ambayo imeishitaki serikali ambayo ndo mwajiri wako mkuu. Huo ni wenda wazimu. Sasa serikali ni nini. Vyombo vya serikali ni vipi sasa. Watu wanavosema serikali ina mkono mrefu wanamaanisha nini sasa. Kama kila kitengo cha serikali kinasema kinajitegemea nguvu ya serikali iko wapi sasa.

Kwa maon yangu mm, kama serikali isingechukua maamuz ya kusitisha procedure zote za kuipa lesen iptl ningeidharau sana.
Wewe bana dah! Sasa wao waamue alafu ndio watoe public notice uliona wapi hiyo? Wao wanapopokea ombi la kampuni kabla hawajajadili ilo ombi wanaiweka public ili kukaa na wadau wananchi na kila aina ya watu kupokea mawazo, ushauri na mapingamizi baadae kuna kuwa na vikao kujadiri kilichopo na yale yote waliyoyapokea ndipo wanapata mwongozo ya wawape leseni au la kwa kutoa sababu. Wao hawatoi public notice juu ya walichokifikiria wao bali kile mtu anachoomba ili kijadiriwe.
Sasa hizo taratibu unazozisema wewe sijui ni za wapi.
 
Nguvu ya Ajabu , hivi kwanini kila mwenye mawazo tofaut na ninyi mnahis amehongwa. Hatuwez kufanana mawazo, you have to accept that.

Mkurugenz hana ugonhwa wwt na yuko sahihi zile ndio taratibu zao zilivyo siku zote na ndivyo ambavyo huwa wanafanya sema ss uv imechukua attention kubwa coz ni IPTL (kila mtu anajua huu mkataba una utata).

Ndugu yangu utaratibu wa kutoa leseni ni kama utaratibu wa kumpa uraia mwombaji yyt wa uraia wa Tanzania. Lazima public notice itolewe kwa ajili kupokea maonibna mapingamizi. Hivyo walichofuata EWURA ni kufuata utaratibu kabla ya kutoa maamuz ya kuwanyima au kuwapa leseni. Sasa kwa mfano wangewanyima leseni, je wangekuwa na grounds zip za kiwanyima lesen kama hawajatoa public notice na hakuna pingamiz????
Mkuu kama kuna mzungu mmoja anaua watu na ana kesi ya kuvunja na kubaka, yaan ni mtu hatari sana kwa taifa. Huyo mtu ana hat take ya uraia. Sasa imeisha muda wake. Anaanza proces ya kuomba extension ya lesen yake. Hivi ni mkurugenzi gan atakubali kuendelea na procedure ya kumuongezea permit ya kuishi bongo mtu kama huyu..

Mkuu ujue kuwa ewura si kampuni ya mtu binafsi , ewura ni ni taasisi ya serikali. Ni mkono wa serikali mkuu.

Unajua tupo kama tumelogwa vile. Hivi we we mtoto wako anapoanza kuandikishan mkataba wa kukuuzia bidhaa za duka lako mtu aliekubomolea duka lako jingine akakuibia kila kitu , sasa unamuona kijana wako anaingia nae mkataba wa kukuuzia bidhaa na huyo mtu amekufungulia kesi anakudai fidia et umemdhalilisha kwa kusema kuwa umemuibia. Halafu kijana wako anataka kufanya awe supplier wako, utafanyaje sasa. Utasema ni procedure wacha aendelee...!!!!???

Mkuu tunamatatizo makubwa. Hebu tujue namna ya kuwaza. Hebu tujaribu kuwaza sawasawa. Sio kwamba tunakashifu ila tunashangaa namna tunavowaza.
 
Nguvu ya Ajabu , na pia mind you kuwanyima lesen haitazuia wao kulipwa capacity charge yao ya kila mwezi. Hii italipwa mpk hapo mkataba utakapoisha 2022 I think, iwe imezalisha au haijazalisha.
Sio kweli mzee. Mikataba haiko hivo. Suala LA kupata lesen ni LA kampuni
Ukishindwa kupata lesen then mkataba unakuwa void. Ukiwa na lesen ndo una haki ya kulipwa capacity charge hata usipozalisha. Lakini sio kwa kukosa lesen. Sheria haina room hiyo.
 
kobokocastory
Halafu pia hili jambo linapotoshwa na watu wenye maslah ya kisiasa.
EWURA hawajawaongezea IPTL leseni ya uzalishaji umeme, EWURA wametoa public notice mpaka mwisho wa mwez ili kupokea maoni na mapingamiz ya wadau, serikali ikiwemo. Sasa tunaaminishwa eti EWURA haina maslah kwa taifa et imetoa lesen kwa wezi wa IPTL.

Cc:
Valentina
Masiya

Nisaidieni mm na elimu yangu ya ngumbaru!! Hivi sasa IPTL wanahangaika nn na leseni wakati kumbe hata wasipozalisha watalipwa tu ( nafikiri hata wasipokuwa na leseni watalipwa tu)[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]napita tu!!!!
 
Mi naona kutumbuliwa kwa kiongozi mkuu wa EWURA ni uonevu tu kwani ukisoma vifungu walivyovitoa vinawapa mamlaka hayo.
Mimi nilichotaka kujua ni je, IPTL contract yao imeisha au bado? Kama imeisha ina maana hawana Chao tena
Je kama EWURA wanaongozwa na sheria na wakazifuata, Kuna kosa gani hapo? Mi nilifikir kuwa serikali ingeandaa pingamizi ili EWURA waweze kukaa kama mahakama na kutoa maamuzi kuwa either watoe leseni, au wasitoe leseni au IPTL NA TANESCO wakae na waje na suluhisho Lao la mkataba (reviews of a contract) kabla EWURA hawajatoa leseni.
 
Hawa wezi walishapata sugu ya kuiba sasa wanahangaika jinsi ya kutafuta sympathy kwa wananchi
 
Naamini kuwa RAIS MAGUFULI ni member wa JAMIIFORUMS
 
Back
Top Bottom