Ukweli kuhusu EWURA na leseni kwa IPTL

Ukweli kuhusu EWURA na leseni kwa IPTL

Tutashitakiwa (in chadomo voice)
Kama kweli hatutashitakiwa si mfanye mnavyotaka kufanya? wafukuzeni ama taifisheni mitambo ya IPTL muone. Huu ni mtego uliotegwa na CCM na umewanasa wenyewe. Ni kama ule msemo wa mchimba kisima kaingia mwenyewe!!
 
Swali fikirishi je hivi yawezekana mtu akafukuzwa kazi kwa kufuata sheria kanuni na taratibu za kazi yake?

KWEZISHO

Jibu ni hapana. Wengi wa waajiriwa wa serikali ambao wanatumbuliwa na serikali sasa hv hawafukuzwi kaz bal wanasimamishwa na kulipwa mishahara yao mpk pale tuhuma zao zitakapothibitishwa.

Wengi wao makosa yao sio ya kutofuat utaratibu hvy sio makosa ya kufukuzwa kaz, hvuo bas wanapangiwa kaz nyingine maana bado ni mwajiriwa wa serkali.
 
Hiyo capacity charge ITPL wanatakiwa kulipwa ama wamezalisha au hawakuzalisha umeme.Hapo tupo wote
Hiyo ni option ya leseni yao kufanya biashara hapa nchini.
Je,kama serikali isipowapa nafasi ya ku_renew hiyo leseni maana yake ni nini??
Ni wazi kwamba hawatakuwa na kibali cha kufanya biashara na TANESCO kwa hiyo hawana haki ya kuidai TANESCO/serikali iwalipe capacity charge kwa kigezo tu kwamba hawana kibali cha kufanya biashara hapa Tanzania!!
Serikali ya AWAMU ya TANO IPO makini na maamuz yake!!
Acheni akina Lissu wapige kelele TU
MUNGU wabariki Viongozi WETU halali JPM na PM Majaliwa
Amina!
Mkuu miwani ya maisha hapo ndipo raia na hiz NGO's zinapolalamikia huu mkataba. Suala la capacity charge sio optuon ya leseni, hilo ni suala la kimkatba wa mauziono ya umeme throughout contract's period. Yaan ukiwanyima lesen watasimamisha uzalishaji, lakin suala la kiwa capacity charge litaendelea mok pale mkataba utakapoisha. Nadhan umenielewa, hapo hatutasave kitu na ndio maana tunalalamika sana mikatba tunayoingia ni mibovu, huu ni moja kati ya mikataba mibovu zaidi tuliyowahi kuingia taifa kama taifa.
 
KWEZISHO

Jibu ni hapana. Wengi wa waajiriwa wa serikali ambao wanatumbuliwa na serikali sasa hv hawafukuzwi kaz bal wanasimamishwa na kulipwa mishahara yao mpk pale tuhuma zao zitakapothibitishwa.

Wengi wao makosa yao sio ya kutofuat utaratibu hvy sio makosa ya kufukuzwa kaz, hvuo bas wanapangiwa kaz nyingine maana bado ni mwajiriwa wa serkali.
Ni vyema hizo tuhuma zikawekwa bayana ili iwe funzo kwa wengine. Kwa mfano huyo Bwana amesimamishwa wakati hatujui ni kipi hasa alichokosa.
 
Moderators naomba uzi huu msiuchanganye na zingine.

Watu hawajaielewa tu hii serikali inavyotaka ifanye kazi zake. Serikali hii inapenda ifanyie kaz malalamiko ya wananchi kwa sababu imeahid hivyo, ya kuwa wana nia ya dhati ya kuwasaidia wanyonge. Lakin ss wanakuja kugundua kuna baafh ya madudu yalishafanyika ambayo hawana uwezo nayo (mikataba), ss wanashindwa kusema ukwel na kutaka mambo hayo yakifanyika yafanyike kimya kimya umma usijulishwe mana itakuwa inakinzana na dhamira yao (dhamira ya dhat wanayo, sema mikataba inawabana).

●Nini walochokosea EWURA??
Kiutaratibu na kisheria, EWURA lazima watoe public notice (tangazo kwa umma) pale mtu/kampuni yyt inapoomba lesen iwe ya uzalishaji wa umeme, mafuta au maji ili wadau wayoe maoni au mapingamiz yao.
Hapo ndipo kosa lao lilipoanzia, walkuwa hawana namna ya kulikwepa hili sakata la kutumbuliwa. Kitendo cha kutangaza hadharani nia ya EWURA kuongeza leseni ya IPTL (ingawaje ndo the best option kwa taifa sababu ya mktaba tuliosign nao) ni pigo kwa utawala huu mana itaonekana haiko upande wa wananchi.
Mkataba wa IPTL na TANESCO ambao ndio jipu lenyewe na unaolalamikiwa siku zote ni kwqmba IPTL watalipwa Capacity charge ya kila mwez inayokadiliwa kufkia Mill 300 (sina uhakika sana na hii namba) haijalishi imezalish umeme au haijazalisha umeme. Hapa ndipo unapotakiwa umakini. Kuwanyima lesen IPTL (nina uhakika watapewa hapo baadae) ni kuwakataza kuzalisha umeme. Hili halitasaidia, tutakula hasara mana litafanya waendelee kula hela zetu bila kutupa huduma.

● Nini walitakiwe wafanye EWURA
Ili kujiepusha na dhahama la kutumbuliwa , walitakiwa wayalinde maslahi ya nchi pasipo kusahau kulinda maslah ya siasa ya wanasiasa (serikali ya wanyonge). Hili lingewezekana kwa kutotangaza suala la lesen ya IPTL na kuwapa lesen jimya kimya baada ya kuwa-consult serikali wenyewe. Hapa wangelibda maslah ya taifa ya kuepuka kuwalipa capacity charge bila uzalishaji na pia wangelinda maslah ya kisisasa kwa kutokuobyesha umma kuwa IPTL wameongezewa muda wa lesen. Ubaya wa hili kwao EWURA ni kuwa, hili lingewezekana likaja kuwatumbua baadae mana wangegeukwa na ingekuja kuonekana wamewaongezea lesen IPTL bila kufuata utaratibu wa kutangaza hadharani (kutoa public notice).

Kibyovyote vile, suala la IPTL kuongezewa leseni lisingemuacha salama Mkirugenz wa EWURA. He had no best choice to choose. Ila mwisho wa siku, IPTL wataendelea kuzalisha umeme. Inawezekana watazalisha baada ya kupewa leseni, au wataambiwa waendelee kuzalisha tu lesen watapewa baadae (kuepuka aibu ya kukurupuka).
Kwani EWURA ni rubber stamp? yaani kila kampuni ni lazima waipatie leseni!Wao hawana mandate ya kuchakata na kuamua kuwanyima? Maana inajulikana hawatakiwi!Wakikosa leseni wanapoteza sifa ya kufanya biashara nchini,hakuna watakacholipwa
 
Wana masikio lakini hawasiki, wana macho lakini hawaoni. Wanajifanya HAMNAZO, let us be really,call a spoon "SPOON".KWELI itatuweka HURU.
 
Mkuu morenja ni utaratibu uliowwkwa kisheria kuwa muombaji yyt yule anapoomba lesen mpya au ku-renew ya zamani ni lazima EWURA itoe Public Notice kuomba maoni au pingamiz. N kama vile mtu yyt anayeomba uraia wa Tz, ni lazika itike public notice. So EWURA hawajakosea kitu hapo walipotoa public notice.
Unajua ndugu yangu nchi hii watawala wameshajua wengi ni mbumbumbu lakini wanajifanya ndio wajuaji sana japo ata nyerere alilijua hilo. Sasa huyo anapinga vikali eti ewura hawakutakiwa kutoa public notice dah inatia huruma. Sasa kwa taarifa yao hapa walitaka ewura wampe jamaa leseni kimya kimya raia wasijue lakini mkurugenzi alishindwa fanya hivyo ikam'bidi afuate taratibu zinavyosema ikawa nongwa wakuu hawakupenda hiyo ndio mpaka kumtumbua...kutumbuliwa kwa mkurugenzi wa ewura hautofautiani na utumbuaji wa mkurugenzi wa tanesco yaani the same way
 
Hiyo capacity charge ITPL wanatakiwa kulipwa ama wamezalisha au hawakuzalisha umeme.Hapo tupo wote

Hiyo ni option ya leseni yao kufanya biashara hapa nchini.

Je,kama serikali isipowapa nafasi ya ku_renew hiyo leseni maana yake ni nini??
Ni wazi kwamba hawatakuwa na kibali cha kufanya biashara na TANESCO kwa hiyo hawana haki ya kuidai TANESCO/serikali iwalipe capacity charge kwa kigezo tu kwamba hawana kibali cha kufanya biashara hapa Tanzania!!

Serikali ya AWAMU ya TANO IPO makini na maamuz yake!!
Acheni akina Lissu wapige kelele TU
MUNGU wabariki Viongozi WETU halali JPM na PM Majaliwa
Amina!
Kinyaaa, capacity charge haipo kwenye lesseni hiyo ipo kwenye mkataba wa uwekezaji. Sasa unaambiwa mkataba wake mpaka 2025 sijui huko ndio unaisha means yeye hatokuuzia umeme lakini mkataba wake wa uwekezaji upo active mpaka huo mwaka means kila kilichopo kwenye mkataba kipo active kwa wakati huo. Tunguza mhemko leseni haihusiki na capacity charge
 
Swali fikirishi je hivi yawezekana mtu akafukuzwa kazi kwa kufuata sheria kanuni na taratibu za kazi yake?
Unweza simamishwa kazi au kuhamishwa kitengo. Mfano leo hii wewe ni waziri wa nishati na madini raisi Magufuri akakutuma usaini mkataba wa kampuni fulani ambayo yeye amekuhakikishia anaifahamu iyo kampuni wewe nenda usisaini huo mkataba andika barua au rudi kwa raisi mwambie nimeshindwa kusaini kwa kuwa ile kampuni ni hewa...uone kitakachokutokea
 
Ni vyema hizo tuhuma zikawekwa bayana ili iwe funzo kwa wengine. Kwa mfano huyo Bwana amesimamishwa wakati hatujui ni kipi hasa alichokosa.
Kosa lake ni kufuata kanuni na taratibu badala kufuata kile alichoelekezwa kutoka juu angani
 
Moderators naomba uzi huu msiuchanganye na zingine.

Watu hawajaielewa tu hii serikali inavyotaka ifanye kazi zake. Serikali hii inapenda ifanyie kaz malalamiko ya wananchi kwa sababu imeahid hivyo, ya kuwa wana nia ya dhati ya kuwasaidia wanyonge. Lakin ss wanakuja kugundua kuna baafh ya madudu yalishafanyika ambayo hawana uwezo nayo (mikataba), ss wanashindwa kusema ukwel na kutaka mambo hayo yakifanyika yafanyike kimya kimya umma usijulishwe mana itakuwa inakinzana na dhamira yao (dhamira ya dhat wanayo, sema mikataba inawabana).

●Nini walochokosea EWURA??
Kiutaratibu na kisheria, EWURA lazima watoe public notice (tangazo kwa umma) pale mtu/kampuni yyt inapoomba lesen iwe ya uzalishaji wa umeme, mafuta au maji ili wadau wayoe maoni au mapingamiz yao.
Hapo ndipo kosa lao lilipoanzia, walkuwa hawana namna ya kulikwepa hili sakata la kutumbuliwa. Kitendo cha kutangaza hadharani nia ya EWURA kuongeza leseni ya IPTL (ingawaje ndo the best option kwa taifa sababu ya mktaba tuliosign nao) ni pigo kwa utawala huu mana itaonekana haiko upande wa wananchi.
Mkataba wa IPTL na TANESCO ambao ndio jipu lenyewe na unaolalamikiwa siku zote ni kwqmba IPTL watalipwa Capacity charge ya kila mwez inayokadiliwa kufkia Mill 300 (sina uhakika sana na hii namba) haijalishi imezalish umeme au haijazalisha umeme. Hapa ndipo unapotakiwa umakini. Kuwanyima lesen IPTL (nina uhakika watapewa hapo baadae) ni kuwakataza kuzalisha umeme. Hili halitasaidia, tutakula hasara mana litafanya waendelee kula hela zetu bila kutupa huduma.

● Nini walitakiwe wafanye EWURA
Ili kujiepusha na dhahama la kutumbuliwa , walitakiwa wayalinde maslahi ya nchi pasipo kusahau kulinda maslah ya siasa ya wanasiasa (serikali ya wanyonge). Hili lingewezekana kwa kutotangaza suala la lesen ya IPTL na kuwapa lesen jimya kimya baada ya kuwa-consult serikali wenyewe. Hapa wangelibda maslah ya taifa ya kuepuka kuwalipa capacity charge bila uzalishaji na pia wangelinda maslah ya kisisasa kwa kutokuobyesha umma kuwa IPTL wameongezewa muda wa lesen. Ubaya wa hili kwao EWURA ni kuwa, hili lingewezekana likaja kuwatumbua baadae mana wangegeukwa na ingekuja kuonekana wamewaongezea lesen IPTL bila kufuata utaratibu wa kutangaza hadharani (kutoa public notice).

Kibyovyote vile, suala la IPTL kuongezewa leseni lisingemuacha salama Mkirugenz wa EWURA. He had no best choice to choose. Ila mwisho wa siku, IPTL wataendelea kuzalisha umeme. Inawezekana watazalisha baada ya kupewa leseni, au wataambiwa waendelee kuzalisha tu lesen watapewa baadae (kuepuka aibu ya kukurupuka).
Mkurugenzi alikuwa na kile kiitwacho " Hobson's choice" kwa Kiingereza. Angechagua ndio angetumbuliwa na angechagua hapana angetumbuliwa tu. Kwa maneno mengine hakuwa na namna ila kutumbuliwa tu!i
 
Mh! Unajua hizi shule tunazosoma hizi, dah. Aisee. Heb tuwe na kauwezo ka kufikiria kidogo mkuu. Haya mambo yanasikitisha sana haya. Argument za aina hii in aibu sana kwa scholars kama we mkuu
 
Hujanielewa tu? Au unataka noal yenye vioo vyeusi ije getho muda huu? Hunitakii mema eee?
Tena nasikia wanatrap live streams. Bila woga inatamkwa hadharani kwamba kuna watu rasmi wa sirikali kazi yao ni kudukua mawasiliano!!
 
Mkurugenzi alikuwa na kile kiitwacho " Hobson's choice" kwa Kiingereza. Angechagua ndio angetumbuliwa na angechagua hapana angetumbuliwa tu. Kwa maneno mengine hakuwa na namna ila kutumbuliwa tu!i
Hii ni kama ilivyokuwa wakati tunamchagua Nyerere.
Kulikuwa na option mbili Ndiyo au Hapana.
Watu wakawa wanajisemea eti ukichagua Ndiyo unamaanisha kumkubali kuwa ndiyo unayemtaka,naukichagua Hapana ni hapana mwingine kama yeye.
 
Back
Top Bottom