Wabongo tumezoea sana wizi na kukwepa, wafanya biashara wamezoea super profit, kwa vile sasa mashine zitaonyesha kila kitu, nanataka kuzigomea!. Mbona wahindi wanazitumia na hawagomi?!.
Anayelipa kodi ni end user, hivyo anayepaswa kugoma ni mteja baada ya kupandishiwa bei kufuatia wafanya biashara kulipa kodi!, na sio wafanya biashara wagome kuuza, kisa kodi iko juu!. Huu sasa ni mwanzo mzuri wa hivi vibiashara mchoro mchoro vifungwe zibaki biashara halali tuu!.
Kwa upande wa EFD, nako ni wizi mtupu!, mashine inauzwa dola 100, hapa unauziwa dola 1000!.
Ukiamua kununua mwenywe, wale maajent wa TRA hawakubali ku install!.
Mijimashine yenyewe approved kwa Tanzania yote inatumia windows only kwa sisi tunaotumia mac, tunalazomika kununua computer ya window kwa ajili ya EFD tuu!.
Huu pia ni nyanyasaji!.
Pasco.
Pasco.
Something is behind this mgomo...but the bottom line is TRA ikicheka na wafanyabiashara hakuna kodi itakayokusanywa....hawa sio watu wa kuwachekea kabsa...pamoja na vipato vyetu vya chini wafanyakazi tumelipa kodi sana....tuanze kugawana maumivu sasa na kuongezwa tax base kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.
issue sio tulia kodi mkuu, issue ni bei ya efds kuwa juu. umeelewa?
Jamani ndio maana mijadala mingi inakosa lengo kuu.Hapa tuache kujadili tatizo la wafanyabiashara kutolipa kodi maana ni mjadala mpana sana.Mada kuu ni gharama za EFD na sijasikia popote wafanyabiashara wakigoma kulipa kodi zaidi ya uzembe wa TRA tu na mfano mimi nayafahamu makampuni tena makubwa ambayo hata assessment ya kodi haijawahi kufanyika yaani kampuni inajilipia tu kodi itakavyo!
Mjadala ni bei za machine za EFD na sio ukwepaji kulipa kodi. Tusipoteze uelekeo wa mjadala huu.
Wanasema na makato ni makubwa 18% ya kile uuzacho
Something is behind this mgomo...but the bottom line is TRA ikicheka na wafanyabiashara hakuna kodi itakayokusanywa....hawa sio watu wa kuwachekea kabsa...pamoja na vipato vyetu vya chini wafanyakazi tumelipa kodi sana....tuanze kugawana maumivu sasa na kuongezwa tax base kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.
Wabongo tumezoea sana wizi na kukwepa, wafanya biashara wamezoea super profit, kwa vile sasa mashine zitaonyesha kila kitu, nanataka kuzigomea!. Mbona wahindi wanazitumia na hawagomi?!.
Anayelipa kodi ni end user, hivyo anayepaswa kugoma ni mteja baada ya kupandishiwa bei kufuatia wafanya biashara kulipa kodi!, na sio wafanya biashara wagome kuuza, kisa kodi iko juu!. Huu sasa ni mwanzo mzuri wa hivi vibiashara mchoro mchoro vifungwe zibaki biashara halali tuu!.
Kwa upande wa EFD, nako ni wizi mtupu!, mashine inauzwa dola 100, hapa unauziwa dola 1000!.
Ukiamua kununua mwenywe, wale maajent wa TRA hawakubali ku install!.
Mijimashine yenyewe approved kwa Tanzania yote inatumia windows only kwa sisi tunaotumia mac, tunalazomika kununua computer ya window kwa ajili ya EFD tuu!.
Huu pia ni nyanyasaji!.
Pasco.
Pasco.
Hapana! Makato siyo 18% ya kile uuzacho!!! BALI NI 18% YA FAIDA ULIYOPATA!!Wanasema na makato ni makubwa 18% ya kile uuzacho
Hoja ya kwamba bei ni kubwa hata mimi nakubaliana nayo lakini tatizo wafanyabiashara wenyewe hawana kauli moja kuhusu ni kwanini hasa hawataki hizi mashine!!! Hizi kauli mbili mbili ndizo zinazotia shaka; kwamba mara huwezi kumpunguzia mteja coz' hata ukimpunguzia utalazimika kulipa kodi ya original price, ukiongea na mwingine anakuambia kodi kupitia hizi mashine ni nyingi; ukisogea upande wa pili wanakuambia wao hawakatai kulipa kodi na wapo tayari kulipa kodi kwa mfumo wa zamani....ukikutana na mwingine yeye ndo atakueleza suala la bei ya mashine kuwa kubwa!!!Mh. Zambi ameongea bungeni baada ya kufanya uchunguzi binafsi, na anakubaliana na madai ya wafanya biashara kuwa bei za hizo machine si sawa. Kwanini TRA wanaendelea kungang'ania huu ulanguzi? Na kwanini waziri wa Fedha anakuwa bubu? Si ajabu huyu waziri na mawani yake wala hana habari ni kiasi cha fedha Tanzania imepoteza kwa kufunga maduka? Uchumi hauendeshwi kwa mtindo huo!