Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

Acha kutuongopea Monduli shida ya maji ni kubwa sana kuanzia monduli mjini hadi sehemu zingine kama vile Engutoto, dukabovu, loksale, lashaine, makuyuni, nanja n.k. halafu we unasema ametekeleza asilimia mia. Labda ufisadi ndo mia kwa mia.

ni kweli mkuu jana kwenye taarifa ya habari niliona watalii wanajitoa mhanga kusaidia vijiji vingi vya monduli zikiwemo shule, tena walikuwa wasiktika sana, sasa huyu jamaa anataka kutuaminisha uongo kumtetea mwizi kama wezi wengne wa c......m teheeee!
 
Kwa hizi chuki ulizonazo kwa lowassa nahis atakuwa amemtenda mzazi wak
 
NI NANI KAMA LOWASSA
1. Kalamu ninakushika, ili nipate andika,
Habari zipate fika, kwa watu wa kila rika,

Jambo moja mi nataka, ya moyoni kuanika,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

2.
Sifa alijizolea, utumishi ‘lotukuka,
Ofisi kaiachia, nchi nzima kazunguka,

Roho zetu kaokoa, baa njaa kutimka,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

3. Pia uwajibikaji, kasimamia nchini,
Ripoti za utendaji, katilia maanani,

Kwenye miji na vijiji, misaada kila dini,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

4.
Hakika Edo jasiri, Mola kampa kipaji,
Kawazima wamisri, kwenye mradi wa maji,

Kilimo kinashamiri, kisa umwagiliaji,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

5.
Kajenga kwa umahiri, umoja wa kitaifa,
Kafanya kazi vizuri, kwa juhudi maarifa,
Kwa matendo kahubiri, naitaja yake sifa,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

6. Kazi mbele aliweka, kuleta maendeleo,
Nchi ikaimarika, ikapata mwelekeo,

Kweli tulinufaika, kwa mazuri matokeo,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

7.
Ni mzalendo shupavu, thabiti asiyeyumba,
Si kiongozi mabavu, na sio wa kujigamba,

Mtii mnyenyekevu, hakika Edo ni mwamba,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

8.
Kumbuka aliyofanya, na mema aliyotenda,
Usije ukatawanya, yale aliyoyapanda,
Jaribu kuyakusanya, hakika utampenda,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

9.
Sekondari kila kata, ‘lijenga kote nchini,
Zahanati zikafata, mijini na vijijini,
Kwa juhudi katafuta, masoko nje na ndani.
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

10.
Walimu tunakusifu, twasema wewe ni namba,
Aliokoa maelfu, kwa kutujengea nyumba,

Ni kwa wako ubunifu, bado amani yatamba,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

11.
Hata shule za msingi, sasa hawakai chini,
Madawati yako mengi, alosambaza nchini,

Heri ikawa kwa wengi, karo ikushushwa chini,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

12.
Tamati nimefikia, kwa yale niliyowaza,
Nilosema zingatia, kweli Edo anaweza,

Ni mengi katufanyia, machache nimeeleza,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
 
NI NANI
KAMA LOWASSA
1.
Kalamu ninakushika, ili nipate andika,
Habari zipate fika, kwa watu wa kila rika,
Jambo moja mi nataka, ya moyoni kuanika,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
2.
Sifa alijizolea, utumishi ‘lotukuka,
Ofisi kaiachia, nchi nzima kazunguka,
Roho zetu kaokoa, baa njaa kutimka,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
3.
Pia uwajibikaji, kasimamia nchini,
Ripoti za utendaji, katilia maanani,
Kwenye miji na vijiji, misaada kila dini,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
4.
Hakika Edo jasiri, Mola kampa kipaji,
Kawazima wamisri, kwenye mradi wa maji,
Kilimo kinashamiri, kisa umwagiliaji,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
5.
Kajenga kwa umahiri, umoja wa kitaifa,
Kafanya kazi vizuri, kwa juhudi maarifa,
Kwa matendo kahubiri, naitaja yake sifa,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
6.
Kazi mbele aliweka, kuleta maendeleo,
Nchi ikaimarika, ikapata mwelekeo,
Kweli tulinufaika, kwa mazuri matokeo,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
7.
Ni mzalendo shupavu, thabiti asiyeyumba,
Si kiongozi mabavu, na sio wa kujigamba,
Mtii mnyenyekevu, hakika Edo ni mwamba,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
8.
Kumbuka aliyofanya, na mema aliyotenda,
Usije ukatawanya, yale aliyoyapanda,
Jaribu kuyakusanya, hakika utampenda,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
9.
Sekondari kila kata, ‘lijenga kote nchini,
Zahanati zikafata, mijini na vijijini,
Kwa juhudi katafuta, masoko nje na ndani.
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
10.
Walimu tunakusifu, twasema wewe ni namba,
Aliokoa maelfu, kwa kutujengea nyumba,
Ni kwa wako ubunifu, bado amani yatamba,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
11.
Hata shule za msingi, sasa hawakai chini,
Madawati yako mengi, alosambaza nchini,
Heri ikawa kwa wengi, karo ikushushwa chini,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
12.
Tamati nimefikia, kwa yale niliyowaza,
Nilosema zingatia, kweli Edo anaweza,
Ni mengi katufanyia, machache nimeeleza,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.
BY: DAUDI PETER ZIMBEIYA
(0758 33 40 40 AU 0712 77 54 77)
CHUO KIKUU MZUMBE-BOX 8, MOROGORO

Ebu tuweke sawa, Eddo kakulipa ngapi kwa hii mistari uliotiririka?
 
Kama unapendekeze awe rais wako nani atazuia hilo labda baba yako mzazi, ila kama unazani rais wako ndo rais wa waTz, hapo pia laana yako atakayeitoa ni baba yako mzazi, simply haiwezekani mwizi aingie ikulu mbungu zitaanguka kupinga hilo. AMA USEME CCM NA BUNGE LAKE walitudanganya
 
Lowasa atosha..
Ndiye rais wetu 2015 atosha....joka la mdmu tupa kuleeeeee..

Lowasa juuuuuuuu
 
Labda awe rais wa getto, maana kila sehemu kuna rais wake. Rais wa nchi 2015 ni DR SLAA.
 
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote

1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University .

2. Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida,

3. Kuvunja mkataba wa City water services bila kuogopa wa kuhofia chochote.

4. Kuzuia Uuzwaji wa shirika la Nyumba NHC,

5.Kuwaachia UVCCM kitega uchumi cha Jengo la maana

6. Alidhubutu kuchukua maamuzi magumu kwa masilai ya Tanzania na kulinda heshima ya CCM

7.Kuwafukuza wakurugenzi na wafanyakazi wa dhaifu serikali bila kuogopa chochote

8.Kuruhusu Bodaboda kuingia Nchini na kutengeneza Ajira za Kutosha kwa Vijana

9. Kuheshimu kanuni na taratibu zote za CCM

10. Kutekeleza ILANI ya chama chake na Kutimiza ahadi kwa asilimia 100% Jimboni kwake Monduli hivyo Nampendekeza Kuwa Rais wangu 2015.

11.kushiriki katika dili kubwa la Richmond
12.Kutakiwa na chama chake kujivua gamba
13.Kufukuzwa/kujiuzuru uwaziri mkuu
14.Kukataliwa na Baba wa Taifa
15.Kuwadu dada zetu kweny gari lake
 
hilo swali ulipaswa umuulize yeye huyo aliyeliuliza kwa maana na yeye alikukimbilia pia huko ikulu, tena yeye ndiye aliyekaa huko kwa miaka mingi kuliko wote waliomfwatia, hivyo kutuuliza sisi ambao hatujafika huko ni ubinafsi na ujinga!

kweli kabisa
 
kila wizara au idara au taasisi aliyoiongoza el ni mashutumu, ufisadi nk.
El hajawahi kuwa rais lakini ana miliki majumba ulaya. Je,akiwa rais itakuwaje? Rais wa nchi iliyogundua hazina ya gesi na mafuta! Kumpa nchi el itakuwa hatari.

mbowe pia ananyumba huko nje
 
11.kushiriki katika dili kubwa la Richmond
12.Kutakiwa na chama chake kujivua gamba
13.Kufukuzwa/kujiuzuru uwaziri mkuu
14.Kukataliwa na Baba wa Taifa
15.Kuwadu dada zetu kweny gari lake

Dada yako mwenyewe hana shida wewe unalalamika nini!
 
Lowasa my president,
tunataka kuingiza ikulu chama cha watanzania na sio chama cha ukoo wala familia.
Chaguo pekee la watanzania ni mh edward ngoyayi lowasa!
 
Back
Top Bottom