Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

naona mahaba yamezidi/ongezeka!.

NI NANI KAMA LOWASSA
1. Kalamu ninakushika, ili nipate andika,
Habari zipate fika, kwa watu wa kila rika,
Jambo moja mi nataka, ya moyoni kuanika,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

2. Sifa alijizolea, utumishi ‘lotukuka,
Ofisi kaiachia, nchi nzima kazunguka,
Roho zetu kaokoa, baa njaa kutimka,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

3. Pia uwajibikaji, kasimamia nchini,
Ripoti za utendaji, katilia maanani,
Kwenye miji na vijiji, misaada kila dini,

4. Hakika Edo jasiri, Mola kampa kipaji,
Kawazima wamisri, kwenye mradi wa maji,
Kilimo kinashamiri, kisa umwagiliaji,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

5. Kajenga kwa umahiri, umoja wa kitaifa,
Kafanya kazi vizuri, kwa juhudi maarifa,
Kwa matendo kahubiri, naitaja yake sifa,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

6. Kazi mbele aliweka, kuleta maendeleo,
Nchi ikaimarika, ikapata mwelekeo,
Kweli tulinufaika, kwa mazuri matokeo,

7. Ni mzalendo shupavu, thabiti asiyeyumba,
Si kiongozi mabavu, na sio wa kujigamba,
Mtii mnyenyekevu, hakika Edo ni mwamba,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

8. Kumbuka aliyofanya, na mema aliyotenda,
Usije ukatawanya, yale aliyoyapanda,
Jaribu kuyakusanya, hakika utampenda,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

9.Sekondari kila kata, ‘lijenga kote nchini,
Zahanati zikafata, mijini na vijijini,
Kwa juhudi katafuta, masoko nje na ndani.
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

10. Walimu tunakusifu, twasema wewe ni namba,
Aliokoa maelfu, kwa kutujengea nyumba,
Ni kwa wako ubunifu, bado amani yatamba,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

11. Hata shule za msingi, sasa hawakai chini,
Madawati yako mengi, alosambaza nchini,
Heri ikawa kwa wengi, karo ikushushwa chini,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

12. Tamati nimefikia, kwa yale niliyowaza,
Nilosema zingatia, kweli Edo anaweza,
Ni mengi katufanyia, machache nimeeleza,
Ni nani kama lowassa, kwa mema ulio tutendea watanzania

Kila kona ya nchi jina linalovuma masikioni mwa watanzania wengi ni lowassa.duh safar bado inaendelea
 
Angalizo: Shairi hili likopiwa na kupesti na mwanzilishi wa thread hii lakini naomba kuweka sawa kwa lengo zuri tu la kujenga
ya kwamba mtunzi wa shairi hili ni mimi zipeda (kwa jina la facebook) (mawasiliano ni 0758 33 40 40)
na ikumbukwe kuwa shairi hili kwa mara ya kwanza nililipost jana tarehe 20/7/2014 katika thread inayosema ukweli kuhusu edward lowassa na urais 2015, kwa ushahidi zaidi waweza kurefer thread hiyo

nashukuru kwa kuona shairi langu limependwa ila na kusambazwa
tena kwa nia njema==)
 
Lowassa go ahead with your plans. You should not let them discourage you, or let you alter your plans.
They are tired.
They are shocked.
They thought they were engaged in a 100m race.
They forgot that 8 years was a marathon. They forgot you are a long distance runner, this is where they made a miscalculation.

You have defeated them, their timing was wrong go ahead.
Continue with your journey, to which shall eventually lead us to the promise land.

Some of us in the past did not support you at all. However the frequent and big noise, negative assertions and all sorts of dirty political rhetoric and malice directed against you, have awaken our conscious. Our ears are now wide opened and thoughts well set in search of the truth.

Please go ahead with your plans. God bless you.
 
NI NANI KAMA LOWASSA
1. Kalamu ninakushika, ili nipate andika,
Habari zipate fika, kwa watu wa kila rika,

Jambo moja mi nataka, ya moyoni kuanika,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

2.
Sifa alijizolea, utumishi ‘lotukuka,
Ofisi kaiachia, nchi nzima kazunguka,

Roho zetu kaokoa, baa njaa kutimka,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

3. Pia uwajibikaji, kasimamia nchini,
Ripoti za utendaji, katilia maanani,

Kwenye miji na vijiji, misaada kila dini,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

4.
Hakika Edo jasiri, Mola kampa kipaji,
Kawazima wamisri, kwenye mradi wa maji,

Kilimo kinashamiri, kisa umwagiliaji,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

5.
Kajenga kwa umahiri, umoja wa kitaifa,
Kafanya kazi vizuri, kwa juhudi maarifa,
Kwa matendo kahubiri, naitaja yake sifa,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

6. Kazi mbele aliweka, kuleta maendeleo,
Nchi ikaimarika, ikapata mwelekeo,

Kweli tulinufaika, kwa mazuri matokeo,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

7.
Ni mzalendo shupavu, thabiti asiyeyumba,
Si kiongozi mabavu, na sio wa kujigamba,

Mtii mnyenyekevu, hakika Edo ni mwamba,
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

8.
Kumbuka aliyofanya, na mema aliyotenda,
Usije ukatawanya, yale aliyoyapanda,
Jaribu kuyakusanya, hakika utampenda,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

9.
Sekondari kila kata, ‘lijenga kote nchini,
Zahanati zikafata, mijini na vijijini,
Kwa juhudi katafuta, masoko nje na ndani.
Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

10.
Walimu tunakusifu, twasema wewe ni namba,
Aliokoa maelfu, kwa kutujengea nyumba,

Ni kwa wako ubunifu, bado amani yatamba,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

11.
Hata shule za msingi, sasa hawakai chini,
Madawati yako mengi, alosambaza nchini,

Heri ikawa kwa wengi, karo ikushushwa chini,

Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea.

12.
Tamati nimefikia, kwa yale niliyowaza,

:llama:
 
Jf members naombeni kujua ubaya au uzuri wa Lowasa kuwa raisi ajaye wa Tanzania.

Mimi sifanyi campaign. Sijuani na Lowasa, ila napenda Lowasa awe the next president kwasababu nyingi mno.

1. Richmond
Lowasa aliondolewa madarakan na kashfa ya richmond. Ile ilikua sio kashfa ila upiganaji wa Lowasa ulimponza, please analyse you great thinkers.

2. Lowasa ana maamuzi

3. Lowasa ni mwana CCM mwenzetu

4. Lowasa ni kiongozi wa ukweli.

Bila unafki wala uchama naombeni maoni yenu hapa.

LOWASA VS MWIGILU

LOWASA VS SITA

LOWASA VS MEMBE

LOWASA Vs MAKAMBA

LOWASA VS KINANA

LOWASA VS MBOYE

LOWASA VS DR. SLAAA

LOWASA VS LIPUMBA

LOWASA VS NAPE

LOWASA VS NGELEJA

LOWASA VS ANYONE

LOWASA OYEEEEEEEEEEEE

Please note I hate all political parties chadema n ccm included
 
Mabegi ya Lowasa yameshatangulia Ikulu,anasubiri october kuapishwa
 
Ondoa zooote ibaki hiyo ya ..LOWASSA VS MWIGULU ...LOWASSA VS SLAA ...LOWASSA VS KINANA Hao wengine woote waondolewe HERI uniweke mimi vs mh.lowassa
 
jf members naombeni kujua ubaya au uzuri wa lowasa kuwa raisi ajaye wa tanzania.

Mimi sifanyi campaign. Sijuani na lowasa, ila napenda lowasa awe the next president kwasababu nyingi mno.

1. Richmond
lowasa aliondolewa madarakan na kashfa ya richmond. Ile ilikua sio kashfa ila upiganaji wa lowasa ulimponza, please analyse you great thinkers.

2. Lowasa ana maamuzi

3. Lowasa ni mwana ccm mwenzetu

4. Lowasa ni kiongozi wa ukweli.

Bila unafki wala uchama naombeni maoni yenu hapa.

Lowasa vs mwigilu

lowasa vs sita

lowasa vs membe

lowasa vs makamba

lowasa vs kinana

lowasa vs mboye

lowasa vs dr. Slaaa

lowasa vs lipumba

lowasa vs nape

lowasa vs ngeleja

lowasa vs anyone

lowasa oyeeeeeeeeeeee

please note i hate all political parties chadema n ccm included

lowasa vs mboye? ???
 
Jf members naombeni kujua ubaya au uzuri wa Lowasa kuwa raisi ajaye wa Tanzania.

Mimi sifanyi campaign. Sijuani na Lowasa, ila napenda Lowasa awe the next president kwasababu nyingi mno.

1. Richmond
Lowasa aliondolewa madarakan na kashfa ya richmond. Ile ilikua sio kashfa ila upiganaji wa Lowasa ulimponza, please analyse you great thinkers.

2. Lowasa ana maamuzi

3. Lowasa ni mwana CCM mwenzetu

4. Lowasa ni kiongozi wa ukweli.

Bila unafki wala uchama naombeni maoni yenu hapa.

LOWASA VS MWIGILU

LOWASA VS SITA

LOWASA VS MEMBE

LOWASA Vs MAKAMBA

LOWASA VS KINANA

LOWASA VS MBOYE

LOWASA VS DR. SLAAA

LOWASA VS LIPUMBA

LOWASA VS NAPE

LOWASA VS NGELEJA

LOWASA VS ANYONE

LOWASA OYEEEEEEEEEEEE

Please note I hate all political parties chadema n ccm included

raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR SLAA tuu.
 
Back
Top Bottom