Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,458
- 4,673
Mlachake hebu fafanua point namba1 ya huyo fisadi.
Remote here we go. Tulikua katika critical need ya umeme, mtendaji mkuu wa serikali alikua waziri mkuu. Na lile tatizo moja kwa moja lilimhusu mheshimiwa Lowasa. So Lowasa had to make the ends meet tupate umeme....... kabla sijaenfelea naomba kosa la lowasa kwwnye kashfa ya richmond
Last edited by a moderator: