Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

J.K.Nyerere alisema,IKULU KUNA NINI?
kwa nini hizi sifa zisijitangaze zenyewe hadi kutumia nguvu nyingi sana.

Kila Kiongozi akisema ajitangaze aliyofanya kwa madaraka aliyopewa, Basi Magufuli angeonekana angalau amegusa maisha ya watu kwa kiasi fulani. Lakini yuko bize na ujenzi wa taifa. Huyu mkuu sijawahi kumsikia akitetea maslahi ya taifa bungeni tangu alipojiuzu. Kama taratibu za chama ziko wazi, sioni haja ya kuwa na wasiwasi kama mtu anafaa atapewa, kama hafai hata kama akipewa nchi kwa nguvu itamshinda.

Huu ni muda wa kijenga taifa na sio kutangaziana sifa za viongozi ambazo ni jitihada za watu wengi lakin zote apewe mtu mmoja. TAifa hili Bado liko nyuma sana kuanza kupoteza muda kujadili witu bila kufuata utaratibu.

Mkuu acha watu wajadili viongoz wao,unataka siku ile wanaenda kupiga kura ndio waanze kujadili majina ya wagombea wao?
 
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu na familia yangu pia

1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini na walala hoi wapo University.

2. Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida,

3. Kuvunja mkataba wa City water services bila kuogopa wa kuhofia chochote.

4. Kuzuia Uuzwaji wa shirika la Nyumba NHC

5.Kuwaachia UVCCM kitega uchumi cha Jengo la maana

6. Alidhubutu kuchukua maamuzi magumu kwa masilai ya Tanzania na kulinda heshima ya CCM

7.Kuwafukuza wakurugenzi na wafanyakazi wa dhaifu serikali bila kuogopa chochote

8.Kuruhusu Bodaboda kuingia Nchini na kutengeneza Ajira za Kutosha kwa Vijana 9. Kuheshimu kanuni na taratibu zote za CCM

10. Kutekeleza ILANI ya chama chake na Kutimiza ahadi kwa asilimia 100% Jimboni kwake monduli hivyo Nampendekeza Kuwa Raisi wangu 2015.
ni fisadi. jengo la uvccm halina manufaa kwa uvccm. kunaufisadi mkubwa sn pale. yan uvccm wana floor moja tu kwa miaka 150 ijayo. acha kupotosha umma ww
 
By the way DK.Slaa hatamsahau kwenye ufalme wake Uraisi mpeni Slaa halafu EL atatafutiwa nafasi,CDM sio wabaya kama unachapa kazi regadless uko CCM,CUF utapewa nafasi.UZALENDO KWANZA!!!!!!Sio kama hili chama linalotetea watu wachote mifedha ya wananchi na kuuza madawa/meno ya tembo hata serikali za mitaa hawafikishwi.
 
ni fisadi. jengo la uvccm halina manufaa kwa uvccm. kunaufisadi mkubwa sn pale. yan uvccm wana floor moja tu kwa miaka 150 ijayo. acha kupotosha umma ww

wakati mwingne siyo lazma uchangie hoja humu ndan kama huna cha kuandika ubaki kimya,kuna hata jengo moja la chama ccm linaloingiza kama hilo jengo la uvccm??au unatuonyesha chuki zako za kupandkizwa kwa mh lowassa,tafuta stor nyingne tutakuelewa ila kwa lowassa hapana
 
Usisahau na alivomliza mzee malechela mgao wake kutoka kwa wajapan
 
Acha wivu wa kike! Wewe na kundi lako mmechangayikiwa, wewe na kundi lako agenda ya ufisadi imewashinda, sasa mnataka kutumia agenda ya ugonjwa, pia hii itawashinda. 2015 siyo mbali.
 
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote-

1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University .-

2. Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida,-

3. Kuvunja mkataba wa City water services bila kuogopa wa kuhofia chochote.-

4. Kuzuia Uuzwaji wa shirika la Nyumba NHC,-

5.Kuwaachia UVCCM kitega uchumi cha Jengo la maana-

6. Alidhubutu kuchukua maamuzi magumu kwa masilai ya Tanzania na kulinda heshima ya CCM-

7.Kuwafukuza wakurugenzi na wafanyakazi wa dhaifu serikali bila kuogopa chochote-

8.Kuruhusu Bodaboda kuingia Nchini na kutengeneza Ajira za Kutosha kwa Vijana-

9. Kuheshimu kanuni na taratibu zote za CCM-

10. Kutekeleza ILANI ya chama chake na Kutimiza ahadi kwa asilimia 100% Jimboni kwake Monduli hivyo Nampendekeza Kuwa Rais wangu 2015.Ongezea
 
mkuu njia kuu
Naona unataka kuwauwa ccm na presha
Wanapata tabu sna wakisikia jina la mh lowassa
 
Hio namba sita ndio imempotezea sifa ya kua kiongozi wa nchi, yeye aliwajibika bila kuwawajibisha wahusika ilitosha kutuaminisha ni mhusika namba moja, vinginevyo atuwekee hadharani wahusika wa richmond maana anawajua kama si yeye. Yule akachunge tu ng'ombe zake alizotudanganya ndio utajiri wake baas. Kwanza tunataka rais mwenye afya tele
 
Lowasa ni msimamizi wa mambo anayoyasadiki . Kutokana na mfumo ulivyokuwa kweli alistahili kungoka .Jambo kama lile ilitakiwa nmawaziri wote wangoke kwa kuwa kabla ya maamuzi hayajatokea baraza la mawaziri lazima libariki.Lakni fitina za makundi ndizo zilizopelekea kuchafua mchakato mzima. Wote ni watanzania lazima tujiulize huo mtambo chakavu mbona bado hupo DSm unazalisha umeme wanauzia Tanesco ? Kama kamati iliyomgoa Lowasa ilishindwa nini kuuondoa mtambo huo nchini hadi Mama Clinton anakuja TZ kuuzindua? Ikumbukwe kwenye HANSADS za Bunge iliamuliwa uondoke. Na kama ulionekana unafaa kwanini serikali isingeununua ili kuepukana na gharama kubwa za umeme ambazo Symbion anawauzia Tanesco na Tanesco anaongeza Ankala kwa Wananchi? Hivi kweli hiyo Kamati bado inaenziwa kwa kazi yao? Huu mpango ulijulikana kwa wote ndo maana Lowasa kwa uchungu alibwaga manyanga
 
Jamani lowassa ni jembe tatizo lake ni moja tu lowassa ni MGONJWA tena sana ebu mchunguze anapokuwa anapanda ngazi mpaka anatia huruma.kupanda kwenye gari yake mwenyewe mpaka asaidiwe na walinzi wake.Mimi nampenda sana EL ila kwa stress za urais mwaka aumalizi atakuwa r.I.p

MKUU kwanza unatakiwa umuombe Mungu wako akusamehe,kifo cha mtu Mungu mara nyingi ndio anapanga,unaposema lowassa mwaka huu atakuwa kafariki kiukweli nashindwa kuamin je ni ww wa sikuzote ndiyo uliayeandka ujumbe huu?kwa mtu mwwny akili timamu yeyote anatambuwa kuwa ww uliyemzima unaweza ukafa ukamuacha mgonjwa mahututi kitandan haijalish kam ulikuwa mgonjwa,kwahy jitahid sna umrudie mumba wako akusamehe kwa huu ujinga uliyo jivika na kuidhalilisha familia yako,lowassa ashasema mara nyingi kuwa haumwi ila wapinzan wake mmekuwa mnazushia kila panapo kucha,ila hata kama atakuwa mahututi kitandan ndio huyo huyo watanzania wamemuamin na anakwenda kuwaongoza watanzania
 
Jamani lowassa ni jembe tatizo lake ni moja tu lowassa ni MGONJWA tena sana ebu mchunguze anapokuwa anapanda ngazi mpaka anatia huruma.kupanda kwenye gari yake mwenyewe mpaka asaidiwe na walinzi wake.Mimi nampenda sana EL ila kwa stress za urais mwaka aumalizi atakuwa r.I.p

Vipi wewe ni mzima?
Unadhani kuongelea mtu ivi ni busara?
 
Ongezea na uthubutu wa kutaka kutuletea mvua kutoka malasiya!
 
Lowasa ni msimamizi wa mambo anayoyasadiki . Kutokana na mfumo ulivyokuwa kweli alistahili kungoka .Jambo kama lile ilitakiwa nmawaziri wote wangoke kwa kuwa kabla ya maamuzi hayajatokea baraza la mawaziri lazima libariki.Lakni fitina za makundi ndizo zilizopelekea kuchafua mchakato mzima. Wote ni watanzania lazima tujiulize huo mtambo chakavu mbona bado hupo DSm unazalisha umeme wanauzia Tanesco ? Kama kamati iliyomgoa Lowasa ilishindwa nini kuuondoa mtambo huo nchini hadi Mama Clinton anakuja TZ kuuzindua? Ikumbukwe kwenye HANSADS za Bunge iliamuliwa uondoke. Na kama ulionekana unafaa kwanini serikali isingeununua ili kuepukana na gharama kubwa za umeme ambazo Symbion anawauzia Tanesco na Tanesco anaongeza Ankala kwa Wananchi? Hivi kweli hiyo Kamati bado inaenziwa kwa kazi yao? Huu mpango ulijulikana kwa wote ndo maana Lowasa kwa uchungu alibwaga manyanga

Mkuu we piga kimya
Ccm walidhan wataipunguza nguvu ya lowassa kwa kumbambikizia issue ya richmond naona lowassa amerudi kivingine kashawabana nusu uwanja ndimi ziko nje wanahema.Uchafu wote wa richmond hata baba mwanaasha anatambuwa.Leo hii ukipita mtaan hata watoto wadogo wanaimba wimbo wa lowassa hii ni salam tosha kwa ccm kuwa lowassa hakuna wakuibadilisha nyota yake
 
Anaujasili Wa kuchukua million 160 kwa Siku kweli namwamini sana lowasa
 
1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.



2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.
 
kweli kasimamia ujenzi wa shule watu wakanyang'anywa mali zao, wakubwa wakitumbua kodi zetu pamoja na hizo sifa ulizo mpa lowasa anahusika na kashfa ya richmond na amekuwa mtumishi wa uma muda wote katajirikaje?sifa nzuri alizonazo lowasa ni sawa na mpishi mzuri aliyepika chakula kizuri halafu akaweka kipande cha mavi juu ya chakula hicho,ni wazi hakifai kula,lowasa alikuwa pm akafanya mambo ya richmond,ok hakuzuia watz kuibiwa,lowasa ndiye aliyekuwa kinara wa genge lililo jiita mtandao unaoitesa nchi hadi leo,lowasa kesha toa mchango wake nchi hii tumeuona anatakiwa apumzike,alichochuma kinatosha asirudi kuendelea kuvuna na kulipa visasi.ikulu ni mahali patakatifu hivyo anayefikiri kuwa lazima aende ije mvua lije jua analake jambo,wapambe wake tafuteni mtu mwingine mmtumikie,siasa si ndiyo kula yenu? achaneni na huyo mhalifu nchi hii ina watanzania mil50 hatuwezi kukosa kiongozi bora. nyie mnaolipwa kuhadaa watu oneni aibu kwa hiyo dhambi yenu.mwogopeni MUNGU,wa oneeni huruma watz.
 
Kambi yote ya Edward luwasa hakuna inachofikiria isipokuwa Kwamba luwasa akishinda na kuwa Raisi basi umasikini ndiyo by bye kwani nimeisoma kambi yote inawaza kuwa tukishinda tu basi tumeukata.lakini kubwa zaidi ni pale utakapo gundulika Kama huwaungi mkono basi utachukiwa na kambi nzima na kukuona hufai na msaliti. Je huyu mtu akishinda si itakuwa taabu Kwa watu ambao hawakumuunga Mkono? Kwani watu wake wote pamoja na yeye mwenyewe bwana luwasa ni mtu wa visasi ni mtu ambae anawaza kulipiza kisasi Kwa mtu yoyote Ambae hakumuunga mkono.

Mkuu kasenti mbona umeshaaza kuingiza upepo lowassa hataki uzembe kama ww nikati ya watu wazembe jiandae naww kuhama nchi,naona umeandka maelezo marefu ila wazembe wote serikalin kaeni mkao wa kula
 
Back
Top Bottom