Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,371
- 15,111
J.K.Nyerere alisema,IKULU KUNA NINI?
kwa nini hizi sifa zisijitangaze zenyewe hadi kutumia nguvu nyingi sana.
Kila Kiongozi akisema ajitangaze aliyofanya kwa madaraka aliyopewa, Basi Magufuli angeonekana angalau amegusa maisha ya watu kwa kiasi fulani. Lakini yuko bize na ujenzi wa taifa. Huyu mkuu sijawahi kumsikia akitetea maslahi ya taifa bungeni tangu alipojiuzu. Kama taratibu za chama ziko wazi, sioni haja ya kuwa na wasiwasi kama mtu anafaa atapewa, kama hafai hata kama akipewa nchi kwa nguvu itamshinda.
Huu ni muda wa kijenga taifa na sio kutangaziana sifa za viongozi ambazo ni jitihada za watu wengi lakin zote apewe mtu mmoja. TAifa hili Bado liko nyuma sana kuanza kupoteza muda kujadili witu bila kufuata utaratibu.
Hilo Swali ulipaswa umuulize yeye huyo aliyeliuliza kwa maana na yeye alikukimbilia Pia huko Ikulu, tena yeye ndiye aliyekaa huko kwa Miaka Mingi kuliko wote waliomfwatia, hivyo kutuuliza sisi ambao hatujafika huko ni Ubinafsi na Ujinga!