Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Mkuu kushindanisha idadi sio suluhisho inawezekana kuna waislam400wakrsitu700ila wakristu hawana vigezo au kinyume chake?silaha ni uchunguzi huru tena auditing firm ya kimataifa ili kuondoa conflict of interest
Auditing firm just because a Muslim was there?

Mbona watu hawahoji Magufuli kufanya teuzi ambapo wakiristu ni zaidi ya asilimia 80.

Mbona kuna waislam wengi wenye vigezo na hawateuliwi?

Nimejikuta nimekuwa mdini hata kwenye kwenye kampuni yangu. Ili nikuajiri kigezo cha kwanza lazma uwe muislam
 
Mkuu unakosea kusema et viongozi Wa kiislam mbona waliotumbuliwa wengi ni wakristu?tens nadhani 70%labda?umeona wakristu wanamtetea director ametumbuliwa kisa dini ?hapa haki itenndeke dini isiwe ngao ya kumlinda muovu mkuu
hao ndo wanaoiba. ndo maana wakatumbuliwa. sasa ulitaka wakatumbuliwe hata ambao hawajaiba?
na pili ndo waliojaa huko serikalini wakiiba na kwenye mashirika ya umma.
 
kwa nini hilo mnaliongelea tu kwa viongozi waislam? kama ni kukosa vigezo kwa nini msiongelee hata mashirika mengine, hata hayo manne yaliyobaki ya mifuko ya hifadhi za jamii kama NSSF?
hebu kuweni wastaarabu bana. nchi yetu sote hii na tuongoze sote kwa masilahi mapana ya vizazi vyetu sote. mbona mmeongoza kwa miaka Zaidi ya 50 mnachofanya ni kuiba tu Zaidi ya kulisaidia taifa? hamridhiki tu?
Acha kutoka povu.Hapa anaongelewa Dau kuwa ni mdini.Hawajaongelewa viongozi wengine waislamu ambao sio wadini.
Ni wajibu wetu sote katika ujumla wetu kukemea aina yoyote ya udini au ukabila katika nchi yetu.
 
Ni kweli tumbua majipu ilikuwa ni ajenda ya kuwaondoa waislamu wote popote walipo na imefanikiwa saiz ni 15% waislam 85% wakristo lakin mwisho wake utafahamika hakuna sehem ambapo ubaguzi ulikuwa na mwisho mzuri tusibir tuvune tunachokipanda
 
Lazima kuna wanaomlinda, asingekua na Jeuri hyo
 
[QUOTE="ILAN RAMON, post: 17718149, member: [/QUOTE]
alan labda nikuambie tu kwa kifupi wewe ni mdini sana. natamani udini wako ungebaki humuhumu mitandaoni maana ukileta na uraiani ni hatari sana.
usijione fahari sana kuzaliwa mkiristo. pengine wewe ungezaliwa kule Pemba ungekuwa muislam tu tena swala tanu ambaye anapinga ushoga kwa nguvu zote.
na wala hukumuambia Mungu unataka kuzaliwa mkiristo, ulijikuta tu umetokea kwenye familia ya kikirsto na kama vile haitoshi wakaenda kukubatiza ndo ukawa mkirsto kamili.
naamini hujui chochote kuhusu uzuri wa uislam. laiti ungeujua wala usingekuwa bize hapa kututukana.
kuwa tu wa kawaida. dini yako hainisumbui mimi na wala uislam wangu usikusumbue. (yale ya pilipili shambani.... ya-aplay hapa.
sioni umuhimu wa huu ungomvi wote ulionao humu. kwa lugha ingine jifunzi kuwavumilia wasioamini usichoamini. nchi yetu itabarikiwa sana na Amani itatamalaki kila kona ya nchi hii. huo ni ushauri wangu.
 
Acha kutoka povu.Hapa anaongelewa Dau kuwa ni mdini.Hawajaongelewa viongozi wengine waislamu ambao sio wadini.
Ni wajibu wetu sote katika ujumla wetu kukemea aina yoyote ya udini au ukabila katika nchi yetu.
nitajie kiongozi mmoja tu wa muislam ambaye hamjawahi kumuita mdini.
 
Wewe ni Mujahidina kama Dau.

Hapa nchini wapo wengi ambao sio wadini mfano Makamba, Alli Hassan Mwinyi, Dr Mwinyi, Prof Mbarawa na bila kumsahau kiongozi wetu mpendwa Dr.Salim Ahmed Salim.

Si sahihi kabisa kubagua mtu kwa sababu ya imani yake.Imani ni masuala yako binafsi na Mungu wako.

Ubaguzi wa dini ni chanzo cha chuki na mabalaa yote ya dunia hii.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Una uhakika na anachosema? Aweke ushahidi siyo tu maneno! Je kama mtoa post ameingiza na chuki zake tutaamin vp? We need witness.
 
Haa Chele Nazi Nane !!!
Bada Na Sunga

Ambassador Dr Dau
 
Mimi
[QUOTE="ILAN RAMON, post: 17718149, member:
alan labda nikuambie tu kwa kifupi wewe ni mdini sana. natamani udini wako ungebaki humuhumu mitandaoni maana ukileta na uraiani ni hatari sana.
usijione fahari sana kuzaliwa mkiristo. pengine wewe ungezaliwa kule Pemba ungekuwa muislam tu tena swala tanu ambaye anapinga ushoga kwa nguvu zote.
na wala hukumuambia Mungu unataka kuzaliwa mkiristo, ulijikuta tu umetokea kwenye familia ya kikirsto na kama vile haitoshi wakaenda kukubatiza ndo ukawa mkirsto kamili.
naamini hujui chochote kuhusu uzuri wa uislam. laiti ungeujua wala usingekuwa bize hapa kututukana.
kuwa tu wa kawaida. dini yako hainisumbui mimi na wala uislam wangu usikusumbue. (yale ya pilipili shambani.... ya-aplay hapa.
sioni umuhimu wa huu ungomvi wote ulionao humu. kwa lugha ingine jifunzi kuwavumilia wasioamini usichoamini. nchi yetu itabarikiwa sana na Amani itatamalaki kila kona ya nchi hii. huo ni ushauri wangu.[/QUOTE]
mkuu unaendeshwa na hisia Mimi sio mkristu wala sijabatizwa,kwa ufupi Niko kundi la kingunge sina mpango na utamaduni Wa mtu mweupe mnaouita udini.....over
 
hao ndo wanaoiba. ndo maana wakatumbuliwa. sasa ulitaka wakatumbuliwe hata ambao hawajaiba?
na pili ndo waliojaa huko serikalini wakiiba na kwenye mashirika ya umma.

Mbona mnamtetea dau ?nae mzembe kama viwanja vilinunuliwa kwa inflated prices kama vile vya kigamboni na arumeru nae angetumbuliwa maxima kama wale Wa atcl na nida au Bandar?why are fighting for this man ?kwani ndio bos pekee au Muslim pekee mwenye uwezo?
 
Auditing firm just because a Muslim was there?

Mbona watu hawahoji Magufuli kufanya teuzi ambapo wakiristu ni zaidi ya asilimia 80.

Mbona kuna waislam wengi wenye vigezo na hawateuliwi?

Nimejikuta nimekuwa mdini hata kwenye kwenye kampuni yangu. Ili nikuajiri kigezo cha kwanza lazma uwe muislam
Mkuu unataka unipeleke nisikotaka? 80%wakrstu ?leta justification embu waleuliwa wapi80%wakawa wakristu? Kuhusu auditing sio kwa kuwa dau ni mkristu no.kwa sababu kuna ubadhirifu na kama utadhirika kumbuka msala sio Wa waislamu tu hata wakristu watasombwa a cha kutete muovu kisa dini yako.mkuu
 
Du kweli Dr Dau kahusika kwa kiasi kikubwa sans kuliguguna shirika....aliligeuza shamba la bibi yske mzaa mama. Inasikitisha na inauma sana I see!
 
Sio kweli kwamba Dr Dau alikuwa mdini ila kitendo cha yeye kuwa mtiifu wa kutekeleza ibada kama dini yake inavyomtaka ilikuwa kero kwa wasio kuwa wa imani yake. Mtoa post shusha pumzi Dr ameondolowa nenda kaombe kazi utapata kama kweli kigezo ilikuwa dini. Vip CRDB ambako nako wanaajiri wakristo kwa asilimia 99, tuseme Kimei naye ni mdini? Mbona yapo mashirika kibao hakuna uwiano wa dini na yaliyo mengi wamejaa wakristo wap umeskia waislam wakilalamika?

Vip teuzi za Mh. Rais zina uwiano wa kidini? Maana kila akiteua naona walio wengi ni wakristo, tusemeje hapo?
 
Watu mnatetea udini bila aibu.Mmechoka na amani.Jaribuni kufatilia Mwl.Nyerere alitoa wosia gani kuhusu udini na ubaguzi wa kidini.
 
Mkuu unataka unipeleke nisikotaka? 80%wakrstu ?leta justification embu waleuliwa wapi80%wakawa wakristu? Kuhusu auditing sio kwa kuwa dau ni mkristu no.kwa sababu kuna ubadhirifu na kama utadhirika kumbuka msala sio Wa waislamu tu hata wakristu watasombwa a cha kutete muovu kisa dini yako.mkuu

Speculations hazitakupeleka popote.

Ina maana hauna imani na CAG? Mbona ukaguzi ushanyika na hauna ubadhirifu wowote alioufanya
 
mkuu serial I ya ccm siwezi Kuwa na imani nayo hata Nyerere afufuke hapa kuna facts not only speculations mbona wamenunua viwanja kwa inflated prices hao nssf kule kigamboni name arusha zile nazo speculations?
 
Sio kweli kwamba Dr Dau alikuwa mdini ila kitendo cha yeye kuwa mtiifu wa kutekeleza ibada kama dini yake inavyomtaka ilikuwa kero kwa wasio kuwa wa imani yake. Mtoa post shusha pumzi Dr ameondolowa nenda kaombe kazi utapata kama kweli kigezo ilikuwa dini. Vip CRDB ambako nako wanaajiri wakristo kwa asilimia 99, tuseme Kimei naye ni mdini? Mbona yapo mashirika kibao hakuna uwiano wa dini na yaliyo mengi wamejaa wakristo wap umeskia waislam wakilalamika?

Vip teuzi za Mh. Rais zina uwiano wa kidini? Maana kila akiteua naona walio wengi ni wakristo, tusemeje hapo?
Wenye shule lazma wataingia wengi kwani uwiano Wa wahaya na wagogo upo sawa pia?
 
Back
Top Bottom