Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.

  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.

KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.

KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.

RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Hivi unakumbuka hali ya shirika hilo wakati Dr anaingia kwenye shirika hilo?????????????????????
 
Nakumbuka ametoka na utajiri wa kutisha na ameliacha shirika likigubikwa na tuhuma za udini na ubaguzi wa kutisha.
 
wapumnbavu kama nyie siku zote mmekazania udini. kila siku udini popote palipo kiongozi muislam hamuachi kuingiza chockochoko zenu za udini. tumeona mkiwaita akina Mh. Kikwete, Dr. Dau, Prof. Asad, Mh. Zitto, Prof. Lipumba, Mzee Kinana mpaka hata watu ambao siamini hata kama huko msikitini walifika lini mara ya mwisho akina Prof. Kapuya.
Hii imekuwa ni tabia yenu.
SIJAWAHI, NARUDIA SIJAWAHI kuona muislam yeyote humu akileta uzi unaoelezea na kukashifu kuhusu dini ya kiongozi yeyote wa kikirsto humu japokuwa pengine wadini wapo, na hata ukiangalia teuzi nyingi za Magufuli ni watu wa dini yake. Lakini kamwe hakuna muislam aliye busy kuleta nyuzi za aina hiyo kama mlivyokuwa mkifanya kwa Kikwete pamoja na kuwa kwenye serikali yake mlikuwa mmejaa mkiiba tu. lakini nyie wa..senge kila kukicha nyuzi za kuwatukana waislam kisa dini yao haziishi humu, na wala ukiulizwa uutaje huo udini wao hauna Zaidi ya kusema nilimuona au nachukizwa na kavaa kanzu, ana ndevu, kaingia msikitini au aliswali pale kazini. waambie na hao mbwa wenzako kuwa nchi hii yetu sote. haihitaji kubaguana.
 
Jihad
 
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.

Mkuu kwanini atoke kanisani na hiyo sio taasis ya dini?
 
wapumnbavu kama nyie siku zote mmekazania udini. kila siku udini popote palipo kiongozi muislam hamuachi kuingiza chockochoko zenu za udini. tumeona mkiwaita akina Mh. Kikwete, Dr. Dau, Prof. Asad, Mh. Zitto, Prof. Lipumba, Mzee Kinana mpaka hata watu ambao siamini hata kama huko msikitini walifika lini mara ya mwisho akina Prof. Kapuya.
Hii imekuwa ni tabia yenu.
SIJAWAHI, NARUDIA SIJAWAHI kuona muislam yeyote humu akileta uzi unaoelezea na kukashifu kuhusu dini ya kiongozi yeyote wa kikirsto humu japokuwa pengine wadini wapo, na hata ukiangalia teuzi nyingi za Magufuli ni watu wa dini yake. Lakini kamwe hakuna muislam aliye busy kuleta nyuzi za aina hiyo kama mlivyokuwa mkifanya kwa Kikwete pamoja na kuwa kwenye serikali yake mlikuwa mmejaa mkiiba tu. lakini nyie wa..senge kila kukicha nyuzi za kuwatukana waislam kisa dini yao haziishi humu, na wala ukiulizwa uutaje huo udini wao hauna Zaidi ya kusema nilimuona au nachukizwa na kavaa kanzu, ana ndevu, kaingia msikitini au aliswali pale kazini. waambie na hao mbwa wenzako kuwa nchi hii yetu sote. haihitaji kubaguana.
Mkuuu nashundwa kukuelewa teuxi za Magufuli zimejaa watu Wa dini yake kivip?sijaona japo binafsi simkubali magufuli ni vema ungetoa mfano
 
ENOUGH IS ENOUGH. ..ALL OF YOU. ..MWACHENI AFANYE KAZI SASA JAMANI. ..DAH!
 
katika watu wapumbavu basi we ni mmoja wapo.

katika suala udini ungetoa facts katika shirika la NSSF kuna waislamu wangapi na wakristo wangapi, then ungelinganisha na mashirika mengine ya kijamii. Udaku mpelekee Shigongo hapa tunataka facts. Non sense
Mkuu kushindanisha idadi sio suluhisho inawezekana kuna waislam400wakrsitu700ila wakristu hawana vigezo au kinyume chake?silaha ni uchunguzi huru tena auditing firm ya kimataifa ili kuondoa conflict of interest
 
Mkuuu nashundwa kukuelewa teuxi za Magufuli zimejaa watu Wa dini yake kivip?sijaona japo binafsi simkubali magufuli ni vema ungetoa mfano
naona kila anapoteua wange wao ni wakirsto tu. hata jana kateua wajumbe wa bodi za vyuo wa5 na wote kama sio wa4 ni wa upande mmoja. angalia baraza lake la mawaziri na manaibu wake, makatibu wakuu na manaibu wake, wakuu wa mikoa. kidogo nimeona amejitahidi kabalance kwa wakurugenzi na madc.

tafadhali nisahihishe kama niko wrong kwenye hili, labda huenda ni perception tu ukizingatia jinsi mlivyobize kutushambulia.
 
Binafsi kwa jinsi nilivomuelewa mtoa Uzi ni kwamba,ili Ku justify maelezo yake iundwe auditing team utafutwe ukweli.naona watu wanakimbilia Mara waislam wangapi au wakristu wangapi?idadi sio kigezo cha Ku onesha haki
.inawezekana either waislamu au wakrstu wengi waliingia bila vigezo au walipanda vyeo kwa upendeleo?auditing ifanyike tena ikibidi na foreign firm ili ninong'ono iishe ukweli uwekwe wazi
 
Mkuu kushindanisha idadi sio suluhisho inawezekana kuna waislam400wakrsitu700ila wakristu hawana vigezo au kinyume chake?silaha ni uchunguzi huru tena auditing firm ya kimataifa ili kuondoa conflict of interest
kwa nini hilo mnaliongelea tu kwa viongozi waislam? kama ni kukosa vigezo kwa nini msiongelee hata mashirika mengine, hata hayo manne yaliyobaki ya mifuko ya hifadhi za jamii kama NSSF?
hebu kuweni wastaarabu bana. nchi yetu sote hii na tuongoze sote kwa masilahi mapana ya vizazi vyetu sote. mbona mmeongoza kwa miaka Zaidi ya 50 mnachofanya ni kuiba tu Zaidi ya kulisaidia taifa? hamridhiki tu?
 
naona kila anapoteua wange wao ni wakirsto tu. hata jana kateua wajumbe wa bodi za vyuo wa5 na wote kama sio wa4 ni wa upande mmoja. angalia baraza lake la mawaziri na manaibu wake, makatibu wakuu na manaibu wake, wakuu wa mikoa. kidogo nimeona amejitahidi kabalance kwa wakurugenzi na madc.

tafadhali nisahihishe kama niko wrong kwenye hili, labda huenda ni perception tu ukizingatia jinsi mlivyobize kutushambulia.

Mkuu binafsi siamini katika mgawanyo wa100/100mana kuna dini zingine na wapagani pia cha msingi ni uwezo Wa aliowateua je ni best candidates?hata kama90%wangekuwa waislam au wakristu?kwa hilo la best sina la kusema kwa sababu ccm huwa wanaleana na kulindana mkuu kuhusu mawazir nadhan hata wabunge nearly 70%ni wakristu if I am not mistaken
 
Binafsi kwa jinsi nilivomuelewa mtoa Uzi ni kwamba,ili Ku justify maelezo yake iundwe auditing team utafutwe ukweli.naona watu wanakimbilia Mara waislam wangapi au wakristu wangapi?idadi sio kigezo cha Ku onesha haki
.inawezekana either waislamu au wakrstu wengi waliingia bila vigezo au walipanda vyeo kwa upendeleo?auditing ifanyike tena ikibidi na foreign firm ili ninong'ono iishe ukweli uwekwe wazi
kwa nini iwe kwa NSSF? una uhakika gani kuwa waislam hawaoni hata hiyo mifuko mengine uongozi wao hauna tofauti na uuongozi wa kigango na parokia?
wazo lako ni zuri ila lisiwa bias kama kweli ziko sahihi. Auditing ifanyikwe kote.
 
kwa nini hilo mnaliongelea tu kwa viongozi waislam? kama ni kukosa vigezo kwa nini msiongelee hata mashirika mengine, hata hayo manne yaliyobaki ya mifuko ya hifadhi za jamii kama NSSF?
hebu kuweni wastaarabu bana. nchi yetu sote hii na tuongoze sote kwa masilahi mapana ya vizazi vyetu sote. mbona mmeongoza kwa miaka Zaidi ya 50 mnachofanya ni kuiba tu Zaidi ya kulisaidia taifa? hamridhiki tu?

Mkuu unakosea kusema et viongozi Wa kiislam mbona waliotumbuliwa wengi ni wakristu?tens nadhani 70%labda?umeona wakristu wanamtetea director ametumbuliwa kisa dini ?hapa haki itenndeke dini isiwe ngao ya kumlinda muovu mkuu
 
kwa nini iwe kwa NSSF? una uhakika gani kuwa waislam hawaoni hata hiyo mifuko mengine uongozi wao hauna tofauti na uuongozi wa kigango na parokia?
wazo lako ni zuri ila lisiwa bias kama kweli ziko sahihi. Auditing ifanyikwe kote.

Mkuuu lisemwalo lipo kama halipo laja hili swala LA nssf la kitambo sana lipaswa limalizwe once and for all huko kigangoni unakema kama kuna uovu na upendeleo kweli kuwa wakristu wanabebwa am sure habar zinapatikana mana wapoo wafanyakazi waislam wanaeza pata nyeti za huko waziletee nchi haiwezi kuendelea kwa kuwapa nafasi wasio na uwezo regardless of his/her religion
 
Mkuu binafsi siamini katika mgawanyo wa100/100mana kuna dini zingine na wapagani pia cha msingi ni uwezo Wa aliowateua je ni best candidates?hata kama90%wangekuwa waislam au wakristu?kwa hilo la best sina la kusema kwa sababu ccm huwa wanaleana na kulindana mkuu kuhusu mawazir nadhan hata wabunge nearly 70%ni wakristu if I am not mistaken
Zanzibar ni nchi ya waislam kama sio ya kiislam, 99% plus ya wakazi ni dini hiyo ndo maana huwezi watenganisha na uislam hata kama hupendi. hata juzi magufuli akiwa Pemba alikaribishwa na Qur an tukufu. usifikiri ni kwa bahati mbaya bali ndo wanachoamini.

kusema eti kisa ni uwezo ndo kigezo cha kuteua huo ni unaha. unataka kuniambia Tanzania yote hakuna waislam wenye uwezo? this is real kidding! hatuhitaji taifa la aina hiyo ambalo lina viongozi wa kupendelea. ukiwa kama kiongozi wa juu ni vizuri kubalance viongozi kutoka matabaka mbali mbali. binafsi sikubalini hata na magufuli kwa jinsi alivyowafungia vioo wachaga a.k.a watani na wakwe zangu! unataka kuniaminisha kuwa hakuna kabisa wachaga wenye sifa?!
hebu tuwe serious na mambo yanayohusu umoja wetu.
 
Mkuuu lisemwalo lipo kama halipo laja hili swala LA nssf la kitambo sana lipaswa limalizwe once and for all huko kigangoni unakema kama kuna uovu na upendeleo kweli kuwa wakristu wanabebwa am sure habar zinapatikana mana wapoo wafanyakazi waislam wanaeza pata nyeti za huko waziletee nchi haiwezi kuendelea kwa kuwapa nafasi wasio na uwezo regardless of his/her religion
usisahau kuwa waislam hatuna makuu. wakati mwengine tunaona lakini tunaamua kupuuzia tu. ni tofauti sana na nyie. mfano mzuri ni Kikwete hata baada ya kumtukana sana na kumuita kila aina ya majina amechukulia kawaida tu. usifikiri ilikuwa haimkeri. na bado hata waliokuwa wakimtukana na kutokumchagua kwenye chaguzi zake mbili yaani wachaga bado aliwateua kwenye serikali yake kama akila ludovick utoo. uisifikiri alikuwa hajui kama wanampinga. ila alijua hii dunia ni mapito tu. ngoja nitekeleze wajibu wangu niende zangu.

hili la kusema lisemwalo, usifikiri waislam wako kimya kwenye mifuko mingine hawana cha kusema. elewa hilo.
 
UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.

  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.

KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.

KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.

RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
halafu ndio yuko malaysia badala ya lupango.
 
Mkuu kwanini atoke kanisani na hiyo sio taasis ya dini?
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ameletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yanaenda vizuri. save your breath mkuu.
 
Back
Top Bottom