Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 955
- 867
kumbe nawewe mwabule chinu hivi. non sense
Basi unafanya maisha kuwa magumu. Unachokizungumza ni hearsaysmkuu serial I ya ccm siwezi Kuwa na imani nayo hata Nyerere afufuke hapa kuna facts not only speculations mbona wamenunua viwanja kwa inflated prices hao nssf kule kigamboni name arusha zile nazo speculations?
Those are facts and not hearsay my friend,watu walifanya auditing na kuja na hayo mafisadi ya dau,alitaka evidence itoke wapiBasi unafanya maisha kuwa magumu. Unakizungumza ni hearsays
Without concrete evidence nobody is condemned in justice.
Hata huyo LOWASSA wanaemtuhumu kuwa fisadi, SERIKALI wanashindwa na HAWATAWEZA kumpeleka kwenye so called ''Mahakama ya mafisadi''
Uko sahihi. KUna watu wanadhani Mkristu mwenzao au mwislamu mwenzao akiwa na pesa basi ni ushindi wao wote! Akiiba anatetewa na waislamu wote eti yuko sawa tu hata kama hafaidiki na lolote au chochote.Mbona mnamtetea dau ?nae mzembe kama viwanja vilinunuliwa kwa inflated prices kama vile vya kigamboni na arumeru nae angetumbuliwa maxima kama wale Wa atcl na nida au Bandar?why are fighting for this man ?kwani ndio bos pekee au Muslim pekee mwenye uwezo?
Those are facts and not hearsay my friend,watu walifanya auditing na kuja na hayo mafisadi ya dau,alitaka evidence itoke wapi
CAG ni Wa serekali mkuu he is not independent kama Ernst &young au PWC,hao ndio wangekata mzizi wa fitna kama Epa ilivokuwaHivi kuna auditor mwengine zaidi ya CAG?? . Kama CAG kafanya ukaguzi na hajakuta hayo madudu wewe ni nani unaemtuhumu??
Au kwasababu aliemkagua Dr Dau ni ustaadh mwenzie????
Usiishi kwa CHUKI BINAFSI kijana utawahi kuzeeka na kufa mapema kwa kijiba cha roho
Na kama ukifika uzeeni basi lazma uwe mchawi
Acha Uchochezi Na Taarifa Yako Utafungwa Mwache Ambassador Dr Dau Aiwakilishe Nchi Vema!Ila kusema kweli Dau alitakiwa kufikishwa mahakamani, alikuwa mbadhirifu na mdini sana!
tunachokipinga hapa ni islamophobia kama huelewi. hakuna anayetetea mwizi kama ameiba sharia ichukue mkondo wake, ni hiyo ni kinyume kabisa na sharia za uisalam tofauti na huko kwenu mnaiba halafu mnaenda kutoa sadaka kubwa kubwa kwa pesa za wizi. lakini hatutaki mtu ashambuliwa kwa sababu ya dini yake. hii tabia hamjaianza leo ya kuwashambulia waislam na hata kuwachukia bila sababu. ziko post nyingi tu humu zikionesha hilo; mfano member wanaandika; huwa nachukia sana nikipita kwenye lile daraja la Dau na kuona shungi nyingi. hizi ni chuki zsizokuwa na sababu labda sijui niziitaje. mwengine anachukia kumuona muislam kafuga ndevu tu, mwengine akiona kavaa kanzu ni issue. hizi ni tabia zetu. mbona sisi tunawaona mmevaa misalaba yenu ya mzungu aliyewambwa hatubughudhiwi? na wala hatuna time nanyi? iweje nyie iwe kinyume chake kwetu? kweni nyie mna uspesho gani wapuuzi nyie??Mbona mnamtetea dau ?nae mzembe kama viwanja vilinunuliwa kwa inflated prices kama vile vya kigamboni na arumeru nae angetumbuliwa maxima kama wale Wa atcl na nida au Bandar?why are fighting for this man ?kwani ndio bos pekee au Muslim pekee mwenye uwezo?
mkuu unaendeshwa na hisia Mimi sio mkristu wala sijabatizwa,kwa ufupi Niko kundi la kingunge sina mpango na utamaduni Wa mtu mweupe mnaouita udini.....over[/QUOTE]Mimi
alan labda nikuambie tu kwa kifupi wewe ni mdini sana. natamani udini wako ungebaki humuhumu mitandaoni maana ukileta na uraiani ni hatari sana.
usijione fahari sana kuzaliwa mkiristo. pengine wewe ungezaliwa kule Pemba ungekuwa muislam tu tena swala tanu ambaye anapinga ushoga kwa nguvu zote.
na wala hukumuambia Mungu unataka kuzaliwa mkiristo, ulijikuta tu umetokea kwenye familia ya kikirsto na kama vile haitoshi wakaenda kukubatiza ndo ukawa mkirsto kamili.
naamini hujui chochote kuhusu uzuri wa uislam. laiti ungeujua wala usingekuwa bize hapa kututukana.
kuwa tu wa kawaida. dini yako hainisumbui mimi na wala uislam wangu usikusumbue. (yale ya pilipili shambani.... ya-aplay hapa.
sioni umuhimu wa huu ungomvi wote ulionao humu. kwa lugha ingine jifunzi kuwavumilia wasioamini usichoamini. nchi yetu itabarikiwa sana na Amani itatamalaki kila kona ya nchi hii. huo ni ushauri wangu.
nivigumu sana kujadili kitu na taahira;Wewe ni Mujahidina kama Dau.
Hapa nchini wapo wengi ambao sio wadini mfano Makamba, Alli Hassan Mwinyi, Dr Mwinyi, Prof Mbarawa na bila kumsahau kiongozi wetu mpendwa Dr.Salim Ahmed Salim.
Si sahihi kabisa kubagua mtu kwa sababu ya imani yake.Imani ni masuala yako binafsi na Mungu wako.
Ubaguzi wa dini ni chanzo cha chuki na mabalaa yote ya dunia hii.
nivigumu sana kujadili kitu na taahira;
niambie hao uliowataja walishashika nyazifa gani zinazoingiliana na jamii moja kwa moja?
mwinyi -mlimuita sana mdini, mwaka 1997 pale mlimani walimdhihaki kupitiliza na hata kufikia kuwarudisha nyumbani
mkamba-ameshika cheo gani kinachointract na watu moja kwa moja? kama ni baba ametoka jeshini na kuwa mkuu wa mkoa na kuishia ukatibu mkuu wa ccm. kama ni mtoto alikuwa muandishi wa hotuba za Kikwete na leo yupo huko mazingira, kwanza inasemekana anaweza hata asiwe mislam na kwa maelezo yaliyopo humu mke wake na pengine na watoto wake ni wakirsto na wanaenda church kabisa
Dr. Husein Mwinyi-huyo ni waziri wa huko jeshini
Prof. Mbarawa-huyo ni waziri wa mabarabara
Dr. Salim A.S-huyo alikuwa huko OAU
narudia tena kusema ni ngumu sana ku-argue na mtu wa aina yako
2005-sio nyie mliokuwa bize kumtukana kila aina ya Matusi Salim AS kwa yeye kutaka kugombea urais? unafikiri tumesahau?
jiulize Prof. Kapuya ambaye media zinaonesha ni mtu wa Madisco na totoz; alipokuwa elimu sio nyie mliomuita mdini? kisa tu kusema wanafunzi wa kike wakiislam waruhusiwe kuvaa hijabu ambazo haziwadhuru nyie kwa chochote? wapuuzi sana nyie watu
nivigumu sana kujadili kitu na taahira;
niambie hao uliowataja walishashika nyazifa gani zinazoingiliana na jamii moja kwa moja?
mwinyi -mlimuita sana mdini, mwaka 1997 pale mlimani walimdhihaki kupitiliza na hata kufikia kuwarudisha nyumbani
mkamba-ameshika cheo gani kinachointract na watu moja kwa moja? kama ni baba ametoka jeshini na kuwa mkuu wa mkoa na kuishia ukatibu mkuu wa ccm. kama ni mtoto alikuwa muandishi wa hotuba za Kikwete na leo yupo huko mazingira, kwanza inasemekana anaweza hata asiwe mislam na kwa maelezo yaliyopo humu mke wake na pengine na watoto wake ni wakirsto na wanaenda church kabisa
Dr. Husein Mwinyi-huyo ni waziri wa huko jeshini
Prof. Mbarawa-huyo ni waziri wa mabarabara
Dr. Salim A.S-huyo alikuwa huko OAU
narudia tena kusema ni ngumu sana ku-argue na mtu wa aina yako
2005-sio nyie mliokuwa bize kumtukana kila aina ya Matusi Salim AS kwa yeye kutaka kugombea urais? unafikiri tumesahau?
jiulize Prof. Kapuya ambaye media zinaonesha ni mtu wa Madisco na totoz; alipokuwa elimu sio nyie mliomuita mdini? kisa tu kusema wanafunzi wa kike wakiislam waruhusiwe kuvaa hijabu ambazo haziwadhuru nyie kwa chochote? wapuuzi sana nyie watu
nivigumu sana kujadili kitu na taahiraWe baki na akili yako ya madrasatul latul
acha kukimbia fact wewe.SIO siri kwamba wewe ni mdini na mbaguzi.Hii mada ni ya kijinga na ya kipuuzi.Sitaki tena malumbano ya mambo yasiyo na tija katika taifa letu.
Nakutakia heri katika jitihada zako wewe na washirika wako katika kuleta vita ya Jihad Tanzania.
Mbwa lakini jipange tayari kwenda airport kumpokea na kumsindikiza kisutu na kumtolea dhamanautabwabwaja weeeee, lakini wewe ni mbwa tu! period.
a day dreamer. keep it up.Mbwa lakini jipange tayari kwenda airport kumpokea na kumsindikiza kisutu na kumtolea dhamana
Kama unapenda sana kalale naea day dreamer. keep it up.