Data mnazo nyie sisi tutazipateje si mmekalia viti vyote na information zote mnazo,utuwekee ajira zote zilizofanyika 2005-2015 ndo tufanyie kaziwe s'enge mbona sasa hujataja idadi ya hao wanaopendelewa na hao wasiopendelewa ili kila mmoja wetu alinganishe mwenyewe? au ulitoka kufanyiwa nini ndo ukaja kunya humu.
Kwa jinsi nilivyofuatilia mjadala huu inawezekana Dr Dau kaondolewa pale kwa kupikiwa jungu, na nadhani kilichomponza ni Dini yake tu basi, kama ingekuwa ni Ufisadi angekuwa anachunguzwa saa hizi na vyombo vya usalama na angekuwa ameishahojiwa kwa ufisadi, Lakini kusubiri kupangiwa Ubalozi inathibitisha kuwa huyu mtu ni safi!
Umeelezwa sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?
PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?
SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?
Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....
Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!
bwana yesu asifiwe sana!
So what???Ninavo mjua Dau ni hi kuwa msomi na mchapa kazi...lakini kama kawaida yetu...udini ndio tumeweka mbele. Lakini bado ni hazina kubwa ndio maana Rais amesema atampangia nafasi ingine..
Dr. Ramadhan K. Dau
Dr. Ramadhani K. Dau is the TAN-RE Board Chairman.
Dr. Dau holds a PhD in Marketing from the Victoria University of Wellington, New Zealand, an MBA from the American University of Cairo and a Bachelor of Commerce Degree, Marketing option, from the University of Dar-es-Salaam, Tanzania.
Dr. Dau serves as a Director of Sarena Hotels and Lodges, Barclays Bank of Tanzania and Jubilee Insurance Company of Tanzania Limited, among others.
He is currently the Director-General of the National Social Security Fund (NSSF) Tanzania. Prior to his appointment at the NSSF in 2001, Dr. Dau held various academic posts at the University of Dar es salaam.
Imekuuma mkuu,We unaambiwa ukweli unataka kuchomekea hoja za kidini,Poa,Mtu asipokiwa dini hiyo ya dau lazma awe mkanisani?Hindu,buddha,Pagan?Shame upon your testicles !hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.
Mbona umeuliza kwa hasira hivi? Pumua kwanza halafu usome tena. Au ulitegemea awe na elimu ya madrasa tu?So what???
al jk na bilal wamelifanyia nini taifa for ten years?Thats why tunakuuliza ni tatizo muislam kupata kazi kwenye ofisi za serikali hii ya taifa lake?
Ili mtu uweze kuajiriwa na kupewa kipaombele sharti ni lazima uwe mkristo?
Tokea wakristo mlipoanza kujazana ndan ya utumish wa umma miaka nenda rudi mmelifanyia nin taifa hili zaid ya kulitia umaskin kwa wizi wenu na ufisadi?
Naamini hao usalama wanazo taarifa za kutosha kutoka katika kila taasisi sema huwa wanafumba macho mpaka pale hoja zitakapozagaa mitandaoni. hii nchi ni hatari sana.. hakuna taasisi hata moja iliyorithiwa kutoka serekali ya awamu ya nne inayoongozwa kwa weledi. Labda zile taasisi ambazo Dk Magu ameweka wakuu wapya tu. lakini zingine zote hata zile taasisi zinazoongozwa na walokole ni shiiiiiiidah..Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Kunywa kahawa kuna tafauti gani na kukaa baa na kucheza pool kwa masaa? Uhuru wa nchi hii ulitokea vijiwe vya kahawaTunakwamishwa na majipu ya waislam.. we mikoa ya waislam kazi wanayojua ni kunywa gahawa we unazani umasikini utaondoka kwa kunywa gahawa na kucheza bao??? waislamu ni jipu.. bado hamuelewi tu..
na taasisi zote hizo ufanisi ni zerohahahahaa mmefanya kazi ya nzuri kuandaa hii kazi. lakini tatizo kubwa na la wazi kabisa ni kwamba HAMJASOMA. kumbukeni wote wenye hizo nafasi hapo wameenda shule ipasavyo. na hizo nafasi zinahitaji watu walioenda shule ipasavyo sio shule ya kufika form 6 tu. nikisema shule namaanisha shule.. elimu ya Ahera ndio inawaponza mnasahau elimu DUNIA.