Ukweli kuhusu Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA

Ukweli kuhusu Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA

Inasikitisha sana Mzee Slaa kuruhusu watu wa Lumumba ku sympathize naye...
 
Slaa ameandika hapa kuwa jina lake lisitumiwe ovyo. Makene haujasikia??

Endelea kutumika kama ganda la kibiriti,cdm ndio mpango wa mungu na 8.8.2015 ccm ndio inaagwa rasmi
 
We nishabiki upepo na msukule ndo maana mkadanganywa amepata wazamini 1.6 ndani ya siku 2

Heri ya kudanganywa kwa idadi ukiyo itamka wewe kuliko zzk kiongozi wako kuendelea kuzomewa kila pahala hapa Tanzania juzi ndio mmetia aibu shinyanga hadi mnatoa machozi,nendeni mkatengeneze kayoga ndio rahisi kihivyo siasa zina wenyewe
 
Inasikitisha sana Mzee Slaa kuruhusu watu wa Lumumba ku sympathize naye...

Lumumba ni mapanya buku,na mwaka huu tutayasaka hadi mashimoni na kuyapa mbwa mwitu wayatafune
 
Ccm tunawaweka busy kumjadili slaa badala ya kumnadi mgombea wao POMBE. Ukawa shikamooo
 
Leo tutamsikia Dr wetu kwenye vyombo vya habari
 
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari/Mawasiliano CHADEMA

Akanusha taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu nafasi yake na kuondoka ndani ya CHADEMA.

Asema ni Propaganda zisizo na ukweli zinazoenezwa na wapinzani (CCM).

Source: Star Tv,
PILIKA ZA UCHAGUZI 2015,

Date: 01/08/2015
Time: 22:40

#NinaImaniNaLowassa
#ZuiaGoliLaMkono2015
hawa watu wanahangaika kwanza Dr slaa ni mtu wa msimamo hawezi kumuunga mkono lowassa labda lowassa amuunge mkono,namheshimu sana kwa msimamo wake wa kutoyumbishwa na hela,kuliko kumuunga mkono EL nafuu akalime shamba kwani yeye siyo mnafiki, vipi leo EL akashindwa uchaguzi msimamo wetu utakuwa nini?je tunasema wale wa escrow siyo mafisadi na ni mfumo?Dr slaa ni kiongozi makini na ukimtizama akiongea unaona anachukia ufisadi kiukweli na ndiyo stahili kuongoza mageuzi.
 
Dr. Slaa akitaka kulinda heshima yake aachane na hili genge la wahuni na waporaji. CDM kimauzwa kwa bei chee. Yaani zile harakati zote na kutufanya watu tuwe busy kupambana kumtoa mkoloni mweusi zinaishia kwenye unafki wa aina hii. Kweli hela mbaya.
 
Angebaki ccm na angekuwa mgombea sijui ungesemaje yule ndiolilikuwa gamba subirini kimya kina mshindo
 
Kwani Makene hawezi kuandika mpaka umwakilishe ww?

Huo ni umbea, mtu unakuja kuhu nakusema fulani anasema ........, we nani mpaka akutume kuleta habari?

.
kwani Nape anapoisemea ccm Jk au Kinana wanakua wapi?
za mbayuwayu changanya na za kwako!
.
 
Nionavyo mimi, athari aliyoileta Mh. Lowasa katika kuivuruga CCM, itakuwa inafanana sana na athari itakayoletwa na Dr. Slaa katika kuivuruga UKAWA na wananchi kwa ujumla. Kete muhimu sana katika ushindi unaotafutwa na UKAWA ni dhahiri ipo kwa Dr. Slaa. Ni vyema busara kubwa itumike katika kumshawishi Dr. Slaa akubalianr na ridhaa ya viongozo wa UKAWA ambayo imepokelewa vizuri na wananchi wengi kwa ujumla hata ambao vyama vao havipo UKAWA. Ni vema kazi hii ifanyike aprma kabla kampeni kuanza, na itakuwa vizuri zaidi kama Dr. Slaa atasaidia vilivyo katika kampeni ya kumnadi mgombea wa UKAWA.

Panahitajika busara ya kipekee.
 
Lowasa ameigawa chadema
 

Attachments

  • 1438499246690.jpg
    1438499246690.jpg
    23.4 KB · Views: 86
Back
Top Bottom