Ukweli kuhusu Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari/Mawasiliano CHADEMA

Akanusha taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu nafasi yake na kuondoka ndani ya CHADEMA.

Asema ni Propaganda zisizo na ukweli zinazoenezwa na wapinzani (CCM).

Source: Star Tv,
PILIKA ZA UCHAGUZI 2015,

Date: 01/08/2015
Time: 22:40

#NinaImaniNaLowassa
#ZuiaGoliLaMkono2015

Kwani Makene hawezi kuandika mpaka umwakilishe ww?

Huo ni umbea, mtu unakuja kuhu nakusema fulani anasema ........, we nani mpaka akutume kuleta habari?
 
Nionavyo mimi, athari aliyoileta Mh. Lowasa katika kuivuruga CCM, itakuwa inafanana sana na athari itakayoletwa na Dr. Slaa katika kuivuruga UKAWA na wananchi kwa ujumla. Kete muhimu sana katika ushindi unaotafutwa na UKAWA ni dhahiri ipo kwa Dr. Slaa. Ni vyema busara kubwa itumike katika kumshawishi Dr. Slaa akubalianr na ridhaa ya viongozo wa UKAWA ambayo imepokelewa vizuri na wananchi wengi kwa ujumla hata ambao vyama vao havipo UKAWA. Ni vema kazi hii ifanyike aprma kabla kampeni kuanza, na itakuwa vizuri zaidi kama Dr. Slaa atasaidia vilivyo katika kampeni ya kumnadi mgombea wa UKAWA.
 
Wananchi gani waloipokea habari hii kama sio nyie watu wa mitandao, JF na Chadema?.. Mlisema haya haya mlipounda UKAWA mkapigwa bao la wazi kabisa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM wakapata zaidi ya asilimia 80, bado mkadai namba zenu bora zaidi ya mwaka 2009. Kuna siri ama kitu kilichopokelewa kama UKAWA wakati wa Serikali za Mitaa mbona hamkushinda?
 
Kawadanganye walevi wenzio,uchaguzi wa serikali za mitaa ccm mmepigwa bao hadi mkaambulia 63.5%leo unataka kutuongopea eti 80%?
 
Wananchi gani waloipokea habari hii kama sio nyie watu wa mitandao, JF na Chadema?.. Mlisema haya haya mlipounda UKAWA mkapigwa bao la wazi kabisa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM wakapata zaidi ya asilimia 80, bado mkadai namba zenu bora zaidi ya mwaka 2009. Kuna siri ama kitu kilichopokelewa kama UKAWA wakati wa Serikali za Mitaa mbona hamkushinda?
Ni vema ukaishirikisha vizuri akili yako sio unaandika tu kwa kuwa wewe ni CCM, kumbuka Uchaguzi serikali za mitaa 35% CCM walipata ushindi kupitia yale mapingamizi ya Kipumbavu na isitoshe katika baadhi ya maeneo kama hayo hao viongozi wenu wanaongoza familia zao kwani wananchi hawataki kuongozwa na watu wasiowachagua, hiyo ya ushindi zaidi ya 80%sijui unaitoa wapi ndugu yaani propaganda za Nape ndio umeziingiza ndani ya Ubongo wako kwani kiuhalisia hadi matokeo yanakamilika CCM ilikuwa imepata 62% na hiyo 35% ya mezani ikiwa ndani kitu ambacho ni dhahiri bila hayo mapingamizi ya kipumbavu ni lazima mlikuwa mmeshindwa.
 
Ni sahihi kabisa hizi rumours+ukimya wa dr slaa na mnyika sijui nn kitatokea busara na hekima vitawale bila ya hivyo mpasuko wake ni mkubwa sana ndani ya ukawa.
 
Kwani rumours huanzaje?sio hivi?Katibu wa itikadi na uenezi wa...atimkia UKAWA.habari za kuaminika toka kwa mtu wake wa karibu zinaeleza kuwa hatua hiyo kaichukua kutokana na watu wa ndani ya chama chake kumdhalilisha kwa kupeleka taarifa takukuru hivyo akakamatwa ns kuhojiwa kwa zaidi ya masaa 5 .tutaendelea kukujuza zaidi atakapomaliza vikao na viongozi wa Ukawa.
 
Wananchi gani waloipokea habari hii kama sio nyie watu wa mitandao, JF na Chadema?.. Mlisema haya haya mlipounda UKAWA mkapigwa bao la wazi kabisa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM wakapata zaidi ya asilimia 80, bado mkadai namba zenu bora zaidi ya mwaka 2009. Kuna siri ama kitu kilichopokelewa kama UKAWA wakati wa Serikali za Mitaa mbona hamkushinda?

Kwa hizi takwimu zako na madai yako haya, ninahakika wewe siyo mfuatiliaji mzuri wa siasa za Tanzania. Ninaweza kukuita ni mshabiki na muathirika mkubwa wa propaganda kutoka chama fulani. Jitahidi kuwa mfuatiliaji wa mambo halisi unayoweza hata kuyapima na siyo kutegemea taarifa za kishabiki.
 
Back
Top Bottom