Hakuna mwenyewe ni cdm moja, ukawa na mgombea ni lowassamnaandika wenyewe mna jijibu wenyewe
Hata kama Slaa hana mpango wa kujitoa CDM, lazima ana mgogoro na viongozi wenzake.
Inakuwaje Katibu mkuu wa chama hajazungumza lolote juu ya ujio wa Lowasa?
Kwanini Naibu katibu wa Zanzibar ndo msemaji mkuu wa sasa kwa mambo mazito ya chama?
Kwanini watu wengine ndio wajibu malalamiko dhidi ya Slaa? Kwanini asijitokeze hadharani kuweka mambo sawa?
Makamanda tuko njia panda, hatuelewi kinachoendelea UKAWA baada ya ujio wa Laigwanani.
Lowasa ameondoka CCM sababu kuu ni kukatwa Jina, najiuluza kwanin asingekubali matokeo?
Kwa maana hiyo umemanisha kwamba wale wote 42 ni taka taka wew pekee ndo Msaf na ulifaa kuchukua ile nafasi.
Binafsi naona ni tamaa ya madaraka,
Pia Lowasa unapaswa ujiaweke katika position alikua nayo dr slaa kwa sasa ungejiskiaje au unahisi kwa haiba ulokua nayo wew unge chukua maamuz gan?
So hata Kama slaa atahama chama binafsi sitomlaumu sababu naona amedharirishwa sana kwa hili. Na Kama atauchukua uamuzi huo hapaswi kulaumiwa coz hiyo ni democrasia so tusimsifie tu lowasa kwa mnayoyaita maamuz magum et coz kaja CHADEMA pia tukubaliane na maamuz ye yote ya slaa na tuyaheshimu
Tunashukuru sana kwa taarifa,na hao wanatumiwa kusambaza habari za kijinga namna hiyo hasa hilo gazeti tutaliweka ktk orodha ya vijarida tulivyokwisha kuvisusa na kwa sasa wanavununua wauza vitumbua
Haya Josephine Mshumbuzi, twambie huo mgogoro
Kama dr slaa yupo kazini, si sijitokeze akanushe???
Slaa anatumika na wapinga mabadiliko.
Kumbuka Lowassa hakutendewa haki, na CCM wanajua hilo
Mi nitamkumbuka kwa kusimamia alichokiamini na kilichoifikisha chadema hapo ilipo
Wanachadema tumfuate shujaa wetu tumrudishe chamani atusaidie Nazi ziko nyingi nchi hii sio urais tu