Swali langu ni kwamba kama ungezaliwa sehemu ambayo hujawahi kusikia kinachoitwa Mungu je,ungemjua Mungu? Japo sidhani kama umefika kila sehemu ya dunia hadi ikufanye useme hakuna sehemu hiyo ila hata hivyo point yabgu kuweko au kutokuwepo hiyo sehemu kiuhalisia bali ni hali ya kusikia habari za kuhusu Mungu.
Kwa uchunguzi niliofanyaSwali langu ni kwamba kama ungezaliwa sehemu ambayo hujawahi kusikia kinachoitwa Mungu je,ungemjua Mungu? Japo sidhani kama umefika kila sehemu ya dunia hadi ikufanye useme hakuna sehemu hiyo ila hata hivyo point yabgu kuweko au kutokuwepo hiyo sehemu kiuhalisia bali ni hali ya kusikia habari za kuhusu Mungu.
Kuna watu wamelelewa na wazazi ambao hawaamini Mungu hivyo watoto wamekulia kwenye misingi hiyo.
Mkuu mie sijibishani kuwepo ama kutokuwepo sehemu watu hawaamini Mungu,nimekuuliza [size=16[kama[/size] ungezaliwa sehemu ambayo hata hujawahi hata kusikia kuhusu Mungu,je ungemjua Mungu? Hili ndio swali langu,kwa maana wote tunamjua Mungu na yale yenye kumuhusu kutoka kwenye jamii iliyotuzunguka.Kwa uchunguzi niliofanya
Wakusoma tamaduni za watu mbalimbali ,kuanzia ancient societies had sasa
Nimegundua karibu 99%ya jamii zinaamini juu ya uwepo wa higher being , ni majina tu yanatofautiana,wengine wanaita Mungu,wengine wanaita majina mengine, mfano wengi tunajua wajapan kama ni wapagani, lakin ukweli ni kuwa hata ukimkuta mjapani ambae hapractise dini yoyote bado anaamini kuhusu "Kami" a sacred power.
Ndo maana nasema sijaona jamii ambayo ina kataa kabisa uwepo wa Mungu.
Ila ndo hivyo ukizaliwa india 80% utakuwa mhindu,20% mbudha, mbeya una 80% ya kuwa mkristo, Tabora una 80% ya kuwa muislaam
Utaamini nini,iman gan,inategemea na umezaliwa ,na kukulia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashawishika kusema kuwa bado ningekuwa naamin ktk namna fulan ya nguvu iliyo juu ya uwezo wangu.Mkuu mie sijibishani kuwepo ama kutokuwepo sehemu watu hawaamini Mungu,nimekuuliza [size=16[kama[/size] ungezaliwa sehemu ambayo hata hujawahi hata kusikia kuhusu Mungu,je ungemjua Mungu? Hili ndio swali langu,kwa maana wote tunamjua Mungu na yale yenye kumuhusu kutoka kwenye jamii iliyotuzunguka.
Kama kusingekuwa na hizo habari za kuhusu Mungu basi pia pale wanapokosa majibu katika masuala mbambali wangehusisha na mambo mengine na sio Mungu kwa kwa sababu wangekuwa hawana wazo la hicho kitu kabisa chenye hizo sifa za Mungu. Leo sie tunaojua computer na uwezo basi kuna vitu tukiona tutahusisha computer ila kuna hata computer haijui,unataka huyu mtu anaweza kuhusisha jambo asilolielewa na computer hali ya kuwa haijui wala hajawahi kuisikia computer?Nashawishika kusema kuwa bado ningekuwa naamin ktk namna fulan ya nguvu iliyo juu ya uwezo wangu.
Ndivyo ilivyo,binadamu ktk kujaribu kujibu yale tusioyaelewa,ktk kujitoa hofu,na kujipa tumaini. Wamejikuta waki subsitute neno Mungu kila wanapo oona panahitajika.
Hivyo naamini ningefanya the same
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kweli bangiWameumba mungu kwenye akili zao, alafu wanasema mungu ndio kawaumba.
Ukiwauliza kuwa wana wazazi wao waliowazaa wanakujibu ndio huku wanasema wameumbwa na mungu. Dah! Hii sio BANGI ni nini?
Hakika hakika kabisa I agreed with youWe ishi kwa raha tu, tenda wema usimkwaze mtu, achana na riwaya zilizokuja kwenye majahazi. Leo hii wasukuma wangekuwa ulaya au asia, basi Mwanamalundi angekua nabii wa watu weusi kwa maajabu ni miujiza aliyoitenda sema alikosa promo ya kutosha tangu enzi hizo.
Hadi leo bado unamuamini nyoka aliyeongea na kumdanganya eva bustani Eden? (genesis 3:1)
Niliwah kudhan hivyo lakini nilikoma baada ya data za kihistoria kuniprove wrong.Kama kusingekuwa na hizo habari za kuhusu Mungu basi pia pale wanapokosa majibu katika masuala mbambali wangehusisha na mambo mengine na sio Mungu kwa kwa sababu wangekuwa hawana wazo la hicho kitu kabisa chenye hizo sifa za Mungu. Leo sie tunaojua computer na uwezo basi kuna vitu tukiona tutahusisha computer ila kuna hata computer haijui,unataka huyu mtu anaweza kuhusisha jambo asilolielewa na computer hali ya kuwa haijui wala hajawahi kuisikia computer?
Hitimisho lako ndiyo jibu lako kwamba idea ya kuwepo Mungu tunazaliwa nayo.Niliwah kudhan hivyo lakini nilikoma baada ya data za kihistoria kuniprove wrong.
Ulishawah jiuliza ilikuwaje Wamasai wana Mungu/Miungu yao, na wahehe na wasukuma (kabla ya dini za kikoloni)
Na hawa watu hawajawahi kuwa na maingiliano ya lugha,kwamba walifundishana ,zunguka dunia nzima,utagundua kuwa kilicholetwa ni imani mpya ila sio idea ya kuwa kuna high authority somewhere,
Wazungu na waarabu walienda afrika wakakuta kila kabila lina kitu abudu (wakasema Mungu ni huyu)
Walienda India,south america all the same,tofaut ni kuwa waafrica ndo walio acha kabisa ,
Jiulize
Ilikuwaje ghafla kila jamii ikawa ina kitu kinachopewa nafasi ya uungu?
I can bet with my last $ kuwa ukichukua watoto wawili wasio jua lugha yoyote,ukawaweka mahali waishi wao tu,kila kitu wanapata,utakuja ona wamegundua lugha ya kuwasiliana na baadae watakuwa na idea ya kitu cha kukiita Mungu. Hata kama ni wewe ndo watakuita Mungu
Ila idea ya Mungu tunazaliwa nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukulia context ya vitu vifuatavyoHitimisho lako ndiyo jibu lako kwamba idea ya kuwepo Mungu tunazaliwa nayo.
Sasa ikiwa wazo la kuwepo Mungu tunazaliwa nalo,je kwanini iwe tuna mitazamo tofauti juu ya Mungu?maana kuna wengine hawamuhusishi na uumbaji,wengine wanaamini kuna miungu mingi na si mmoja,wengine kwa kila kitu ni Mungu.
Mpaka hapo utaona hakuna sifa maalumu zenye kumueleza huyo Mungu ili tujue Mungu ana sifa gani,leo hii wote wanajua mtu ni kitu gani na sifa zake zipi pamoja na kutofautiana lugha,lakini Mungu anaelezwa tofauti tofauti na hii ni kwa sababu hakuna aliyewahi kuona Mungu.
Sasa katika mazingira kama hayo unawezaje kusema tunazaliwa na idea ya Mungu?
"Same kwa dini, unazaliwa na hali ya ombwe lenye kukuambia kuwa wewe si kila kitu,kuna mamlaka ya juu zaid yakoChukulia context ya vitu vifuatavyo
1.Lugha
2.Chakula
3.Tamaduni mbalimbali
Hivi ni vitu ambavyo vinazaliwa na jamii
Mfano lugha nimekwambia mtu anazaliwa ana uwezo wa (1) kugundua lugha mpya ,kama hakuna lugha nyingine (2) ku adopt lugha anayo ikuta.
Same kwa dini, unazaliwa na hali ya ombwe lenye kukuambia kuwa wewe si kila kitu,kuna mamlaka ya juu zaid yako
Ukizaliwa mahali ambapo hilo ombwe wamelijaza na Yehova, na taratibu zake,unafundishwa hizo,ukizaliwa wamejaza hilo ombwe na Allah ,unabeba hilo ,same way to Mito,majabali etc etc inayopewa nafasi ya uungu.
Wazee wa kilimanjaro,walizaliwa na hilo ombwe,na wakakuta hakuna cha kuamini kuwa hiki ndo Mungu,wanaangalia hivi wanaona mlima mrefu,ambao wakitazama hawaoni mwisho wake,unatiririsha maji mazuri na unapendeza kuuona, wakaufanya ukawa Mungu wao.
Wahindi wao waligundua mto sindu ndo chanzo cha maji,chakula ,na chanzo cha ustawi wao,ukawa ndo Mungu.
So conclusion ni kuwa kama ambavyo tunatofautiana lugha,ni lazima tutofautiane na nini tumekipa nafasi ya uungu
Sababu hiyo inatokana na mazingira tofauti,
Unachozaliwa nacho ni uwezo wa kuongea na kubuni/ku adopt lugha na ombwe la kiroho linalohitaji kujazwa. Utalijaza na nini ? Inategemea na wewe umekuta nini na ku adopt nini au umegundua na kubuni nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Who is God?You may ask God Haters with their religion of non theism, why are they addicted to a deity who never existed? Only non theists and fools like God Haters will spend years fighting a deity who never existed. Pathetic atheists.
Le me ask u 1 thing, what the hell will God lose if u wont worship thee?Mostly of christians do not fear God. Na mleta mada na wengi wanao muunga mkono ni wanaasili ya ukristo na si uisilamu. God is good let mi believe and i will sing this song forever GLORY IS THE LORD. To those who do not believe be warned cautioned and informed accordingly.
how nature did it?
Ila huwa najiuliza aliyetuumba yeye ni nani na alikusudia nin na je tunayoyafanya ndio aliyoyatarajia au na yeye hakujua kama kutakuwepo kiumbe namna hii, au viumbe navyo vimetokea tuu kama LUGHA zilizopo ulimwenguni, kwa upande wa lugha sidhani kama kuna mtu anaweza toa jibu sahihi la imekuwaje tukawa na lugha tofauti ili hali chanzo chetu ni kimoja.Wameumba mungu kwenye akili zao, alafu wanasema mungu ndio kawaumba.
Ukiwauliza kuwa wana wazazi wao waliowazaa wanakujibu ndio huku wanasema wameumbwa na mungu. Dah! Hii sio BANGI ni nini?
Wewe ni theist so I'm giving sorry because you don't know anything in it.
sasa wewe iyo ni issue ambayo kisayansi inaelezeka.... huwez kufananisha na binadam ..au nikuulize inawezekana huo msosi ukaoza ikatoke samaki???????? au ndege??????? why atokee funza tu? hiyo ni sayansi inayoelezeka bro.. but it is irrelevant to human creationCHUKUA CHAKULA CHOCHOTE, LET'S SAY WALI MAHARAGE, CHUKUA HOTPOT AMBALO UKILIFUNGA VIZURI HALITOI WALA HALIINGIZI HEWA, WEKA KILE CHAKULA KWENYE HILO HOTPOT KISHA LIFUNGE VIZURI KIASI KWAMBA HAKUNA KINACHOTOKA WALA KINACHOINGIA... KAA KAMA WIKI MOJA HIVI, UKILIFUNGUA UTAONA FUNZA.... NIAMBIE HAO FUNZA WAMETOKEA WAPI... UKINIJIBU HAPO NITAENDELEA MPAKA UJUE HOW NATURE BROUGHT US INTO LIFE