Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Yaani sijui unajaribu kutumia weakness yangu (kiss) kunifanya nisikuhoji sana? Anyway nimekushtukia na sasa nabadilika rasmi na kurudi kwenye mada.
OMG !!! kumbe una weakness na njaa ya busu?!!? next time ntakuHug bhana!! ( I trust you...) tunaonaga Leaders ndo wanajikiss na kuHug!!
Olrait karibu na uhoji upendavo, kwani namie najifunza from you too.... ( I think nilikukaribisha 24/7 hapo awali) !!
 
Nyiee mnaoo busianaa nyie ni jinsii gani??

Mbonaa mnatupaa utata??
 
Noo sina njaa na busu,lazima ujue tofauti ya njaa na udhaifu. Saaa mbona wazidisha chumvi basi?
Okay sasa endelea kujifunza ili nawe sikumoja uondokane na utumwa.
 
Nyiee mnaoo busianaa nyie ni jinsii gani??

Mbonaa mnatupaa utata??

Jinsii = Jinsia. Na its none on your business.
Hatukupigana mabusu Bali alibusu na nililipokea (vipi imekuuma?)
Utata wa nini? Busu nipigwe mie utata uuone wewe.....smh
 
Noo sina njaa na busu,lazima ujue tofauti ya njaa na udhaifu. Saaa mbona wazidisha chumvi basi?
Okay sasa endelea kujifunza ili nawe sikumoja uondokane na utumwa.
Exactly nimejifunza kwako hiki "tofauti ya njaa na udhaifu" nashukuru kwa hilo.... Ndg. Mazungumzo/debate bila maneno ya urafiki na ustaarabu inakuaga boringa au kama vita !!! ndo maana nimeleta chumvi na pengine ntamwagia asali iwe taamu !!
Ok Tuendelee umesemea utumwa !! OMG !! Ofcozi Muumba aliyetuumba katuweka kiUtumwa na katuita AbduLLaah (slaves of God) yaani huoni kuwa sote siye (tajiri,masikini,mwenyene nguvu,mfalme, kiongozi,jabri,mtoto,Kijana,Ke,Me,nk.nk) tuna menyeka 24/7 na tuna common things within..,(end of the day Pumzi ni moja)

Hata kwenda Msalani au kuwajibika ni mhemko mmoja na nafsi moja?!!? kimbilio letu, na radhi zake tunazihitaji....., MweyeEzzi Mungu "Muumba wa kila jambo na Mhukumu wa yote tuyajuayo na tusiyo yajuwa"

Huyo ndo Mwnyeezzi Mungu
amoneyazan Mkuu Busu siyo lazima iwe kimapenzi/kimahaba tu (ufikiriyavo) Ustaarabu wa kisses ni moja yakuonyesha utukufu wa wanaadamu kuelewana,kukubaliana kifikra, mawazo, majadiliano,kutembeleana,kukutana, kuongea...nk,nk !!!

Ok nawe burudika na Budu kubwaaa Muuuwah!!! Friendship... urafiki ni kitu cha bure!! mwana2015
 
Last edited by a moderator:

Yes utumwa wa dini mkuu.

Kuhusu huo utumwa wa Mungu pengine unawahusu nyie mlioumbwa ila kwasisi tuliozaliwa huo utumwa hautuhusu.
Maisha hayahitaji kumenyeka wala kufanya kazi 24/7 bali ufanye kazi kwa kiasi na pia upate muda wa kufanya mazoezi na kurelax

Mungu ni nani? Ushahidi wowote wa uwepo wake?
Hizo radhi mnazitaka za nini?
 
Last edited by a moderator:
Suali hili zuri, Tunazitaka ; kama vile wewe na muajiri wako (unafanya kazi ukitegema ujira/malipo stahiki ) kama vile mwanafunzi kusoma apate elimu(afaulu mitihani na kufanikisha mustakabli) kama vile mkulima alime apte mazao, nk ,nk...!!

Siye tunajiandaa NA MAISHA YA AKHERA ambayo ni 3RD PHASE ya binaadam..... (rejea post hapo juu)!!

Hizo zote hadithi tu mkuu.
Maisha ya akhera ni yale ambayo watu watakutana na mabikira au?
 
Hizo zote hadithi tu mkuu.
Maisha ya akhera ni yale ambayo watu watakutana na mabikira au?
Mkuu, Siyo hadithi, ni beyond ya matarajiyo yako...!! ( ni nje ya upeo tunaotegemea hata mbali na ufahamu huu tuujuao )
Hakuna shabihisha la ujira utakaoupata Akhera!!
 
Mkuu, Siyo hadithi, ni beyond ya matarajiyo yako...!! ( ni nje ya upeo tunaotegemea hata mbali na ufahamu huu tuujuao )
Hakuna shabihisha la ujira utakaoupata Akhera!!

Its better to believe On what's coming because we didn't even know what happened before, mafundisho ya dini yanatuelezea yaliokuwa kabla yetu na baada yetu yanayokuja, maisha ya dunia ni mapito.
Jimena

nikuulize we unayo dini na pia elimu yako imefikia wapi
 
Last edited by a moderator:
Jinsii = Jinsia. Na its none on your business.
Hatukupigana mabusu Bali alibusu na nililipokea (vipi imekuuma?)
Utata wa nini? Busu nipigwe mie utata uuone wewe.....smh

Kwa manenoo hayoo
Nishapataa jibu...
 
Siamini dini, elimu yangu inahusikaje kwenye huu uzi au unataka kunipa kazi au?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Siyo hadithi, ni beyond ya matarajiyo yako...!! ( ni nje ya upeo tunaotegemea hata mbali na ufahamu huu tuujuao )
Hakuna shabihisha la ujira utakaoupata Akhera!!

Mi sina matarajio yoyote. Maisha ni leo mkuu.......shauri yako!
 
Kwan Quran yote unaifaham mkuu
 
Last edited by a moderator:

Mbna na ww umeifanya google ndio mungu wako. Kila kitu unauliza Google kwan vilevyowekwa kwenye Google c vmewekwa na mwanadamu kama ww. Acha watu waamin wanachokiamin km ww unavyoiamn Google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…