THIS IS AFRICA
Member
- Oct 16, 2015
- 18
- 13
Kwanza mauti tu! Yanaonyesha uwepo wa Mungu wewe Manga Manga sana lakini akikuhitaji hakuna cha kiongozi wa Taifa kubwa, Trillionaire n.k. Utaondoka tu! Hiyo ni kuthibitisha nguvu zake.
We mbona ujielewi na unachojibu.
We ishi kwa raha tu, tenda wema usimkwaze mtu, achana na riwaya zilizokuja kwenye majahazi. Leo hii wasukuma wangekuwa ulaya au asia, basi Mwanamalundi angekua nabii wa watu weusi kwa maajabu ni miujiza aliyoitenda sema alikosa promo ya kutosha tangu enzi hizo.
Kwanza mauti tu! Yanaonyesha uwepo wa Mungu wewe Manga Manga sana lakini akikuhitaji hakuna cha kiongozi wa Taifa kubwa, Trillionaire n.k. Utaondoka tu! Hiyo ni kuthibitisha nguvu zake.
theist wengi mnamajibu ya kipuuzi sana
kifo kina thibitisha nguvu za Mungu au udhaifu wake?
just imagine,unatengeneza gari linalodumu kwa miaka mitatu tu,kisha lina haribika
hapo litathibitisha ufanisi wako au udhaifu?
Dduhh??
We jamaa umefufukiaa hukuu tenaa
Umeona sasa jinsi dini zisivyo na ukweli?
Sijaonaa..
Mpkaa palee mtakapo nithibitishiaa what is the source of all things
Kwahiyo dini ndio source?
Sidhanii kamaa nimesemaa hivyoo
Usichepushee maana kiongozi
Niliuliza swali, ungejibu tu ingetosha ila kwavile huna jibu umeanza ngonjera
Jibuu na wewe hiloo languu
Itashngazaa kamaa mimii nimeanzaa ngonjeraa halafuu.we ukamaliziaa na mdundikoo
We umeuliza wapi? Mana hata alama ya kuuliza kwenye ngonjera zako hamna
Uislamu ni dini yachuki na kuua watu
Hizi propaganda mwenyezi mungu hayupo, finally kaburini ndo tutajua acha nikapige sala mie muislamu kama hayupo imekula kwangu navyo amini yupo mtoa mada na wenzio subirini tukiwa kaburini,, log out
Kwanii kaburinii ndioo sehemuu ya kukutanaa na Mungu blazaa😕