Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

UJINGA sio chaguo ila Ni muendelezo wa Kutotambua Uwepo wa ELIMU.... Basiii baki na Ujinga wako Mtoa Maada Mpka Utakapopata ELIMU
 
Kuna tatizo wanadamu wengi tunalo lakini hatujaligundua.Wengi wetu tuna AKILI TIMAMU lakini shida kubwa ni kwamba akili hizo HAZIKO SALAMA.Na anayesababisha akili zetu zisiwe salama ni IBILISI/SHETANI.Huyu ni adui yetu lakini tumemfanya ni rafiki yetu kipenzi.Bila ya kujali ni kiwango gani cha elimu ulichonacho,shetani akishakutawala automatically akili lazima iingie hitilafu.Hebu wanayonena na kuyatenda wanadamu wenye akili timamu.
 
Uislamu ni dini yachuki na kuua watu

Sio kweli.Wewe hujausoma uislamu.Uislamu ni dini ya amani,tatizo ni wale wenye elimu ndogo ya uislamu au wasioujua uislamu ndio wanaoichafua dini hii.
 
mleta mada umevurugwa.
Quran ni kitabu kilicholetwa kwa ajili ya wanadam so ni lazima kiwe na maelezo ktk nyanja zote za maisha ya mwanadam..kwa mfano Quran isingetoa maelekezo(morals)..mngepata hoja ya kuwauliza waislam kuwa wanaiga jinsi ya kuishi na wala kitabu chao hakijatoa maelekezo,so hakijajitosheleza.
-kuhusu Mtume,kila mtu anafaham kuwa Mtume hakujua kusoma wala kuandika na hakuna historia yyte inayosema aliemfata kule pangon alikuwa ni shetan..kila aliesikia habar hizo alisema hiyo ni ishara ya utume akiewemo "pastor"wa enzi hizo alieitwa Bakhira(utaipata ktk ktab cha historia ya mtume raheequl makhtoum)labda nawe unipe ushahid wa kitab kuwa ni nan alisema kuwa aya hizo za mwanzo zilikuwa ni za shetan.
ok,kwa mfano tufanye ni za shetan alaf iweje tuamrishwe kuwa tunapotaka kusoma Quran tu lazima tumlaani shetan!?yan shetan anatufundisha tumchukie sio?pia Quran inatufundisha kuwa shetan ni adui kwetu.so,hoja yako haina mbolea.
-Kuhusu Quran kutoongelea mambo ya kimungu,Quran imetoa mfano wa Mussa alivoenda kuomba mvua pia pia mtume akaagizwa atufundushe namna ya kuomba mvua au hata mwez unapopatwa na jua au kinyume chake.Kuna maelezo mengi ya namna tulivyoumbwa na dunia ilivyoumbwa,pepo,moto nk.Quran imetaja namna ya kuabudu au kutubu pindi tukoseapo,cjui unataka mambo gan ya kimungu yatajwe.
-mapigano yanayotokea kati ya waislam na wanaojiita waislam hayakutokea wakat wa mtume.kuna meng ya kusema hapa ila mind you that unachotakiwa kuangalia Quran na mtume ametoa maelezo gan au aliishi vp na sio kuangalia jamii ya watu fulan..adui ameingia ktk nchi wenye nchi wanagawanyika wengine wanapambana na adui na wengne wapi upande wa maadui kuwapiga wenyej wenzao..kiislam unapoungana na adui ww su muislam tena so hakuna vita ya waislam kwa waislam.tunasema uialam ni dini ya aman coz hata vikos vya kulinda amani huenda na bunduki na vifaru na wala hawaend na madumu ya icecream.
 

Swadakta kabisa ndugu yangu Wachaka.Mwenyezi Mungu akuzidishie elimu na akujaalie kila kheri.
 

duu naona umejiakikishia kama vile umekata tiketi kabsa daa...:eek2::eek2:
 
Mleta mada anataka qurani ielekeze kukemea mapepo.. Katika ukristo imeelekezwa na watu wanafanya lakini athari zake zinaonekana.. Yaani mtu akikemea mapepo akaweza anafungua asemblis of god yake na anajiita mungu mtu au mtume.. Katika kurani hakuna kukemea mapepo ila kuna dua za kuomba mungu ili akuepushie shari na viumbe alivyoviumba yaani kuanzia binaadamu majini mapepo nakadhalika.. Hizi dua ukiomba ni kwamba direct unapeleka maombi then mungu anajibu iwe negative au positive results vyovyote tunashukuru and kwa sababu mungu ni muamuzi wa chachote atakacho na katika maamuzi yake hakosei.
 
Mnapoteza muda wenu tu, dini zimewekwa na binadamu. Ukristu utabaki kuwa ukristu na uislamu utabaki kuwa uislamu. The choice is yours. Hakuna haja ya kukosoana.
 
ni mara chache sana kushuhudia watumishi kama Ishmael , Eiyer na wanadini wakongwe hapa JF-INTELLIGENCE wakigaragazwa kwa hoja safi kama walivyo tendwa kwenye hii 3D na mkuu Pokofame

aisee sijawahi shuhudia MziziMkavu akiwa anatokwa na povu la hoja nyepesi
sitaki kuamini kwamba ni yeye

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:

Hoja zipi?
 
Mkuu Pokofame Mawazo yako ni mawazo ya Ki-shetani huja hoja ya wewe kuikosoa Qur'an Wameshindwa Ma-Professor Dunia na Wana Sayansi wakubwa kuikosoa Qur'an itakuwa wewe unaye leta hoja bila ya kufikiria kile unacho kisema? Itakuwaje wewe mwenyewe ujiite Mungu? Hizo kweli ni akili zako? au akili za kishetani? ikiwa wewe mwenyewe unajiita mungu kwanini unakufa? Kwani Mungu anakufa kama wanavyokufa binadamu? kaa ufikirie kwa makini nina aliye umba Usiku na mchana? ni aliye umba Mwezi Duniana vilivyomo ndaniyake? Ni nani aliye umba jua? kishautapata Jibu kuw akuna Mungu ndie aliye umba hivyo vitu vyote ukisha pata jibu kamkuna mungu aliye umba hivyo vitu vyote duniani sasa mtafute huyoMungu aliyeumba hivyo vitu vyote Duniani kwenye Dini ya Ukristo au Dini ya Kiislam au dini ya Kiyahudi utampata Mungu wa ukweli kazikwako.
 
Last edited by a moderator:

kwani Mkuu unavyojua Mungu maana yake ni nini?i
 
Last edited by a moderator:

Mkuu MziziMkavu hii sio karne ya kutishana kwa vitu vya kifikirika tu.
Jaribu kumkosoa kwa hoja zinazoeleweka
 
Last edited by a moderator:
kwani Mkuu unavyojua Mungu maana yake ni nini?i
Nijuavyo Mimi Maana ya Mwenyeezi Mungu ni Hivi:

112. SURAT AL-IKHLAS'

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
Mkuu MziziMkavu hii sio karne ya kutishana kwa vitu vya kifikirika tu.
Jaribu kumkosoa kwa hoja zinazoeleweka
Mleta mada analeta mada ya kipumbavu kakaa kwa kufikiria upumbavu wake kisha akaleta hapa jukwaani analeta hoja pasipo na una ushahid wowote ndio maana nikamjibu analeta hoja za Ki Shetani na mimi nimemjibu kishetani shetani anasema hivi Mungu ni wewe mwenyewe iweje wewe binadamu ugeuke kuwa mungu? kwani mungu anakufa? kama wanavyokufa bindamu? mleta hoja hafikirii kitu cha kusema mpaka akaamuwa kujiita yeye mwenyewe ni mungu kam sio ushetani ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…