MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,257
- 22,049
Muache mwija aende bungeni aisee
Okay je Elimu ya Baba levo ipoje ?Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu.
Nini kilitokea? Je alifeli?
Hapana Mwijaku akufeli ila alifukuzwa chuo kutokana na fraud.
Mwijaku wakati mwanafunzi alikuwa na mchezo wa kuwafutia supp na disco wanafunzi wenzie.
Alikuwa anaweza kufoji documents mpaka za mkuu wa chuo za rufaa au maelekezo fulani na kuwanasua wenzie wasipate disco.
Ila za mwizi ni arobaini alipokuwa mwaka wa mwisho alikamatwa na watu wa admission baada ya mwanafunzi fulani kupeleka barua ya mkuu wa chuo ikiwa na baaadhi ya details hazieleweki baada ya kumbana ndio wakaushtukia huo mchezo na wakaweka mtego na kumkamata Mwijaku.
Aliwekwa ndani zaidi ya miezi mitatu na akafukuzwa chuo.
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Asanteni kwa kunisikiliza.
Ina nina uhakika tu wa 100% pamoja na hii Taarifa yako nyenye Chuki na Wivu kwa Mafanikio yako ya sasa Kakuzidi Pesa.Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu.
Nini kilitokea? Je alifeli?
Hapana Mwijaku akufeli ila alifukuzwa chuo kutokana na fraud.
Mwijaku wakati mwanafunzi alikuwa na mchezo wa kuwafutia supp na disco wanafunzi wenzie.
Alikuwa anaweza kufoji documents mpaka za mkuu wa chuo za rufaa au maelekezo fulani na kuwanasua wenzie wasipate disco.
Ila za mwizi ni arobaini alipokuwa mwaka wa mwisho alikamatwa na watu wa admission baada ya mwanafunzi fulani kupeleka barua ya mkuu wa chuo ikiwa na baaadhi ya details hazieleweki baada ya kumbana ndio wakaushtukia huo mchezo na wakaweka mtego na kumkamata Mwijaku.
Aliwekwa ndani zaidi ya miezi mitatu na akafukuzwa chuo.
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Asanteni kwa kunisikiliza.
😀😀huyu nadhani ni tiamaji tuOkay je Elimu ya Baba levo ipoje ?
Kwahiyo ana degree yaaaaaaaaaaaamiezi mitatu aliyopatia rumandeHuo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Anapigiwa simu na Rais gani!!??Ni kweli. Mtu anapigiwa simu hadi na Rais, sio kazi ndogo
Makaratasi hata fake yapo ila uwezo hamnaishu waajiri hutaka kuona hilo karatasi kwanza
ishu ya umalaya itoe hapa. Maana lile tendo hufanywa na kila kiumbe chenye sifa ya kujamiana. Komaa na fraud ya kitaalumaInabidi TISS wafanye vetting kali sana kwa hawa watia nia ya ubunge, Hayo madudu alioyafanya huko Mzumbe kwa nchi za wenzetu hatakiwi hata kuisogelea fomu ya kutia nia ubunge, huyu ni FRAUDSTER. Mtu kama huyu akiingia bungeni hakawii kuiuza nchi kwa mafisadi, kwa heshima yake anatakiwa aachane na nia yake ya ubunge asap.
Na huyu sijui Shilole, nimeona eti nae anatia nia, hivi huyu kwa sifa yake ya kuvipanga vi ben ten na kuviacha, hilo tu linamfanya asiisogelee fomu ya ubunge, kwa lugha nyepesi huyu ni MALAYA, nae kuiuza nchi ni rahisi sana kutokana na hio tabia yake ya umalaya. Inabidi vetting iwe kali sana maana tabia za mtaani uwa zinaakisi sana na za kazini kwa mtu yeyote yule.
Ni miaka 2 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.. Ukifukuzwa chuo ikipita miaka 2 unaruhusiwa ku apply chuo kingine na kozi ingine tofauti na uliyofukuzwa nayo.Unaweza kupata chuo baada ya muda fulani kupita
Laisi mwenye kichwani akili hakunaAnapigiwa simu na Rais gani!!??
Anapigiwa simu na huyo rais kuhusu nini!!??
So what? Wewe Degree yako imekupa nini zaidi ya uchawa wa DAyaMoNdi? Mwenzako anaishi expensive life.Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.