sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
- Thread starter
- #41
Degree imenipa mke mrembo kuzidi wewe mlupo.So what? Wewe Degree yako imekupa nini zaidi ya uchawa wa DAyaMoNdi? Mwenzako anaishi expensive life.

ChaiBurton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu.
Nini kilitokea? Je alifeli?
Hapana Mwijaku akufeli ila alifukuzwa chuo kutokana na fraud.
Mwijaku wakati mwanafunzi alikuwa na mchezo wa kuwafutia supp na disco wanafunzi wenzie.
Alikuwa anaweza kufoji documents mpaka za mkuu wa chuo za rufaa au maelekezo fulani na kuwanasua wenzie wasipate disco.
Ila za mwizi ni arobaini alipokuwa mwaka wa mwisho alikamatwa na watu wa admission baada ya mwanafunzi fulani kupeleka barua ya mkuu wa chuo ikiwa na baaadhi ya details hazieleweki baada ya kumbana ndio wakaushtukia huo mchezo na wakaweka mtego na kumkamata Mwijaku.
Aliwekwa ndani zaidi ya miezi mitatu na akafukuzwa chuo.
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Asanteni kwa kunisikiliza.
Degree imenipa mke mrembo kuzidi wewe mlupo.
Heritage management hapo udsm wanasomaga vilaza tu.View attachment 3398026
Ni kweli alipost taarifa za elimu yake huko katika mitandao ya kijamii, ina husishwa na kebei kuwa wasio na elimu wasiende bungeni hivyo akajitokeza na kutoa cheti Kama shida ni elimu
Kumuona Udsm haimaanishi moja kwa moja kwamba alisoma.Mrisho Mpoto kakulia performing art hapo udsm lakini hakuwa amesailiwa kusoma pale.UDSM alisoma nilimuona anasoma pale miaka ya 2012
Kasoma SUA huyoBurton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu.
Nini kilitokea? Je alifeli?
Hapana Mwijaku akufeli ila alifukuzwa chuo kutokana na fraud.
Mwijaku wakati mwanafunzi alikuwa na mchezo wa kuwafutia supp na disco wanafunzi wenzie.
Alikuwa anaweza kufoji documents mpaka za mkuu wa chuo za rufaa au maelekezo fulani na kuwanasua wenzie wasipate disco.
Ila za mwizi ni arobaini alipokuwa mwaka wa mwisho alikamatwa na watu wa admission baada ya mwanafunzi fulani kupeleka barua ya mkuu wa chuo ikiwa na baaadhi ya details hazieleweki baada ya kumbana ndio wakaushtukia huo mchezo na wakaweka mtego na kumkamata Mwijaku.
Aliwekwa ndani zaidi ya miezi mitatu na akafukuzwa chuo.
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Asanteni kwa kunisikiliza.
Nini siri ya utajiri wakeMwijaku ana degree ya Arts toka UDSM lower second class. Yeye mwenyewe alipost cheti chake mtandaoni. Kwa vyovyote vile kwenye haya mapambano ya maisha siwezi kumdharau mtu ambaye kapita njia zake kiujanjajanja hadi kuweza kupeana mkono na Rais wa jamhuri huku akiwa na connections nzito. Mwijaku, Babalevo na Dotto sio matajiri ila wana nguvu kubwa kiushawishi kuliko matajiri wengi wa nchi hii. Kimsingi POWER wanayo.
Ni kutii ibara ya 25 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Nini siri ya utajiri wake