Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Na tupigwe tu kwa maana hakuna namna nyingine na si mara ya kwanza ATC-(L) kupigwa hata ile Boing 767 iliishia pale terminal 1 haikuruka tena mpaka leo sijui iko wapi!!!?
 
Naona wanatuandalia kifo. Kama mtengenezaji anagoma kupanda ndo sembuse mm kapuku. Siji panda hilo kitu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hii itakupa historia ya kiuchunguzi hadi kufikia Boeing 787-8 (Terrible teens)


 
Watch this
Hii itakupa historia ya kiuchunguzi hadi kufikia Boeing 787-8 (Terrible teens)


 
Ethiopian wame-order ndege mbili hapo kny orodha ya 1-20, tunaamini kuwa ni moja ya shirika la ndege makini ktk bara la afrika hivyo sidhani kama tumebugi. Tupunguze tu wivu wa vyama tu-focus kny maendeleo ya vyama
This is SAD.Very!
 
This whole thing regarding those planes is so terribly convoluted...

So much information...you don't know for sure who's telling the truth and who's not!

But oh well...nowadays anybody can be an expert on anything and everything.
Weweee tuambombo ongea lugha iliyokuleta duniani kingereza mbwembwe tu
 
Mbona hujaweka link ya hayo mashirika mengine yalinunua kwa bei gan?
 
Una ushahid wa bei hyo mnayosema zlishushwa? Weken link na cc tusome.
 

Tumeshapigwa au ameshapiga?Mzee wa madeal alianza na Kivuko kibovu bilioni nane Leo yuko kwa mabilioni kama si matrioni kadhaa halafu oh Mimi anapiga vita madeal oh Mimi rushwa oh Mimi vyeti, thubutu aliweza JKN tu hao wengine wote wanataka Matumbo yao.
 
Sawa ngosha. USA baby!

Aisee nimebofya hizo links zote alizoweka na sijaona popote pale kuhusu hiyo bei ya $99m...

Saa ingine hawa 'n' [you know what I mean😉] huwa wanabuni tu mambo vichwani mwao....
 
Hujaelewa nini hapo shabiki wa Bashite, au umeazima akili za Bashite?
Kifupi mmetupigisha watanzania kwa ujuaji wenu, wewe kila kitu anafanya raisi wa nchi, mambo yakiharibika hakuna wakumtowa kafara.

Nani amewapigisha??Mkuu kaka mkubwa kapiga deal lake Halafu ati Mzalendo,wewe ni sawa na Mangi umuwekee wekundu wa msimbazi,Mzee alianza madeal toka akiwa kwenye wizara ya Majengo na madaraka,bilioni nane kaleta Kivuko kibovu,$224 ndege Bomu,sijui Train itakuwa je Nina wasiwasi inaweza kuja Train ya mwaka 1940
 
Kununua si hoja. Hoja ni bei! Bei wsliouziwa wao ndio uliouziwa wewe!?

Ethiopian wame-order ndege mbili hapo kny orodha ya 1-20, tunaamini kuwa ni moja ya shirika la ndege makini ktk bara la afrika hivyo sidhani kama tumebugi. Tupunguze tu wivu wa vyama tu-focus kny maendeleo ya vyama
 
Hongera sana
 
Leta link

Ethiopia gets first Boeing 787 Dreamliner in Africa - BBC News
 
Ufisadi wa karibu bilion 400,dah?

Bashite atapasuka kwa utajiri asee...
 
Baada ya ndege tutaanza kuunda siraha za nuclear najua mtasema tunataka kuwalipua wapinzani hahahaaaaaaa!!! Komaeni na mitandao sie tunafanya mambo kwa vitendo.
 
Ngosha Wewe kweli kilaza. Yaani watu wahame nchi kisa tu wasimkosoe dereva Wa Lori. Kwani Lori lake!? Mbaya zaidi hizo Pesa zinazotumika hatoi mfukoni make.

 
Ufisadi wa karibu bilion 400,dah?

Bashite atapasuka kwa utajiri asee...
 
Ufisadi wa karibu bilion 400,dah?

Bashite atapasuka kwa utajiri asee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…