Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Aisee nimebofya hizo links zote alizoweka na sijaona popote pale kuhusu hiyo bei ya $99m...

Saa ingine hawa 'n' [you know what I mean😉] huwa wanabuni tu mambo vichwani mwao....
Umeona eh watu wanabwekaaa ila hawatupi bei ya $99m
 
Naona wanatuandalia kifo. Kama mtengenezaji anagoma kupanda ndo sembuse mm kapuku. Siji panda hilo kitu

Naomba apande Mukullu na cabinet yake yote na wakuu wa wilaya na Mkoa wote waende Kwa Trump wakirudi salama waipark tu maana wengine hatutapanda.
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Kamwe huwezi kuelewa hiyo mada!! Watu wangu wanangamia kwa kukosa maarifa!! Ndio maana kazi za kitaalam zinafanywa na wataalam lakini hapa kila kitu wewe lazima uingie chaka tu!!
 
Nilichogundua CCM wote hawajui kimombo awamu hii yaani pombe, kagame kamuingiza mjini ndio tatizo la viongozi kutoka ushenzini chato
 
Umeona eh watu wanabwekaaa ila hawatupi bei ya $99m
Ukiambiwa bei ni nusu ya 200 na bado hujui jibu unafaa kuwa mteule wa DC au RC. Maana ubongo wako umefaa kusoma na kuandika tu.
 
Ukiambiwa bei ni nusu ya 200 na bado hujui jibu unafaa kuwa mteule wa DC au RC. Maana ubongo wako umefaa kusoma na kuandika tu.

Hawataki kuamini sababu walikubali kudanganyika.

Mpiga deal wa Kivuko kibovu kwanini asipige deal ya ndege mbovu. Na kesho kutwa atatuletea Train ya mwaka 1940.

Mukullu wetu ni super dealer wa madeal.
 
Mimi sio mtaalum wa haya mambo ya ndege,lakini naomba kujua hizo ndege kama zilishatengenezwa na zipo tayari kwanini tuzisubiri kwa mwaka mzima? Kwanini tusingezipata mapema zaidi ikizingatiwa hatusubiri mpya ambazo zinachukua muda mpaka kutengenezwa?
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Ufupishiwe au kingereza hujui? Nenda kwa Ras simba kama upo jijini kama Upo ushenzini chato au kolomije nenda kwa mganga wa bashite
 
Na tupigwe tu kwa maana hakuna namna nyingine na si mara ya kwanza ATC-(L) kupigwa hata ile Boing 767 iliishia pale terminal 1 haikuruka tena mpaka leo sijui iko wapi!!!?

Labda imepelekwa Jeshi ni,maana na kile kivuko kibovu kimepelekwa huko,inaelekea jeshi letu linapenda vitu kibovu.
 
Back
Top Bottom