Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

kwani hizo ndege si zilizinduliwa hadharani?Ndege zijazo mliambiwa hadharani zitakuaje na kiasi gani wewe,siku hiyo ulikuwa unaongoza mashambulizi kwa bombardier hukujishughulisha kusikiliza maelezo,
Nenda kwa Mange huko
Siku hizi kunguru wamepungua alhamdullilah
 
Ziiiiiiiito mla rushwa wewe kwenye kampuni za madini na za kufua umeme umeamua kuhamia boeng kutafuta rushwa huko hupati kitu utakufa na njaa yako
Ebu punguza mapovu maana naona midomo yako imezungukwa na mapovu
 
Swali ninalojiuliza n kwa nn hizi ndege zinachukua muda mrefu kutufikia while ziko ready tangu 2010, kuna matengenezo gani ya ziada mpaka zichukue 2years kuwa delivered,

Something is not right here
 
Kicheko ni pale unapodharau kitu halafu unakuwa wa kwanza kunufaika na huduma yake.

Keep on moving JPM! Usikilize pumba zawatoa mapovu
 
Mtu ukinunua simu mpya niseme labda ya mwaka juzi ambayo ni smartphone, je utaanza kuitumia ilivyo au wataiupdate wauzaji au wewe kama haswa unataka kuhakikisha ipo swafiiiiiiiiiiii na haitakuletea matatizo? Na kwa ndege nani inatakiwa aiupgrade au unataka ije kama ilivyokuwa mwaka uleeeeee na mpya mengi yapo hadi kwa software n.k.

Haya mjuzi nijuze mimi?
Ubishi asili yako tunakujua, lolote la sisiemu hata kama ni utumbo utasema nitapikia ndizi na kama umeoza utasema poa tu watakula mbwa wangu. Wewe akili zako zakutosha mwenyewe, kufananisha ndege na simu, kweli? Sawa kwa mfani wako, ok unaenda nunua iphone 4 kwa bei ya iphone 6 kisa ati wameiupgrade? Kweli mwanamke wewe?
 
Ethiopian Airline na Air Austral yalichukua ndege hizi kwa sababu masafa marefu haikuwa ishu kwao!
Ethiopian wame-order ndege mbili hapo kny orodha ya 1-20, tunaamini kuwa ni moja ya shirika la ndege makini ktk bara la afrika hivyo sidhani kama tumebugi. Tupunguze tu wivu wa vyama tu-focus kny maendeleo ya vyama
 
Aisee nimebofya hizo links zote alizoweka na sijaona popote pale kuhusu hiyo bei ya $99m...

Saa ingine hawa 'n' [you know what I mean😉] huwa wanabuni tu mambo vichwani mwao....


Yaani hawa ni level ingine.... na mimi ndio hivyo nimejikuta sikutani na bonge la article iliyoenda shule ndank ya hizo links...kumbe ha ha ha haaaaa

Hiyo $99m labda atatusoma na kutuwekea link tujisomee na dates na akina nani waliyaongea hayo.
 
Ziiiiiiiito mla rushwa wewe kwenye kampuni za madini na za kufua umeme umeamua kuhamia boeng kutafuta rushwa huko hupati kitu utakufa na njaa yako
Leta hoja acha ujinga. inaonyesha ulivyo mweupe kichwani
 
wanasema hiyo ndege kama vile iko ghalani. kinachoshangaza kama ndege ipo kwa nini delivery iwe 2018 na sio sasa wakati serikali imesema hela zipo? nadhani serikali inafuatilia hizi taarifa za mitandaoni. tumeona hila za kila aina mitandaoni kuichafua awamu ya 5.
hizi taarifa kama zina ukweli serikali kuingizwa mjini bado ipo nafasi kurekebisha makosa ila natia shaka kwani wanaoshikia bango ndio wale walisema bombadier ni mitumba.
...ulishapata uthibitisho kuwa Bombadia ni Mpya?
 
Hii itakupa historia ya kiuchunguzi hadi kufikia Boeing 787-8 (Terrible teens)



sijasikia kwenye hiyo documentary kuhusu the terrible teens. mwisho msimulizi anasema 'the dreamliner is the most sellinga airplane
in the world today'.
 
Kicheko ni pale unapodharau kitu halafu unakuwa wa kwanza kunufaika na huduma yake.

Keep on moving JPM! Usikilize pumba zawatoa mapovu
Wewe ndio nakuona mapovu yanakumwagika
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Unataka kutafuniwa umeze eti leo ndio nimetambua uelewa wako ulivyo.
 
Back
Top Bottom